Nina maumivu makubwa moyoni, hadi nimepata mawazo mengi mabaya kiasi cha kutamani kujidhuru

Nina maumivu makubwa moyoni, hadi nimepata mawazo mengi mabaya kiasi cha kutamani kujidhuru

Hata jirani yangu alijiua na hadi leo sababu haijulikani!
Huwa inaumiza sana kaka yake mkubwa Jana kipindi anatuambia watasafirisha mara akaanza kulia kama mtoto. Ujue vifo vya namna hii Huwa na mkanganyiko sana mnabaki kujiuliza huenda mke wake anajua kumbe nae hajui kitu..... Maiti waliiona saa4 mashambani kwenye mwembe Hadi police kuja na kuipeleka hospital ilikuwa saa10 jion nafika saa12 naambiwa japhet kajinyonga akili ikanituma labda alibeti hii derby maana alikuwa mwana Simba lialia Bado nikaona sio sababu ya kuacha Hadi watoto
 
Daaah ni huzuni hakika.
 
Kuna MTU alijiua alikuwa muhudumu wa bar alijiua ndani ya chumba kisa kudaiwa laki Saba na boss.

Alipewa ukimwi na wanachuo then akahonga na laki Saba .

Watu tumetofautiana Sana
Daaah!
 
Ninaandika haya nikiwa na maumivu makubwa moyoni, nimepata mawazo mengi mabaya kiasi cha kutamani kujidhuru lakini sijathubutu na kwa bahati mbaya niliruhusu kufa kiume na changamoto zangu lakini nimeshindwa

Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 29 mwenyeji wa Kibondo-Kigoma kwa sasa Nipo Dar

Tatizo langu
Tangu October 2023 Nimepata changamoto kubwa sana za kifedha zilizoniharibia mipango yangu kwa ujumla na kuniacha na deni la Tsh 1.9M naishi kama chokoraa

I swear, KUNA muda ninapata wazo la kufanya CHOCHOTE ili nipate pesa ikiwemo HATA pesa za manyoka

Nimeamka usiku huu nikapata wazo la kunywa vidonge zaidi ya 10 vya Panadol, namshukuru Mungu nimeweza Kupambana na Hilo pepo

SIKO SAWA WAKUU

LENGO LA KUANDIKA HAPA NI LUUONYESHA ULIMWENGU NACHOPITIA Pengine HATA nikipotea nitatua mzigo kwa namna Moja ama nyingine

NIMESURRENDER
MAISHA YANGU YAMEHARIBIKA, YAMEKUFA
sada hujatueleza chochote ni kipinkilikusibu
 
According to fatally wounded John Abbruzi, ^Any day on earth is a blessing.^

^1 Baada ya mambo hayo neno la Bwana likamjia Abramu katika njozi, likinena, Usiogope, Abramu, Mimi ni ngao yako, na thawabu yako kubwa sana.

^2 Abramu akasema, Ee Bwana MUNGU, utanipa nini, nami naenda zangu hali sina mtoto, na atakayeimiliki nyumba yangu ni huyu Eliezeri, Mdameski?

^3 Abramu akasema, Tazama, hukunipa uzao, na mtu aliyezaliwa nyumbani mwangu ndiye mrithi wangu.

^4 Nalo neno la Bwana likamjia likinena, Huyu hatakurithi, bali atakayetoka katika viuno vyako ndiye atakayekurithi.

^5 Akamleta nje, akasema, Tazama sasa mbinguni, kazihesabu nyota, kama ukiweza kuzihesabu. Akamwambia, Ndivyo utakavyokuwa uzao wako.

^6 Akamwamini Bwana, Naye akamhesabia jambo hili kuwa haki.^ (Mwanzo 15)
 
1.9m tu ujiue?

Mimi binafsi nadaiwa 12,900,000/= na jamaa alinipa ninunue mazao nikaziga zote.

Mke wangu aliingia vikoba akakopa yeye na kukopea mashoga zake kama laki 9 Kila siku jam mageto.

Ninapoandika hapa, nawaza kumteknisha tajiri WA ng'ombe anipe maksai za kulimia nianze vibarua kwa watu.

Mwisho, wanaokudai wote waambie wakupe miezi 6 ujipange. Wakienda popote unaitwa uende na utoe ushirikiano kuwa kwa sasa mambo Yako yameenda mrama Hadi miezi sita utawalipa.

Usiogope selo Wala gerezani. Huko ndo pakupumzika na kupewa morali na mawazo chanya na Wana.

