Nina Mgogoro kwenye ndoa, kila pesa anayopata Mke wangu anaenda kujenga kwao. Naomba msaada

Ndiyo maana watu wanawashauri muoe wanawake wasio na kaz ili muwadhibiti mtakavyo....sasa wewe mwanamke anatumia pesa zake tayari unataka ziwe zako....aisee kwa manzi wa kibongo ndoa lazima ikushinde
Nyumba na vyote viijazavyo ni mali ya baba!😂😂
 
Mimi nadhani Mme ndo Una makosa tangu mwanzo kivip.ulipaswa umpe mikakati mikubwa ya malengo yako na wakati huo huo umwonyeshe uhitaji ulionao wa kifedha ili uyakamilishe maanake ili yatimie inahitajika jasho lake liwemo nadhani ingekuwa ngumu kuleta wazo la ujenzi Kwao na kama angelazisisha basi ungejua mipango yenu si mimoja,lakini Kwa sasavumilie akatwe asilimia 60 ya mshahara kwa miaka minne ndo mpange tena kuhusu mshahara wake
 
Wana JF wenzangu, kumbuka si kwamba sisi na watoto wetu hatuna mahitaji, hapa ada, nyumba haijaisha asilimia Mia. Why apeleke 20 kwao? Mwanamke kiumbe wa ajabu sana👈Point hii hapa...
 
Kama anajenga kwa pesa yake ni sawa,huo mkopo atalipa yeye..wewe pesa yako jenga hiyo yako,ingekua ni mimi ningemwacha ajenge kiroho safi
Ni kweli anajenga kwa pesa yake. Lakini mwenzetu ndiye anayeiangalia familia kwani mama pesa yake inalipia madeni aliyokopa. Mzigo umemzidi uzito.
 
Huyo siyo mwanamke. Hilo ni jini

Ukitaka kuishi maisha marefu achana na huyo mwanamke haraka oa mwingine.

Tatizo mnajiwekea limit za maisha sababu ya upumbavu wenu

Binafsi siwezi kuendelea kuishi na chizi kama huyo mwanamke wako
 
Nawenye akili kama yako ni tahira hajitambui
Uzuri ni kuwa mke wangu hana akili mbovu kama zako wala hajawahi waza upumbavu kama huo

Mil 47 kujenga nyumba ya kibibi badala ya kuwaza wanao
 
Uzuri ni kuwa mke wangu hana akili mbovu kama zako wala hajawahi waza upumbavu kama huo

Mil 47 kujenga nyumba ya kibibi badala ya kuwaza wanao
Ni zake sio zako tafuta hela acha utegemezi kengele wewe🤣🤣😝😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…