Nina mawazo mazuri kuisaidia nchi ila sijui nimfikishie nani

Nina mawazo mazuri kuisaidia nchi ila sijui nimfikishie nani

Ezra cypher

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2024
Posts
244
Reaction score
904
Najua 90% ya wale great thinkers wa serikali huwa wanakuja JF kuchukua madini na kwenda kuyatumia.

Hivyo ningependa kutoa Mawazo yangu haya Kwa njia yenye kuleta maana na sio bila Mpangilio.

Mawazo yamejikita Katika kuinua Uchumi wa serikali kuanzia juu hadi katika grassroots.

Najua viongozi mnapitia hapa mtaniambia njia gani bora ya kuwasilisha mawazo yangu.
 
Najua 90% ya wale great thinkers wa serikali huwa wanakuja JF kuchukua madini na kwenda kuyatumia .

Mkuu hakuna atakayekusikiliza. Mawazo yanayosikilizwa kwa sasa ni ya uchawa. Watu wenye mawazo na vitu vya maana hata kumwona waziri ni kipengele.
Lakini watu kama akina steve hao ndio ambao wana access na namba mpaka za rais maana wanajua kumobilize watu wa kupraise na ku-worship.
We utabaki na mawazo yako tu.
 
Najua 90% ya wale great thinkers wa serikali huwa wanakuja JF kuchukua madini na kwenda kuyatumia .

Hivyo ningependa kutoa Mawazo yangu haya Kwa njia yenye kuleta maana na sio bila Mpangilio.

Mawazo yamejikita Katika kuinua Uchumi wa serikali kuanzia juu hadi katika grassroots.

Najua viongozi mnapitia hapa mtaniambia njia gani bora ya kuwasilisha mawazo yangu.
Hawawezi kukusikiliza kwavile wanaongoza kupitia vipaji kimojawapo ni cha upumbavu, upumbavu ni tabia ya mtu anayelijua vizuri jambo, (mbobezi), lakini hufanya tofauti a.k.a kujizima data, kwasasa wanaitwa machawa
 
Najua 90% ya wale great thinkers wa serikali huwa wanakuja JF kuchukua madini na kwenda kuyatumia .

Hivyo ningependa kutoa Mawazo yangu haya Kwa njia yenye kuleta maana na sio bila Mpangilio.

Mawazo yamejikita Katika kuinua Uchumi wa serikali kuanzia juu hadi katika grassroots.

Najua viongozi mnapitia hapa mtaniambia njia gani bora ya kuwasilisha mawazo yangu.
Kabisa hata mimi nina mawazo kama yako ya kulisaidia Taifa,,,,,,,,kwa kufuga bata kando kando ya mto Wami na Ruvu na Ruaha na maeneo ya Rufiji pia Pangani mpaka mto Lumbegea hukoo Likuyu bila kusahau Paramawe na Miangalua mto Themii si mbaya tutafuga sababu itakuwa ni kivutio manake ni mto ukatizao katikati ya jiji; Kwa pale Mkuju tutacheki noma pale Malagarasi tutawezesha vijana ambao wako tayari then tutawapelekea huduma zote eeeh naaa hapa wapi hapaaa YAA Kagera pale tumetenga kwa ajili ya mabinti tu, kwa upande wa mto Mara tutafuga bata wale wakubwa wakubwa na kuanzisha viwanda vidogo vya Chang'aa then itapelekwa SIDO kurekebishwa Alc.Vol......mto Ruvuma kwa wamama watu wazima walio tayari 🙂 nao tutawapelekea huduma za kijamii.
 
Kabisa hata mimi nina mawazo kama yako ya kulisaidia Taifa,,,,,,,,kwa kufuga bata kando kando ya mto Wami na Ruvu na Ruaha na maeneo ya Rufiji pia Pangani mpaka mto Lumbegea hukoo Likuyu bila kusahau Paramawe na Miangalua mto Themii si mbaya tutafuga sababu itakuwa ni kivutio manake ni mto uatizao ktk jiji kwa pale Mkuju tutacheki noma pale Malagarasi tutawezesha vijana ambao wako tayari then tutawapelekea huduma zote eeeh naaa hapa wapi hapaaa YAA Kagera pale tumetenga kw aajili ya mabinti tu kwa upande wa mto mara tutafuga bata wale wakubwa wakubwa na kuanzisha viwanda vidogo vya Chang'aa mto Ruvuma kwa wamama watu wazima walio tayari 🙂 nao tutawapelekea huduma za kijamii.
Wazo zuri Ila umeamua kufanya utani HONGERA
 
Back
Top Bottom