Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Siri za mashetani
HahahaKwamba liliongea kiingereza pure kabisa na hakuna aliekua anajua kiingereza kwenu, sa ulijuaje kama ni pure?
Ifike kipindi serikali ituonee huruma ma jobless, jua ni kali sana.
Kwa nin umtake wa kiingereza?
Unadhan ana hela?
yes naimani umenielewa kabisa nahofia vizazi vyangu visije pitia hii changamoto najua madhara yake that why nakuwa namaswali mengi sanaMkuu achana na hayo mambo, utaingia ktk imani za kishirikina ukiamua kuyafatilia. Wanaosema mama anasumbuliwa na matatizo ya akili hawajui wanayosema.
So far, mama atakuwa na nguvu kubwa sana za giza endapo kama hakuwahi kuombewa ili kutolewa hayo majini.
Mshukuru Mungu kwa kuwa wewe ni mzima, jikite zaidi ktk kumtumainia Mungu na kumpendeza. Angalia usije ukaidumbukiza familia yako wewe mwenyewe ktk imani za kishetani wakati kuna neema ya Mungu imekufunika wewe kuwa mbali na mambo hayo.
kuna watu hawata weza kuamini ata kidogo ila ukweli ndio uwoUgonjwa wa akili mtu aongee kiingereza wakati hakukisoma!?
ujaelewa kiongozi wangu.mama yangu sio mlevi na hatumii pombe ya aina yoyote ile ishort na ana maisha yake na numba zake alizoachiwa na baba yake mzazi so hana shida wala njaa,labda umeongea kwa mihemko tyuUlikuwa na miaka 7 hakuna aliyekuwa anajua kiingereza kwenu lakini ulijua aliongea kiingereza? Tena umesema kiingereza pure ulijuaje ni kiingereza?
Hata hakuongea kiingereza unahisi tu kilikuwa kiingereza kwasababu ya umri wako wakati huo na hakuna yeyote aliyekuwa anajua chochote kwenu wakati huo.
Huyu mama yako alikuwa mlevi tu, alibuni njia ya kupata pombe za bure, naamini angeomba pesa akiwa mzima ili anunue pombe asingepewa, ila kwasababu aliipata kila alipojitia uchizi, basi akawa kila akipata hamu ya pombe ana jitia uchizi anapewa pombe kali anatulia.
baadhi ya watu hawaamini sana haya mambo so tukija apa kuomba msaada tunaonekana atujaenda shuleBora ya kwetu yanaongea Kizaramo na kindengereko, likija la mbali basi yatapiga kikwere au kimatumbi kwenye sherehe za pungo.
Kitu pekee unachohitaji kwa sasa ni kumjua zaidi Mungu. Mimi nmepitia kwenye familia kama yako. Nilipojikita zaidi nikawa najua nini kilichokuwa kinaendelea ktk familia, Mungu alikuwa ananionesha kupitia ndoto, muda mwingine nikiwa nasali nilikuwa kama nafsi inaambiwa kuna kitu fulani kiliwahi kufanyika, ombea eneo hilo, basi naomba.yes naimani umenielewa kabisa nahofia vizazi vyangu visije pitia hii changamoto najua madhara yake that why nakuwa namaswali mengi sana
Thanks kwa ushauri. Changamoto kwa kweliKitu pekee unachohitaji kwa sasa ni kumjua zaidi Mungu. Mimi nmepitia kwenye familia kama yako. Nilipojikita zaidi nikawa najua nini kilichokuwa kinaendelea ktk familia, Mungu alikuwa ananionesha kupitia ndoto, muda mwingine nikiwa nasali nilikuwa kama nafsi inaambiwa kuna kitu fulani kiliwahi kufanyika, ombea eneo hilo, basi naomba.
Umesema kila akipandisha hupewa pombe kali kisha anatulia na hanuki pombe?ujaelewa kiongozi wangu.mama yangu sio mlevi na hatumii pombe ya aina yoyote ile ishort na ana maisha yake na numba zake alizoachiwa na baba yake mzazi so hana shida wala njaa,labda umeongea kwa mihemko tyu
Ulijuaje kama Mama yako alikuwa anaongea pure Kiingereza ikiwa wewe ulikuwa na miaka 7 tu na familia yenu hakuna hata mmoja aliyejuwa Kiingereza?Hello wapendwa, kama kichwa cha Habari kinavyo jieleza apo juu. kipindi nilivyokuwa mdogo miaka 7 niliona kwa macho yangu bi mkubwa akipandisha mashetani na kuongea lugha ambayo nilishindwa kuielewa (kiarabu) alieweza kuongea nae alikuwa mama mkubwa na yeye lazima apandishe mashetani ndio waweze kuelewana vizuri.