Usijifhulu dogo.
Nimeipenda ujasiri wako,maisha Ni kupambana Hadi mwisho.
No retreat no surrender
 
Ninaandika haya nikiwa na maumivu makubwa moyoni, nimepata mawazo mengi mabaya kiasi cha kutamani kujidhuru lakini sijathubutu na kwa bahati mbaya niliruhusu kufa kiume na changamoto zangu lakini nimeshindwa

Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 29 mwenyeji wa Kibondo-Kigoma kwa sasa Nipo Dar

Tatizo langu
Tangu October 2023 Nimepata changamoto kubwa sana za kifedha zilizoniharibia mipango yangu kwa ujumla na kuniacha na deni la Tsh 1.9M naishi kama chokoraa

I swear, KUNA muda ninapata wazo la kufanya CHOCHOTE ili nipate pesa ikiwemo HATA pesa za manyoka

Nimeamka usiku huu nikapata wazo la kunywa vidonge zaidi ya 10 vya Panadol, namshukuru Mungu nimeweza Kupambana na Hilo pepo

SIKO SAWA WAKUU

LENGO LA KUANDIKA HAPA NI LUUONYESHA ULIMWENGU NACHOPITIA Pengine HATA nikipotea nitatua mzigo kwa namna Moja ama nyingine

NIMESURRENDER
MAISHA YANGU YAMEHARIBIKA, YAMEKUFA
Mm nadiliki kusema wewe ni mpumbavu sana huna akili hata kidogo, tena kwa kifupi hujitambui.

Una taka kujitoa uhai kwa sababu ya changamoto za maisha,upo sawa kweri?

Badala upambane kiume,siku hizi kuna boda na kuna Bajaj una shindwa kujifunza,ukawa una jiingizia kipato?

Usichague kazi fanya kazi yoyote ambayo ni halali,dar kuna viwanda vingi tu.

Au ludi kibondo, kwa sasa ni msimu wa kilimo ukapige jembe,unge kua na tatizo la kiafya kidogo ungepata huluma yangu.

Yupo jamaa namuona sana TikTok hana miguu yote 2 pia njia ya kujisadia kawaida haiwezekani,na yupo tu ana pambana.

Wewe mwenye afya njema ana waza kujizuru kabebe zege acha kulia Lia hapa.
 
Pole sana kijana!
Hata hivyo usijidhuru, maadam umeweza kupata nguvu ya kuandika humu, basi hii ni hatua kufikia ukombzi wako. Deni haliui, naamini kuna mlango wa kutokea.
Nakuombea baraka za Mweyezi Mungu.
 
Usijiue mkuu, matatizo ni sehemu ya maisha.....

Miaka ya nyuma niliwahi kuyumba kimaisha enzi hizo naishi Arusha, mwenye nyumba alikua ananidai pesa nyingi sana kwa sababu Kodi nilikua sijamlipa miezi kadhaa.... Na alikua hataki kulipwa kidogo kidogo, alikua anataka alipwe yote Cash.... Kila siku asubuhi, mchana full kuja nyumbani kunidai hela, Kuna kipindi nilikua namkimbia au najifungia ndani kama sipo vile...

Kuna siku nilipata hela kidogo nikataka nipunguze deni still akawa hataki bali anataka hela yote, nikaona huyu ananikosesha Raha kuja nyumbani Kila mara.. Siku Moja nikawaza nikaona ngoja niende mbali na huyu mwenye nyumba niepuke kero, siku moja asubuhi nikafunga nyumba nikaenda zangu Dar, nikakaa guest house zile za elfu kumi kwa siku Tano. Nilivyoona Ile hela inataka kuisha nikarudi Arusha, majirani wakaniambia jamaa alikua anakuja kunitafuta Kila mara... Kuanzia siku hiyo akaanza kunisumbua Tena....

Sasa mimi nyumbani kwetu ni mbeya, Nina jamaa angu flani anaendesha hizi gari kubwa za mizigo Moja ya root yake ni Dar-Mbeya-Tunduma. Kuna siku Moja nimeongea nae kwenye simu akaniambia yupo Moshi ila asubuhi sana anamsha anaenda Tunduma... Usiku huo huo nikafunga nyumba nikaenda Moshi, asubuhi nikapanda gari yake akaenda kuniacha mbeya yeye akaendelea na safari ya Tunduma... Kule mbeya nilikaa mwezi mzima, mwenye nyumba alipiga simu iliita milio yote bila kupokelewa mpaka akakoma mwenyewe...

Kuna mishe nilipiga nikapata Hela then nikarudi Arusha nikampa Hela yake na nyumba yake nikahama.... Mkuu komaa maisha hayajawahi kukosa changamoto, changamoto ndo zinazotujenga...
 
