Nina maswali mengi juu ya mashetani aliokuwa akipandisha mama yangu mzazi

Bora ya kwetu yanaongea Kizaramo na kindengereko, likija la mbali basi yatapiga kikwere au kimatumbi kwenye sherehe za pungo.
 
Kwa nin umtake wa kiingereza?

Unadhan ana hela?

yes naimani umenielewa kabisa nahofia vizazi vyangu visije pitia hii changamoto najua madhara yake that why nakuwa namaswali mengi sana
 
ujaelewa kiongozi wangu.mama yangu sio mlevi na hatumii pombe ya aina yoyote ile ishort na ana maisha yake na numba zake alizoachiwa na baba yake mzazi so hana shida wala njaa,labda umeongea kwa mihemko tyu
 
yes naimani umenielewa kabisa nahofia vizazi vyangu visije pitia hii changamoto najua madhara yake that why nakuwa namaswali mengi sana
Kitu pekee unachohitaji kwa sasa ni kumjua zaidi Mungu. Mimi nmepitia kwenye familia kama yako. Nilipojikita zaidi nikawa najua nini kilichokuwa kinaendelea ktk familia, Mungu alikuwa ananionesha kupitia ndoto, muda mwingine nikiwa nasali nilikuwa kama nafsi inaambiwa kuna kitu fulani kiliwahi kufanyika, ombea eneo hilo, basi naomba.
 
Thanks kwa ushauri. Changamoto kwa kweli
 
ujaelewa kiongozi wangu.mama yangu sio mlevi na hatumii pombe ya aina yoyote ile ishort na ana maisha yake na numba zake alizoachiwa na baba yake mzazi so hana shida wala njaa,labda umeongea kwa mihemko tyu
Umesema kila akipandisha hupewa pombe kali kisha anatulia na hanuki pombe?

Mimi nimetoa tafsiri yangu ya hadithi yako.
 
KUNA MTU HUWA NAMSIKIA ANASEMA, I DONT WANT PEACE, I WANT PROBLEMS..
SASA NAONA NDO WEWE
 
Ulijuaje kama Mama yako alikuwa anaongea pure Kiingereza ikiwa wewe ulikuwa na miaka 7 tu na familia yenu hakuna hata mmoja aliyejuwa Kiingereza?
 
Huyo shetani wa kizungu labda alikua anataka pombe kali tu hana jipya
 
Kwamba liliongea kiingereza pure kabisa na hakuna aliekua anajua kiingereza kwenu, sa ulijuaje kama ni pure?

Ifike kipindi serikali ituonee huruma ma jobless, jua ni kali sana.
Hii umenikumbusha nikwenda kijijin kumtembelea mjomba wao kina mama alikua anaitwa mzee said Majin hapo ndo nimemaliza form four ka kiingereza kapo kapo kichwan bas bwana yule akapandisha Majin yake wacha ajifanye anaongea kiigereza looh uongo mtupu kumbe alikua anawapiga tu sound wanakijiji wenzie 🤣🤣🤣🤣
 
Kati ya kingereza na kiarabu kipi kigumu. Nanna kama bado hamuamini
 
Hao mama zako sio wachawi kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…