Kuna siku Moja alipandisha shetani la kizungu na Kwanza kuongea kingereza kabisa pure shida ilikuja akuna aliekuwa anajua anachozungumza kutokana Familia zetu akuna aliekuwa anajua kingereza ili kumtuliza wanampa glass mbili za pombe kali baada ya dk 15 Hali Inatulia na kuendelea na kazi zake za nyumbani (haonekani akinuka pombe wala kulewa) hiyo Hali ilitokea Mara chache sana .
ILA
Nilivyofikisha miaka 30 bi mkubwa akaniltetea mdogo wangu wakike tukawa wawili tu. Tokea kipindi icho bi mkubwa akuwahi pandisha mashetani yoyote Yale
Sasa nishakuwa mkubwa najitambua nataka nijaribu niongee na Hao mashetani walikuwa na siri gani walitaka nini katika Familia yetu sana sana yule shetani aliekuwa anaongea kingereza nijue alitaka nini alitokea wapi na kwanini amekuwa kimya zaidi ya miaka
23
Sijui mama atalichukuliaje hili swala sijui atanijibu Nini nataka apandishe nipate majibu kablasijaondoka apa duniani ..
Huyo shetani wa kizungu labda alikua anataka pombe kali tu hana jipyaHello wapendwa, kama kichwa cha Habari kinavyo jieleza apo juu. kipindi nilivyokuwa mdogo miaka 7 niliona kwa macho yangu bi mkubwa akipandisha mashetani na kuongea lugha ambayo nilishindwa kuielewa (kiarabu) alieweza kuongea nae alikuwa mama mkubwa na yeye lazima apandishe mashetani ndio waweze kuelewana vizuri.
Kuna siku Moja alipandisha shetani la kizungu na Kwanza kuongea kingereza kabisa pure shida ilikuja akuna aliekuwa anajua anachozungumza kutokana Familia zetu akuna aliekuwa anajua kingereza ili kumtuliza wanampa glass mbili za pombe kali baada ya dk 15 Hali Inatulia na kuendelea na kazi zake za nyumbani (haonekani akinuka pombe wala kulewa) hiyo Hali ilitokea Mara chache sana .
ILA
Nilivyofikisha miaka 30 bi mkubwa akaniltetea mdogo wangu wakike tukawa wawili tu. Tokea kipindi icho bi mkubwa akuwahi pandisha mashetani yoyote Yale
Sasa nishakuwa mkubwa najitambua nataka nijaribu niongee na Hao mashetani walikuwa na siri gani walitaka nini katika Familia yetu sana sana yule shetani aliekuwa anaongea kingereza nijue alitaka nini alitokea wapi na kwanini amekuwa kimya zaidi ya miaka
23
Sijui mama atalichukuliaje hili swala sijui atanijibu Nini nataka apandishe nipate majibu kablasijaondoka apa duniani ..
Yes ndio uyouyoKUNA MTU HUWA NAMSIKIA ANASEMA, I DONT WANT PEACE, I WANT PROBLEMS..
SASA NAONA NDO WEWE
Mbona kiarabu hamsemi au kiarabu sio lugha duuu bongo nyosoUlijuaje kama Mama yako alikuwa anaongea pure Kiingereza ikiwa wewe ulikuwa na miaka 7 tu na familia yenu hakuna hata mmoja aliyejuwa Kiingereza?
Bado sijakuelewaMbona kiarabu hamsemi au kiarabu sio lugha duuu bongo nyoso
Hii umenikumbusha nikwenda kijijin kumtembelea mjomba wao kina mama alikua anaitwa mzee said Majin hapo ndo nimemaliza form four ka kiingereza kapo kapo kichwan bas bwana yule akapandisha Majin yake wacha ajifanye anaongea kiigereza looh uongo mtupu kumbe alikua anawapiga tu sound wanakijiji wenzie 🤣🤣🤣🤣Kwamba liliongea kiingereza pure kabisa na hakuna aliekua anajua kiingereza kwenu, sa ulijuaje kama ni pure?
Ifike kipindi serikali ituonee huruma ma jobless, jua ni kali sana.
Hii umenikumbusha nikwenda kijijin kumtembelea mjomba wao kina mama alikua anaitwa mzee said Majin hapo ndo nimemaliza form four ka kiingereza kapo kapo kichwan bas bwana yule akapandisha Majin yake wacha ajifanye anaongea kiigereza looh uongo mtupu kumbe alikua anawapiga tu sound wanakijiji wenzie 🤣🤣🤣🤣
Hao mama zako sio wachawi kweli?Hello wapendwa, kama kichwa cha Habari kinavyo jieleza apo juu. kipindi nilivyokuwa mdogo miaka 7 niliona kwa macho yangu bi mkubwa akipandisha mashetani na kuongea lugha ambayo nilishindwa kuielewa (kiarabu) alieweza kuongea nae alikuwa mama mkubwa na yeye lazima apandishe mashetani ndio waweze kuelewana vizuri.