Ninaandika haya nikiwa na maumivu makubwa moyoni, nimepata mawazo mengi mabaya kiasi cha kutamani kujidhuru lakini sijathubutu na kwa bahati mbaya niliruhusu kufa kiume na changamoto zangu lakini nimeshindwa

Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 29 mwenyeji wa Kibondo-Kigoma kwa sasa Nipo Dar

Tatizo langu
Tangu October 2023 Nimepata changamoto kubwa sana za kifedha zilizoniharibia mipango yangu kwa ujumla na kuniacha na deni la Tsh 1.9M naishi kama chokoraa

I swear, KUNA muda ninapata wazo la kufanya CHOCHOTE ili nipate pesa ikiwemo HATA pesa za manyoka

Nimeamka usiku huu nikapata wazo la kunywa vidonge zaidi ya 10 vya Panadol, namshukuru Mungu nimeweza Kupambana na Hilo pepo

SIKO SAWA WAKUU

LENGO LA KUANDIKA HAPA NI LUUONYESHA ULIMWENGU NACHOPITIA Pengine HATA nikipotea nitatua mzigo kwa namna Moja ama nyingine

NIMESURRENDER
MAISHA YANGU YAMEHARIBIKA, YAMEKUFA
Mimi ndoa yangu iko na changamoto, nina madeni kibao, na bado ada za watoto shule sijamaliza,,, piga moyo konde na uone unatatua vipi hizo changamoto
 
Vyovyote itakavyokuwa usije toa mkundu ili upate hela kirahisi pambana kijana ilo jambo limekuwa kawaida sn kwa vijana wa Dar wakiona mambo ya kiuchumi yanawaendea ovyo
 
Ninaandika haya nikiwa na maumivu makubwa moyoni, nimepata mawazo mengi mabaya kiasi cha kutamani kujidhuru lakini sijathubutu na kwa bahati mbaya niliruhusu kufa kiume na changamoto zangu lakini nimeshindwa

Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 29 mwenyeji wa Kibondo-Kigoma kwa sasa Nipo Dar

Tatizo langu
Tangu October 2023 Nimepata changamoto kubwa sana za kifedha zilizoniharibia mipango yangu kwa ujumla na kuniacha na deni la Tsh 1.9M naishi kama chokoraa

I swear, KUNA muda ninapata wazo la kufanya CHOCHOTE ili nipate pesa ikiwemo HATA pesa za manyoka

Nimeamka usiku huu nikapata wazo la kunywa vidonge zaidi ya 10 vya Panadol, namshukuru Mungu nimeweza Kupambana na Hilo pepo

SIKO SAWA WAKUU

LENGO LA KUANDIKA HAPA NI LUUONYESHA ULIMWENGU NACHOPITIA Pengine HATA nikipotea nitatua mzigo kwa namna Moja ama nyingine

NIMESURRENDER
MAISHA YANGU YAMEHARIBIKA, YAMEKUFA
Labda una shida nyingine ..1.9M ikutoe uhai?
 
Polee sana ndugu nafahamu kwa kiasi unapokuwa katika situation kama hiyo lakini ukijiua ndio utakuwa mwanzo wa matatizo huko uendako!

Shetani anakuchochea ufanye hivyo na Mungu anazuia kwa namna mbali mbali sasa kama ukijiua ndugu uendako huko utateseka milele kabisa DON'T TRY kabisa..

Sasa ninachokushauri ikiwa bado hujaokoka chukua uamuzi sasa wakati huu okoka muamini Yesu Kristo leo hii. Na baada ya hapo yeye ataanza kuyanyoosha mapito yako na taratibu utaanza kuona mabadiliko na mpaka unapanga plan za kujiua na inashindikana basi jua Mungu anakusudi kubwa na wewe..

Maisha yako bado yana thamani kwa Mungu na katika jamii usikate tamaa hata kidogo..

Wakina na Yusufu waliwekwa gerezani wakisubili hukumu ya kunyongwa tu lakini hawakukata tamaa walisimama na Mungu na akawatoa huko magerezani na mwisho anakuwa waziri Mkuu wa Misri (Simaanishi kwamba uwe Yusufu) lakini natoa mfano kwa watu kama hao..

Unayo nafasi ya kumrudia Muumba wako leo hii Tubu dhambi zako kwa kumaanisha kabisa kugeuka sio kwa sababu ya madeni uliyonayo ndio umuamini Yesu ili akusaidie kulipa la! Bali kwa usalama wa roho yako na yeye baada ya hapo ataanza kukupa nguvu na kukufungulia milango.

Ikiwa uko dar es salaam ni vyema tungelionana itakuwa vizuri zaidi.

Mawasiliano zaidi 0613079530.
Kama utatamani kupata ushauri wa Ki-Mungu nakukaribisha sana karibu na amini Bwana atafanya makuu katika maisha yako.

Ubarikiwe sana.
 
Back
Top Bottom