Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Umeuliza utanufaikaje, ulikuwa na maana gani?Hamna sijataja malipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeuliza utanufaikaje, ulikuwa na maana gani?Hamna sijataja malipo
Apa tayari umeshafeli,umeanza kutangaza njaaa kali,sasa kama njaa ndo imekusukuma ili ufaidike basi wewe mwenyewe tumia ayo mawazo yako utoke kwenye njaa kwanza ndo uje kusaidia taifa..OK Ila Mimi Kama thinker nitafaidika vipi?
Kuwa benefited sio hela tu mkuuApa tayari umeshafeli,umeanza kutangaza njaaa kali,sasa kama njaa ndo imekusukuma ili ufaidike basi wewe mwenyewe tumia ayo mawazo yako utoke kwenye njaa kwanza ndo uje kusaidia taifa..
NadhaniUmeuliza utanufaikaje, ulikuwa na maana gani?
Kaa nayo, hatuyataki.Najua 90% ya wale great thinkers wa serikali huwa wanakuja JF kuchukua madini na kwenda kuyatumia.
Hivyo ningependa kutoa Mawazo yangu haya Kwa njia yenye kuleta maana na sio bila Mpangilio.
Mawazo yamejikita Katika kuinua Uchumi wa serikali kuanzia juu hadi katika grassroots.
Najua viongozi mnapitia hapa mtaniambia njia gani bora ya kuwasilisha mawazo yangu.
Gombea...m😊😊😊OK Ila Mimi Kama thinker nitafaidika vipi?