Ezra cypher
JF-Expert Member
- Jul 17, 2024
- 244
- 904
- Thread starter
- #41
Hilo sio lengo mkuu , sifikirii Kama nchi zilizopiga hatua ni Kwa ajili ya wanasiasa pekee bali Innovator , thinkers ndo hufanya yote hayo.Sasa kama unajiona ni great thinker si ungegombea kabisa uongozi kuliko kutaka ulipwe hela ili kuyatoa hayo mawazo?
Au mnasemaje ndugu zangu.
Swala la kulipwa sijalitaja Ila nalenga kufaidika Kwa kutambulika Kama muhasisi wa wazo Fulani .