Ezra cypher
JF-Expert Member
- Jul 17, 2024
- 244
- 904
OK Ila Mimi Kama thinker nitafaidika vipi?Andika hapa ndugu, wote wanapita hapa na hakika yatafika kwa wanaostahili.
JamiiForum ndio sehemu pekee ambapo mawazo mbalimbali mema na mabaya kuchukuliwa na kufanyiwa kazi.
Mi nahisi ameandika akiwa barKwa uandishi wako tu mh napata wasiwasi
Mkuu hakuna atakayekusikiliza. Mawazo yanayosikilizwa kwa sasa ni ya uchawa. Watu wenye mawazo na vitu vya maana hata kumwona waziri ni kipengele.Najua 90% ya wale great thinkers wa serikali huwa wanakuja JF kuchukua madini na kwenda kuyatumia .
Hivyo ningependa kutoa Mawazo yangu haya Kwa njia yenye kuleta maana na sio bila Mpangilio.
Mawazo yamejikita Katika kuinua Uchumi wa serikali kuanzia juu hadi katika grassroots.
Najua viongozi mnapitia hapa mtaniambia njia gani bora ya kuwasilisha mawazo yangu.
Badili kichwa cha habari na kisomeke "nitafaidika vipi na mawazo ya kujenga nchi yangu". Kimsingi wewe sio mzalendo na nia yako ni wewe kufaidika binafsi ila sio kusema uisaidie nchi yako. Ni vile tu uko nje ya system ila ungekuwa fisadi hatari.OK Ila Mimi Kama thinker nitafaidika vipi?
Kwamba na mawazo ndiyo hayo? hatari sn
HayaSawa mkuu ,naona Una decline wajibu wako na kushambulia watu
Hawawezi kukusikiliza kwavile wanaongoza kupitia vipaji kimojawapo ni cha upumbavu, upumbavu ni tabia ya mtu anayelijua vizuri jambo, (mbobezi), lakini hufanya tofauti a.k.a kujizima data, kwasasa wanaitwa machawaNajua 90% ya wale great thinkers wa serikali huwa wanakuja JF kuchukua madini na kwenda kuyatumia .
Hivyo ningependa kutoa Mawazo yangu haya Kwa njia yenye kuleta maana na sio bila Mpangilio.
Mawazo yamejikita Katika kuinua Uchumi wa serikali kuanzia juu hadi katika grassroots.
Najua viongozi mnapitia hapa mtaniambia njia gani bora ya kuwasilisha mawazo yangu.
Faida yako ni nchi ikifanikiwa. Vizazi na vizazi watakukumbuka.OK Ila Mimi Kama thinker nitafaidika vipi?
Kawauzie Marekani watakulipaOK Ila Mimi Kama thinker nitafaidika vipi?
NimekuelewaBadili kichwa cha habari na kisomeke "nitafaidika vipi na mawazo ya kujenga nchi yangu". Kimsingi wewe sio mzalendo na nia yako ni wewe kufaidika binafsi ila sio kusema uisaidie nchi yako. Ni vile tu uko nje ya system ila ungekuwa fisadi hatari.
Kabisa hata mimi nina mawazo kama yako ya kulisaidia Taifa,,,,,,,,kwa kufuga bata kando kando ya mto Wami na Ruvu na Ruaha na maeneo ya Rufiji pia Pangani mpaka mto Lumbegea hukoo Likuyu bila kusahau Paramawe na Miangalua mto Themii si mbaya tutafuga sababu itakuwa ni kivutio manake ni mto ukatizao katikati ya jiji; Kwa pale Mkuju tutacheki noma pale Malagarasi tutawezesha vijana ambao wako tayari then tutawapelekea huduma zote eeeh naaa hapa wapi hapaaa YAA Kagera pale tumetenga kwa ajili ya mabinti tu, kwa upande wa mto Mara tutafuga bata wale wakubwa wakubwa na kuanzisha viwanda vidogo vya Chang'aa then itapelekwa SIDO kurekebishwa Alc.Vol......mto Ruvuma kwa wamama watu wazima walio tayari 🙂 nao tutawapelekea huduma za kijamii.Najua 90% ya wale great thinkers wa serikali huwa wanakuja JF kuchukua madini na kwenda kuyatumia .
Hivyo ningependa kutoa Mawazo yangu haya Kwa njia yenye kuleta maana na sio bila Mpangilio.
Mawazo yamejikita Katika kuinua Uchumi wa serikali kuanzia juu hadi katika grassroots.
Najua viongozi mnapitia hapa mtaniambia njia gani bora ya kuwasilisha mawazo yangu.
Hii hatua nimeshaivuka mkuu , natambua umuhimu wa viongozi wa serikali za mitaa au vijiji. Ila sifikirii ni watu sahihi wa Mimi kuwasilisha mawazo yangu kwao.Fikisha kwa mjumbe wa serikali za mtaa wako
Wazo zuri Ila umeamua kufanya utani HONGERAKabisa hata mimi nina mawazo kama yako ya kulisaidia Taifa,,,,,,,,kwa kufuga bata kando kando ya mto Wami na Ruvu na Ruaha na maeneo ya Rufiji pia Pangani mpaka mto Lumbegea hukoo Likuyu bila kusahau Paramawe na Miangalua mto Themii si mbaya tutafuga sababu itakuwa ni kivutio manake ni mto uatizao ktk jiji kwa pale Mkuju tutacheki noma pale Malagarasi tutawezesha vijana ambao wako tayari then tutawapelekea huduma zote eeeh naaa hapa wapi hapaaa YAA Kagera pale tumetenga kw aajili ya mabinti tu kwa upande wa mto mara tutafuga bata wale wakubwa wakubwa na kuanzisha viwanda vidogo vya Chang'aa mto Ruvuma kwa wamama watu wazima walio tayari 🙂 nao tutawapelekea huduma za kijamii.