an alpha male
JF-Expert Member
- Mar 28, 2022
- 1,026
- 2,211
😂😂😂 hao hawabadilikiHahaa na hawa hawabadiliki [emoji116][emoji16]View attachment 2802065
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 hao hawabadilikiHahaa na hawa hawabadiliki [emoji116][emoji16]View attachment 2802065
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Nakubaliana na wewe. Lkn ni rahisi tu. Atakwenda kuishi huko muda tu utatosha kusemaUpumbavu wako ulianzia hapo. Huyo mkeo alishasoma ujinga wako mapema sana. Biblia imeandika mke ataambatana na mkewe na watakuwa mwili mmoja. Au hiyo biblia yako imesema mke ataambatana na kaka zake? Kutumia 47m ya familia kujenga kwao ni uhuni mkubwa kwa karne ya 21. Huyo mkeo ni mbinafsi mwenye tuzo ya Nobel kwenye ubinafsi. Ni shetani katika sura ya binadamu. Haya mambo yapo sana kwa watoto wa kike. Binafsi ilibidi nimwambie mdogo wangu wa kike aache kiherehere kujifanya anasaidia nyumbani bali awe bize na mumewe. Aliacha na sasa hivi wana maendeleo. Pole sana mkuu ila mwamuzi wa mwisho ni wewe kwenye hilo jambo.
Utafika mbali sana kwenye ndoa yakoMimi sijui Nina hormone za kiume,nimpeleke 10 home wakati nakaa nyumba ya kupanga?thubutuuu....wangeambulia 1M warekebishe kitu wanachoona kina kipaumbele
Amina iwe kheri....ndoani kwangu ndio kipaumbele changu
Ukiwa mbinafsi sana unakosa akili.... hapo ukute anawaza nikiachika nna pakwenda.Kama hiyo nyumba aliyotia 47 mil ni yake halafu wala haitumii na anakatwa kwenye mshahara ! Huo ni zaidi ya ujuha!
Bila udikteta mke hawezi kuwa na akili. Haya mambo ya kudai "mnasikilizana" ndo chanzo cha yote. Mwanamke hapendi mambo ya demokrasia. Mwanaume inatakiwa kuwa dikteta. Wanawake wengi hulalamika wanaume madikteta ila hawaachani nao. Wanaoachwa ni kama wewe baba huruma.Nakubaliana na wewe. Lkn ni rahisi tu. Atakwenda kuishi huko muda tu utatosha kusema
Nyie wanawake mna "chenu ni chenu". Hamfai kabisa kuwa na familia, wanawake wa hivi wawe single tu ili wamudu maisha kivyao.Kaomba ushauri! Usimseme
Bila udikteta mke hawezi kuwa na akili. Haya mambo ya kudai "mnasikilizana" ndo chanzo cha yote. Mwanamke hapendi mambo ya demokrasia. Mwanaume inatakiwa kuwa dikteta. Wanawake wengi hulalamika wanaume madikteta ila hawaachani nao. Wanaoachwa ni kama wewe baba huruma.
Wengi wao ni wabinafsiPole mkuu, nakushauri tu muache mkeo ajenge kwao! Na wewe Jenga kwako! Mwanaume hudumia familia yako kwa kuhakikisha wanaishi pahala pazuri na panapofaa!
Acha na hela ya mkeo maana SIYO YAKO
Mimi nilikopa fedha nikajazia ujenzi wa nyumba anayojenga mume wangu maana ni familia moja, matokeo yake amekuja kunitemgenezea maneno ya kashfa machafu yasiyo faa!
Mkopo ukiisha, nachukua mwingine na NITAJENGA KWETU ili siku tukiachana niende kwetu kwa raha! Wanaume mna matatizo sana ACHA MKEO AJENGE KWAO, wewe Jenga KWAKO.
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Mkuu umesema ukweli hiyo ni yakawake Mwanamke, ni ngumu mtu mwenye akili zake timamu akope pesa kwaajili ya kujenga nyumbani kwao mfano wazazi wake wakifariki kwenye kugawana mirathi je yeye atalipwa fidia za ujenzi wa nyumba, au ndiyo mirathi itagawanywa na yeye kuendelea kukatwa mkopo kila mwezi.Mkuu hujasoma ukamaliza? Amekopa mara ya kwanza ujenzi haukuisha mume akamwambia mke ujenzi ni polepole ikabidi mke akope tena M20 akapeleka kumalizia.
