Nina Mgogoro kwenye ndoa, kila pesa anayopata Mke wangu anaenda kujenga kwao. Naomba msaada

Nakubaliana na wewe. Lkn ni rahisi tu. Atakwenda kuishi huko muda tu utatosha kusema
 
Kama hiyo nyumba aliyotia 47 mil ni yake halafu wala haitumii na anakatwa kwenye mshahara ! Huo ni zaidi ya ujuha!
Ukiwa mbinafsi sana unakosa akili.... hapo ukute anawaza nikiachika nna pakwenda.
Nlichoona tu binti alikuwa anapenda huduma za jamaa na sio jamaa, sasa wameanza kuishi wote ndo kajua kua hampendi kiviile so yawezekana anatafuta sababu ya kuvunja ndoa
 
Nakubaliana na wewe. Lkn ni rahisi tu. Atakwenda kuishi huko muda tu utatosha kusema
Bila udikteta mke hawezi kuwa na akili. Haya mambo ya kudai "mnasikilizana" ndo chanzo cha yote. Mwanamke hapendi mambo ya demokrasia. Mwanaume inatakiwa kuwa dikteta. Wanawake wengi hulalamika wanaume madikteta ila hawaachani nao. Wanaoachwa ni kama wewe baba huruma.
 
I second you, wanawake ukiwabeba kidemokrasia, baby-baby mwisho wake ndio kama hivi, anajifanyia mambo yake hakushirikishi. Ubabe kidogo, mapenzi kidogo..that's the way.
 
Jifanye mjinga mr,badala ya kuwaza hela yake inakoenda wewe pambana ufanye mambo yako.We ni mwanaume kumbuka
Wakati mwingine ukiona mtu hamuelewani unaamua kujifanya mjinga.
Ila hiyo hela yote anajenga ghorofa yaani hela yenyewe ya kukopa alafu unataka ujenge mansion

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Wengi wao ni wabinafsi

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Pesa zake anawajengea wazazi wake, shida iko wapi?
Si anakupikia?
K unapewa Mara moja moja?
What more do you want from a woman?
 
kuoa mama wa nyumbani ni mzigo, ila walau nafsi inakua imeshajiandaa kubeba majukumu yote.
Kuliko kuoa mfanyakazi ukategemea mshahara wake utakusaidia kupumguza machungu ya maisha na hali isiwe ulivotarajia. Mtoa mada anaumia kwa sababu anashuhudia alichokuwa hakitarajii kutokea .
 
Mkuu hujasoma ukamaliza? Amekopa mara ya kwanza ujenzi haukuisha mume akamwambia mke ujenzi ni polepole ikabidi mke akope tena M20 akapeleka kumalizia.

Sasa huoni tayari hapo ni liability kubwa (mke na mikopo) na ndio chanzo cha ugomvi
Mkuu umesema ukweli hiyo ni yakawake Mwanamke, ni ngumu mtu mwenye akili zake timamu akope pesa kwaajili ya kujenga nyumbani kwao mfano wazazi wake wakifariki kwenye kugawana mirathi je yeye atalipwa fidia za ujenzi wa nyumba, au ndiyo mirathi itagawanywa na yeye kuendelea kukatwa mkopo kila mwezi.
 
Kwahyo mwanaume unakuja kulalamika jf kwa pesa za mkeo. Ww jenga kwako kwa hela zako ili usiteseke sana yeye ajenge kwao na swala la kusomesha alikulazimisha?
 
Ndo za zamani nahisi zilidumu kwakuwa watu walikuwa wanadeal na kula kushiba mambo za maendeleo cjui kujenga, gari cjui kipato kikubwa yamekuja kutufanya tuwaze kuachana.

Kwako mkuu kwanini uwaze kuachana na wakati mmekula kiapo cha maisha?
 
Kwenye ule uzi wangu tumekubaliana Siku zote Mwanaume pesa yake ni kubwa kuliko ya Mwanamke hata kama anapata mshahara wa laki tatu na Mke mshahara wa milioni tano
 
Kwahyo mwanaume unakuja kulalamika jf kwa pesa za mkeo. Ww jenga kwako kwa hela zako ili usiteseke sana yeye ajenge kwao na swala la kusomesha alikulazimisha?
92jerrie umenielewa sasa kwenye Uzi wangu.

Vijana wengi wameharibikiwa maisha kwa mtindo huu.

Yeye alidhani kwa sababu alimhonga akamsomesha atapata faida. Ona sasa amekwama.
 
Wanawake wanawaza kwa kutumia moyo na siyo kichwa.

Milioni kumi unanunua kiwanja na kujenga chumba kimoja kwa baadhi ya maeneo ili kuepuka usumbufu (kwenye hili sibishani).

Kumuelewa mwanamke ni kazi ngumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…