Nina maswali kadhaa kuhusu mwenge

Mtafute omary mnyeshani ameuelezea kwa kina sana na jinsi unavyofanya kazi kichawi akiwa mshiriki wa kuitambikia nchi mkoa wa Lindi na eneo analijua
Ndio nani huyo na nitamtafutia wapi
 
Mwengu wa mwaka huu unzindua kila kitu hata kama kuna upigaji, au kitu kipo chini ya kiwango..... hauna mvuto kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…