Nina maswali fikirishi kuhusu nadharia ya vimondo

Kimondo kinakuwa na mwanga kwa sababu ya friction kati yake na hewa. Elewa kuwa kinasafiri kwa kasi sana na kufanya msuguano mkali kati yake na atmosphere yetu. Ile friction ndiyo inasababisha kiungue na kugeuka ''vumbi la moto'. Of course kikishaanguka msuguano unakuwa umeisha na hivyo mwanga unakoma.
kuna siku nimeona kitu kinapita angani kwa spidi kali na kupotea ndani ya muda mchache sana je hicho ni nini?
 
Sio kumeguka kutoka sayari nyingine ila kati ya Mars na Jupiter kuna miamba mikubwa inayozunguka jua kama sayari nyingine . (Asteroids) mwamba ukitoka kwenye mhimili wake unadondoka ila unaishia njiani kwa kuyeyuka. Ila Kuna mengine yanafanikiwa kufika duniani na kusababisha bonde kubwa.
hivi wanasayansi wanavyo kwenda angani hawawezi kugonga hiyo miamba
 
Mkuu hebu jaribu kunijibu kwa kujenga hoja, tuachane na Mambo ya Google kwanza!!! Tumia maarifa na ujuzi ulionao kuhusu Fizikia ya angani,habari za Google hizo ni kutaka kukalilishana tu
- Giant impact hypothesis kama hypothesis zingine inajaribu kuelezea origin ya nwezi wetu, Zipo hypothesis nyingi lakini so far Giant impact hypothesis inatoa maelezo mazuri zaidi kuhusu origin ya mwezi, japokua hakuna scientific evidence za kutosha (tafiti bado zinaendelea).

- Analysis ya miamba kutoka mwezini ilionyesha kushabiiana kwa composition na miamba ya hapa duniani. Miamba ya mwezini ilionyesha minerals kama olivine, pyroxine, feldspar, plangioclase na ilmenite minerals ambazo pia ni common kwenye miamba ya hapa duniani. Kwa namna fulani huku kushabiiana kunaweza kuprove kwamba mwezi ulitokana na dunia.

- Vilevile umri wa miamba ya mwezini inaonesha kushabiiana na miamba ya duniani. Wastani wa umri wa miamba ya mwezini ni miaka 3.7 billion years huku umri mkubwa zaidi ukiwa miaka 4 billion. Inaonyesha miamba ya mwezini na duniani ilipoa kutoka magma almost at the same period of time.

- Tafiti zinahitajika zaidi ili kujua ukweli halisi
 
Mkuu vip kuhusu big bang theory?? Au yenyewe inaelezea kuhusu kugawanyika kwa mabara ya Dunia pekee?? Na haielezei kuhusu kutokea kwa vitu vyote vinavyounda ulimwengu? Ikiwemo miez ya Sayari mbali mbali,Nyota, Sayari na vitu vingne ?? Na Kama big bang theory Ina play part katka formation ya vitu vyote vinavyounda Ulimwengu huon kuwa hyo giant hypothesis ni ya uongo???
Maana big bang theory yenyewe ina ukweli takriban 80% ,hii theory inasadikiwa ni ya ukweli kwa sababu zifuatazo:
-kufanana kwa mimea ya mabara yanayoshabihiana,mfano mimea ya South America na mimea iliopo nchi za kusin mwa Africa
-Mfanano wa miamba Kat ya America kusin na Afrika kusin nk
 
Mkuu hicho unachokisema ni continental drift theory ambayo inaelezea kugawanyika kwa mabara kwenye sayari yetu, Tofauti na Big bag theory ambayo inaelezea origin of universe kwa maana nyingine ulimwengu ulipotokea.
 
Kwani Kuna ushahid gan unaoonesha kuwa kabla ya formation of continents mwezi na vitu vyote in the Universe vilikuwa separately?? Hebu tuache kwanza ya kwenye vitabu au kwenye Google badala yake tutumie akili zetu kwanza
 
Mkuu vip kuhusu big bang theory?? Au yenyewe inaelezea kuhusu kugawanyika kwa mabara ya Dunia pekee?? Na haielezei kuhusu kutokea kwa vitu vyote vinavyounda ulimwengu? Ikiwemo miez ya Sayari mbali mbali,Nyota, Sayari na vitu vingne ?? Na Kama big bang theory Ina play part katka formation ya vitu vyote vinavyounda Ulimwengu huon kuwa hyo giant hypothesis ni ya uongo???
Maana big bang theory yenyewe ina ukweli takriban 80% ,hii theory inasadikiwa ni ya ukweli kwa sababu zifuatazo:
-kufanana kwa mimea ya mabara yanayoshabihiana,mfano mimea ya South America na mimea iliopo nchi za kusin mwa Africa
-Mfanano wa miamba Kat ya America kusin na Afrika kusin nk
- Bing bang theory inaelezea mwanzo wa ulimwengu miaka ~ 13 bilioni iliyopita. Hii inaelezea kwamba ulimwengu ulitokea after a sudden expansion of matter, energy and space from a single point (Some kind of explosion). Kumbuka baada ya bing bang hakukua na nyota wala sayari wala body yeyote ulimwenguni, kulikua na particles tu. Baada ya ulimwengu kupoa hizo particle ziligongana na kutengeneza elements. Elements za kwanza kabisa ulimwenguni ni hydrogen (H), Helium (He) na Lithium (Li). Elements zingine zilikuja kutokea baada ya elements tajwa hapo juu kugongana ( Ukifuatilia reactions zinazopelekea jua kutoa energy utaelewa elements zenye atomic mass kubwa zilitengenezwa vipi).

