Ezra cypher
JF-Expert Member
- Jul 17, 2024
- 244
- 904
- Thread starter
-
- #41
Hilo sio lengo mkuu , sifikirii Kama nchi zilizopiga hatua ni Kwa ajili ya wanasiasa pekee bali Innovator , thinkers ndo hufanya yote hayo.Sasa kama unajiona ni great thinker si ungegombea kabisa uongozi kuliko kutaka ulipwe hela ili kuyatoa hayo mawazo?
Au mnasemaje ndugu zangu.
Kusaidia inji👯👯👯👯mabepari bwana hawaishi vitukoHe is an Opportunity seeker
Weka hapa kwenye platform wazo litaonekanaNajua 90% ya wale great thinkers wa serikali huwa wanakuja JF kuchukua madini na kwenda kuyatumia .
Hivyo ningependa kutoa Mawazo yangu haya Kwa njia yenye kuleta maana na sio bila Mpangilio.
Mawazo yamejikita Katika kuinua Uchumi wa serikali kuanzia juu hadi katika grassroots.
Najua viongozi mnapitia hapa mtaniambia njia gani bora ya kuwasilisha mawazo yangu.
Hamna siwezi kufanya hivi hata siku moja.Weka hapa kwenye platform wazo litaonekana
Akishajenga asisahau wataalamu wa kupaka rangi tupo hukunitafaidika vipi na mawazo ya kujenga nchi
Kusaidika au kusaidia , in short hapa haitafutwi hela bali kusaidia nchi ili isonge mbele.Mwenye handle ya Gwajima amtag hapa kijana asaidike
Kusaidika au kusaidia , in short hapa haitafutwi hela bali kusaidia nchi ili isonge mbele.
Angegombea nafasi kuliko kutaka kulipwa ili ayatoe hayo mawazo.He is an Opportunity seeker
Mtafuta fursa ,kumbukeni fursa huwa hazitufuwati
Tumia kwanza mawazo yako kuboresha maisha yako to the extent utaishawishi serikali ikutafute,Kama ramaphosa alipomtafuta Mo dewji na kumfanya kuwa advisor wake kwny issue za uwekezaji,kwanini amtafute Mo, kwasababu he is a youngest billionare in Africa,he is a boss of milliondollar company,who are you?
Hata huko serikalini ukiwaelekeza wanaokujua kuhusu wazo lako watakupotezea tu, Tanzania walio wengi wanatoboa kwa juhudi zao wenyeye wachache sana kwa mifumo iliyoHamna siwezi kufanya hivi hata siku moja.
Tujaribu kuwa positiveAngegombea nafasi kuliko kutaka kulipwa ili ayatoe hayo mawazo.
Sasa akitaka kulipwa kabla hajayatoa hayo mawazo, vipi kama mawazo yake yakawa ya kipuuzi tu?
Unaweza kuta mawazo yenyewe ni ya jinsi ya kuagiza kontena kutoka China, hizi ndii mawazo yetu wabongoAndika hapa ndugu, wote wanapita hapa na hakika yatafika kwa wanaostahili.
JamiiForum ndio sehemu pekee ambapo mawazo mbalimbali mema na mabaya kuchukuliwa na kufanyiwa kazi.
Hata huko serikalini ukiwaelekeza wanaokujua kuhusu wazo lako watakupotezea tu, Tanzania walio wengi wanatoboa kwa juhudi zao wenyeye wachache sana kwa mifumo iliyo
Hawawezi kumlipa mimi nilikuwa na mawzo kama hayo ni ngumu sana tena hapo unaongea na mtu mnae fahamiana vizuri tena uliyesoma naye darasa moja, (classmate) na ni rafikiAngegombea nafasi kuliko kutaka kulipwa ili ayatoe hayo mawazo.
Sasa akitaka kulipwa kabla hajayatoa hayo mawazo, vipi kama mawazo yake yakawa ya kipuuzi tu?
Mawazo yako yaanze kukuinua kwanza wewe mwenyewe kisha yataspreed kidogo kidogo kwa wengine huwezi kuwapatia wenzako ujuzi wakati wewe mwenyewe haujakunufaisha. Maendeleo ni mchakato na wala siyo miujiza nchi zote zilizo endelea kiuchumi zilianza kwa kuwekeza kwa watu na watu wakaendeleza vitu kisha vitu vikaendeleza watu.Najua 90% ya wale great thinkers wa serikali huwa wanakuja JF kuchukua madini na kwenda kuyatumia .
Hivyo ningependa kutoa Mawazo yangu haya Kwa njia yenye kuleta maana na sio bila Mpangilio.
Mawazo yamejikita Katika kuinua Uchumi wa serikali kuanzia juu hadi katika grassroots.
Najua viongozi mnapitia hapa mtaniambia njia gani bora ya kuwasilisha mawazo yangu.
Kumbe ni biashara basi tafuta sokoOK Ila Mimi Kama thinker nitafaidika vipi?
Wazo la uchumi kama ni kwa manufaa ya nchi na unafanya bila kutegemea chochote liweke wazi, tuna wachumi na wanazuoni humu. Ila kama una agenda nyuma ya wazo lako nakushauri ulipeleke wazo lako wizara ya Fedha au Mipango Didoma.Hamna siwezi kufanya hivi hata siku moja.
Mkuu unataka kusaidia au unataka kuuza msaada?Najua 90% ya wale great thinkers wa serikali huwa wanakuja JF kuchukua madini na kwenda kuyatumia .
Hivyo ningependa kutoa Mawazo yangu haya Kwa njia yenye kuleta maana na sio bila Mpangilio.
Mawazo yamejikita Katika kuinua Uchumi wa serikali kuanzia juu hadi katika grassroots.
Najua viongozi mnapitia hapa mtaniambia njia gani bora ya kuwasilisha mawazo yangu.