Sasa huoni tayari hapo ni liability kubwa (mke na mikopo) na ndio chanzo cha ugomvi
Ndo za zamani nahisi zilidumu kwakuwa watu walikuwa wanadeal na kula kushiba mambo za maendeleo cjui kujenga, gari cjui kipato kikubwa yamekuja kutufanya tuwaze kuachana.Pole mkuu, nakushauri tu muache mkeo ajenge kwao! Na wewe Jenga kwako! Mwanaume hudumia familia yako kwa kuhakikisha wanaishi pahala pazuri na panapofaa!
Acha na hela ya mkeo maana SIYO YAKO
Mimi nilikopa fedha nikajazia ujenzi wa nyumba anayojenga mume wangu maana ni familia moja, matokeo yake amekuja kunitemgenezea maneno ya kashfa machafu yasiyo faa!
Mkopo ukiisha, nachukua mwingine na NITAJENGA KWETU ili siku tukiachana niende kwetu kwa raha! Wanaume mna matatizo sana ACHA MKEO AJENGE KWAO, wewe Jenga KWAKO.
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Kwenye ule uzi wangu tumekubaliana Siku zote Mwanaume pesa yake ni kubwa kuliko ya Mwanamke hata kama anapata mshahara wa laki tatu na Mke mshahara wa milioni tanoNipo kwenye ndoa nimekuwa nikisoma tu lakini naona na mimi limenikuta.
Iko hivi wife na mimi tulifahamiana kijijini. Nilikuwa f6 yeye akiwa f4 leaver. Nilimsaidia akapata chuo cha takwimu akaenda akafanya akapata cheti. Wakati akiwa chuo nliamua kudate nae tukaoana (marriage) nikiwa nafanya kazi na yeye akiwa chuo.
Miaka mitatu baadae tulijaaliwa watoto wazuri. Maisha yaliendelea nikiwa kazini na yeye akiwa ofisi moja masuala ya takwimu nchini.
Mambo ya ndoa yalikuwa safi sana nilii injoi ndoa labda kwa sababu ilikuwa ya kusafiria. Maana yeye mkoa mimi mkoani.
Nilifanikiwa kumuhamishia mkoani kwangu yeye na watoto. Tuliishi vizuri kwa wastani wa miaka 5. Baadae mzazi wake yaani mkwe aka experience wakati mgumu (code). Tukashauriana tumjengee kibanda. Kwa kuwa wapo watoto wakubwa wakaona washirikiane wote. Kwa kuwa wife nde mwenye kipato kizuri akakopa banki 27M lakini nyumba haijaisha.
Kero ikaanza sasa. Kila wakati anataka pesa ya ujenzi kwa mama mkwe. Kumbuka yule ni mzee ile nyumba watakuja kugombana watoto nikamwambia ujenzi hauishi siku moja. Buy time.
Majuzi alipata bingo ofisini kwao 20 Mil ni pesa ya offer ya Serikali yenye riba kidogo.
Lahaulaaa si akaipeleka yote kwenye ule ujenzi.
Wana JF wenzangu, kumbuka si kwamba sisi na watoto wetu hatuna mahitaji, hapa ada, nyumba haijaisha asilimia Mia. Why apeleke 20 kwao? Mwanamke kiumbe wa ajabu sana.
Hivi? Hajui ile nyumba hawataishi watoto wake? Hivi hajui ile nyumba watagombea vidume?
Ndani ni kuchuniana. Najuta sana kuoa mwanamke huyu.
Niko puzzled. Epuka kusomesha mchumba.
92jerrie umenielewa sasa kwenye Uzi wangu.Kwahyo mwanaume unakuja kulalamika jf kwa pesa za mkeo. Ww jenga kwako kwa hela zako ili usiteseke sana yeye ajenge kwao na swala la kusomesha alikulazimisha?
Oa kwanza ndio urudi kutusema [emoji125][emoji125][emoji125]Wanawake hua hawana ufikili mzuri
Kwa bahati mbaya hua hawaelewi pia
Acha tu mkuu kwakua ishatokea
Wanawake wanawaza kwa kutumia moyo na siyo kichwa.Wewe unaGombana na mkeo kwa jambo la kijinga sana,unataka asijenge kwao!? Ishini na wake zenu kwa akili,mimi mke wangu juzi kakopa milioni 10 akaenda kukarabati nyumbani kwao ilikhali sisi tuko katika nyumba ya kupanga.
Pigia mstari neno ishini nao kwa akili.