Baada ya bing bang muda mrefu ulipita na majua mengi yalizaliwa na kufa ili tu kupata viungo muhimu (elements) vitakavyo sababisha formation ya bodies ulimwenguni iwezekana.

- Nebular hypothesis inaelezea mwanzo wa solar system miaka ~ 4.5 bilioni iliyopita kutoka kwenye wingu la gesi. Hii ndio inaelezea formation ya sayari ikiwemo dunia yetu.

- Continental drift theory inaelezea movement ya continental plates. Ambapo evidence zinaonyesha pangea ilianza kugawanyika miaka ~ 200 milioni iliyopita.

Nafikiri maelezo hayo yanatosha kukusaidia usiendelee kujichanganya.
 
Mkuu tungekuwa tunasoma vilivyopo tu bila kufikirisha akili zetu tusingekuwa tunagundua theory mpya!!!! Hujui kuwa Kuna vitu ving vimeandikwa ni vya uongo?
- Sayansi haihitaji kufikiria pekee bali pia inahitaji experiments and facts. Fikiria huwezavyo lakini kama huna evidence and your ideas can not be successfully experimented basi huna mamlaka yeyote kuchangia chochote katika ulimwengu wa sayansi (Sikutishi bali nakupa motivation).

- Kingine! Unapojaribu kuelezea tafiti alizofanya mtu mwingine basi jitahidi uwe unaelezea kwa usahihi, bila kujali wewe unafikiria nini.

- Duniani kuna mambo mengi ambayo paka leo hayana majibu na mengine ambayo hayawezi kuelezeka kisayansi. Dunia inategemea akili kama yako kutafuta solutions.
 
- Bing bang theory inaelezea mwanzo wa ulimwengu miaka ~ 13 bilioni iliyopita. Hii inaelezea kwamba ulimwengu ulitokea after a sudden expansion of matter, energy and space from a single point (Some kind of explosion). Kumbuka baada ya bing bang hakukua na nyota wala sayari wala body yeyote ulimwenguni, kulikua na particles tu. Baada ya ulimwengu kupoa hizo particle ziligongana na kutengeneza elements. Elements za kwanza kabisa ulimwenguni ni hydrogen (H), Helium (He) na Lithium (Li). Elements zingine zilikuja kutokea baada ya elements tajwa hapo juu kugongana ( Ukifuatilia reactions zinazopelekea jua kutoa energy utaelewa elements zenye atomic mass kubwa zilitengenezwa vipi).

Baada ya bing bang muda mrefu ulipita na majua mengi yalizaliwa na kufa ili tu kupata viungo muhimu (elements) vitakavyo sababisha formation ya bodies ulimwenguni iwezekana.

- Nebular hypothesis inaelezea mwanzo wa solar system miaka ~ 4.5 bilioni iliyopita kutoka kwenye wingu la gesi. Hii ndio inaelezea formation ya sayari ikiwemo dunia yetu.

- Continental drift theory inaelezea movement ya continental plates. Ambapo evidence zinaonyesha pangea ilianza kugawanyika miaka ~ 200 milioni iliyopita.

Nafikiri maelezo hayo yanatosha kukusaidia usiendelee kujichanganya.
Kuna ushahid gan mkuu unaoonesha kuwa baada ya bing bang theory kuwa hakukuwa na nyota Wala mwezi ??
 
Principle za physics na hesabu hazidanganyi. Hapa tunazungumzia mwanzo wa kilakitu na hakuna mwanzo wenye kila kitu.

Kama hukubaliani na vitabu basi niambie wewe unahisi vilitoka wapi?
 
Vimondo ni magimba yanayomeguka kutoka kwenye Sayari na yakishameguka huingia kwenye anga la Dunia yetu na hatimae hudondokea kwenye uso wa Dunia yetu!

Swali ni je hiki kipate kinawezaje kueskepu kutoka kwenye Sayari wakati Kuna grevitational force?

Najaribu kujiuliza na kuchukua mfano kipande cha Dunia hakiwezi kutoka kwenye uso wa Dunia na kuelekea kwenye anga maana Kuna gravitational imekishikiria!

