Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Usiishie tu kushukuru uufanyie kazi ushauriShukrani kwa ushauri wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiishie tu kushukuru uufanyie kazi ushauriShukrani kwa ushauri wako
Huwa inaumiza sana kaka yake mkubwa Jana kipindi anatuambia watasafirisha mara akaanza kulia kama mtoto. Ujue vifo vya namna hii Huwa na mkanganyiko sana mnabaki kujiuliza huenda mke wake anajua kumbe nae hajui kitu..... Maiti waliiona saa4 mashambani kwenye mwembe Hadi police kuja na kuipeleka hospital ilikuwa saa10 jion nafika saa12 naambiwa japhet kajinyonga akili ikanituma labda alibeti hii derby maana alikuwa mwana Simba lialia Bado nikaona sio sababu ya kuacha Hadi watotoHata jirani yangu alijiua na hadi leo sababu haijulikani!
Nitashukuru kwa hilo mkuu
Daaah ni huzuni hakika.Huwa inaumiza sana kaka yake mkubwa Jana kipindi anatuambia watasafirisha mara akaanza kulia kama mtoto. Ujue vifo vya namna hii Huwa na mkanganyiko sana mnabaki kujiuliza huenda mke wake anajua kumbe nae hajui kitu..... Maiti waliiona saa4 mashambani kwenye mwembe Hadi police kuja na kuipeleka hospital ilikuwa saa10 jion nafika saa12 naambiwa japhet kajinyonga akili ikanituma labda alibeti hii derby maana alikuwa mwana Simba lialia Bado nikaona sio sababu ya kuacha Hadi watoto
Pia, naomba nikuchek pmBasi andika andiko jipya uweke wasifu wako then simu ziite .
Mil 1.9 ni hela ambayo unaweza kuipata siku moja ukiwa mpambanaji
Mkuu karibu sana .Pia, naomba nikuchek pm
Kuna MTU alijiua alikuwa muhudumu wa bar alijiua ndani ya chumba kisa kudaiwa laki Saba na boss.Daaah ni huzuni hakika.
Daaah!Kuna MTU alijiua alikuwa muhudumu wa bar alijiua ndani ya chumba kisa kudaiwa laki Saba na boss.
Alipewa ukimwi na wanachuo then akahonga na laki Saba .
Watu tumetofautiana Sana
sada hujatueleza chochote ni kipinkilikusibuNinaandika haya nikiwa na maumivu makubwa moyoni, nimepata mawazo mengi mabaya kiasi cha kutamani kujidhuru lakini sijathubutu na kwa bahati mbaya niliruhusu kufa kiume na changamoto zangu lakini nimeshindwa
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 29 mwenyeji wa Kibondo-Kigoma kwa sasa Nipo Dar
Tatizo langu
Tangu October 2023 Nimepata changamoto kubwa sana za kifedha zilizoniharibia mipango yangu kwa ujumla na kuniacha na deni la Tsh 1.9M naishi kama chokoraa
I swear, KUNA muda ninapata wazo la kufanya CHOCHOTE ili nipate pesa ikiwemo HATA pesa za manyoka
Nimeamka usiku huu nikapata wazo la kunywa vidonge zaidi ya 10 vya Panadol, namshukuru Mungu nimeweza Kupambana na Hilo pepo
SIKO SAWA WAKUU
LENGO LA KUANDIKA HAPA NI LUUONYESHA ULIMWENGU NACHOPITIA Pengine HATA nikipotea nitatua mzigo kwa namna Moja ama nyingine
NIMESURRENDER
MAISHA YANGU YAMEHARIBIKA, YAMEKUFA
Nimeipenda ujasiri wako,maisha Ni kupambana Hadi mwisho.1.9m tu ujiue?
Mimi binafsi nadaiwa 12,900,000/= na jamaa alinipa ninunue mazao nikaziga zote.
Mke wangu aliingia vikoba akakopa yeye na kukopea mashoga zake kama laki 9 Kila siku jam mageto.
Ninapoandika hapa, nawaza kumteknisha tajiri WA ng'ombe anipe maksai za kulimia nianze vibarua kwa watu.
Mwisho, wanaokudai wote waambie wakupe miezi 6 ujipange. Wakienda popote unaitwa uende na utoe ushirikiano kuwa kwa sasa mambo Yako yameenda mrama Hadi miezi sita utawalipa.
Usiogope selo Wala gerezani. Huko ndo pakupumzika na kupewa morali na mawazo chanya na Wana.
Usijifhulu dogo.
Mm nadiliki kusema wewe ni mpumbavu sana huna akili hata kidogo, tena kwa kifupi hujitambui.Ninaandika haya nikiwa na maumivu makubwa moyoni, nimepata mawazo mengi mabaya kiasi cha kutamani kujidhuru lakini sijathubutu na kwa bahati mbaya niliruhusu kufa kiume na changamoto zangu lakini nimeshindwa
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 29 mwenyeji wa Kibondo-Kigoma kwa sasa Nipo Dar
Tatizo langu
Tangu October 2023 Nimepata changamoto kubwa sana za kifedha zilizoniharibia mipango yangu kwa ujumla na kuniacha na deni la Tsh 1.9M naishi kama chokoraa
I swear, KUNA muda ninapata wazo la kufanya CHOCHOTE ili nipate pesa ikiwemo HATA pesa za manyoka
Nimeamka usiku huu nikapata wazo la kunywa vidonge zaidi ya 10 vya Panadol, namshukuru Mungu nimeweza Kupambana na Hilo pepo
SIKO SAWA WAKUU
LENGO LA KUANDIKA HAPA NI LUUONYESHA ULIMWENGU NACHOPITIA Pengine HATA nikipotea nitatua mzigo kwa namna Moja ama nyingine
NIMESURRENDER
MAISHA YANGU YAMEHARIBIKA, YAMEKUFA
Mimi ndoa yangu iko na changamoto, nina madeni kibao, na bado ada za watoto shule sijamaliza,,, piga moyo konde na uone unatatua vipi hizo changamotoNinaandika haya nikiwa na maumivu makubwa moyoni, nimepata mawazo mengi mabaya kiasi cha kutamani kujidhuru lakini sijathubutu na kwa bahati mbaya niliruhusu kufa kiume na changamoto zangu lakini nimeshindwa
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 29 mwenyeji wa Kibondo-Kigoma kwa sasa Nipo Dar
Tatizo langu
Tangu October 2023 Nimepata changamoto kubwa sana za kifedha zilizoniharibia mipango yangu kwa ujumla na kuniacha na deni la Tsh 1.9M naishi kama chokoraa
I swear, KUNA muda ninapata wazo la kufanya CHOCHOTE ili nipate pesa ikiwemo HATA pesa za manyoka
Nimeamka usiku huu nikapata wazo la kunywa vidonge zaidi ya 10 vya Panadol, namshukuru Mungu nimeweza Kupambana na Hilo pepo
SIKO SAWA WAKUU
LENGO LA KUANDIKA HAPA NI LUUONYESHA ULIMWENGU NACHOPITIA Pengine HATA nikipotea nitatua mzigo kwa namna Moja ama nyingine
NIMESURRENDER
MAISHA YANGU YAMEHARIBIKA, YAMEKUFA
Labda una shida nyingine ..1.9M ikutoe uhai?Ninaandika haya nikiwa na maumivu makubwa moyoni, nimepata mawazo mengi mabaya kiasi cha kutamani kujidhuru lakini sijathubutu na kwa bahati mbaya niliruhusu kufa kiume na changamoto zangu lakini nimeshindwa