Kwenye Sayari inawezekaneje kipande kimeguke na kieskepu kwenye hiyo Sayari?

Swali jingne: Kimondo kikiwa kinakuja kwenye uso wa Dunia huwa vina mwanga mkubwa Sana, lakin kikifika chini huzimika kabisa na mwanga huo hupotea kabisa, na kinakuwa ni jiwe tu Kama yalivyo mengine. Swali je huo mwanga kwanini hupotea?

Kwanini vimondo Mara nyingi hutua katika uso wa Dunia mida ya usiku?
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Principle za physics na hesabu hazidanganyi. Hapa tunazungumzia mwanzo wa kilakitu na hakuna mwanzo wenye kila kitu.

Kama hukubaliani na vitabu basi niambie wewe unahisi vilitoka wapi?
Ni vitabu gani pia ni principle gan? hebu taja mkuu niingie Google books nisome!! Harafu kwenye majibu yako mbona unaegemea Sana kwenye theory?? Yaan huelezei kulingana na understanding yako,theory ni Kama Ni Kama reference tu,wew ndo unatakiwa utoe maelezo yanayoonesha nin umekielewa kutoka kwenye theory!!!

•Harafu na swali langu la kuhusu kimondo kueskepu kutoka kwenye Sayari na kuanza Safari ya kuja kwenye uso wa Dunia hukujibu vizuri!!!
Hebu jaribu kujibu kwa kutumia uelewa wako ulioupata kutoka kwenye theory
 
1. Sababu ya kwanini sio sayar zote zna gravitational Kama ya Dunia ungeziweka nkazifaham!!!! Hapa kwenye maelezo yako mkuu bado napata utata Sana,hata Kama Kuna gravitational ndogo kitu kitachomokaje kueskepu kwenye Sayari ??? ikiwezekana toa ufafanuzi mzur mkuu ili nielewe
2. Satan na yenyewe Haina gravitational force ya kuhold vitu vyake mpaka vinatukuta sis huku Duniani?? Fafanua kuhusu vimbunga vya sayar
3.Hayo magimba huwa yanatokea kweny nin,yaan kabla ya kuanza kuanguka huwa yamejiatach wap mkuu??
Maswali haya hujayajibu
• Kwanin kimondo kikidondoka huzimika??
•Kwanin Mara nying Vimondo huanguka nyakati za ucku??
Ahsante
Mkuu mbna kama vile safar ya kuelezea itakua ngum kidg, me nakushauri fanya hvii Anza kufatlia soma soma vitabu, na google sana mambo na magazines za space ivoo kua curious af ukifika mahala sasa ukakwama ndo uulze make hapo mtu akisema aanze kuelezea na concept ya gravity... Kuna mamb hku mbele, mazuri sana utayafikia umechoka sana
 
Vimondo ni magimba yanayomeguka kutoka kwenye Sayari na yakishameguka huingia kwenye anga la Dunia yetu na hatimae hudondokea kwenye uso wa Dunia yetu!

Swali ni je hiki kipate kinawezaje kueskepu kutoka kwenye Sayari wakati Kuna grevitational force?

Najaribu kujiuliza na kuchukua mfano kipande cha Dunia hakiwezi kutoka kwenye uso wa Dunia na kuelekea kwenye anga maana Kuna gravitational imekishikiria!

Kwenye Sayari inawezekaneje kipande kimeguke na kieskepu kwenye hiyo Sayari?

Swali jingne: Kimondo kikiwa kinakuja kwenye uso wa Dunia huwa vina mwanga mkubwa Sana, lakin kikifika chini huzimika kabisa na mwanga huo hupotea kabisa, na kinakuwa ni jiwe tu Kama yalivyo mengine. Swali je huo mwanga kwanini hupotea?

Kwanini vimondo Mara nyingi hutua katika uso wa Dunia mida ya usiku?
kaka em soma kwanza mahali google hata kuGoogle itakusaidia zaid mkuu
 
Wew Kama una uelewa mkuu ni vizuri tu ukauweka hapa!! Hata mwanafunzi sio lazma aelewe akiwa darasani tu mbali huelewa hata akiwa nje ya darasa,ko maelezo yako yanaweza yakanifanya nielewe zaidi kuliko kwenye Google!!

NB: Sio vitu vyote vilivyoandikwa kwenye Google ni vya ukweli,vingne ni vya uongo
 
Mkuu mbna kama vile safar ya kuelezea itakua ngum kidg, me nakushauri fanya hvii Anza kufatlia soma soma vitabu, na google sana mambo na magazines za space ivoo kua curious af ukifika mahala sasa ukakwama ndo uulze make hapo mtu akisema aanze kuelezea na concept ya gravity... Kuna mamb hku mbele, mazuri sana utayafikia umechoka sana
Wew Kama una uelewa elezea hata kidogo nielewe!!!
 
Back
Top Bottom