Nina miaka 27, bado nina ndoto ya kuwa Daktari (Médical Doctor)

At the end of the day is money!
Kule shule tulipandikizwa propaganda za kijinga.
I'm grown man who went to higher school very late.
I'm good mentor for late people.
Haifai kabisa kuendelea kukosea.
Nilijiunga kusoma BS in physics nikiwa 32 yrs old.
Unaishi chuoni for survival of DISCO.
Akili inakataana kabisa( intelligence it depreciate with time).
Science ni ya kusoma teenagers na aerly 20+, miaka hio mtu una fast memory and fast retrieval of informations.
Ni mateso makubwa sana na ni jambo la kujutia kutumia muda vibaya.
Kwa nini umri huo bado hujui maana ya maisha( kamsome erikson juu ya maana ya maisha)?
Life is all about living.
Nadhani chagua trend inayofanya vizuri sokoni kwa sasa achana na ile akili ya peer group.
Hivi kuwa DR. wa meno kuna maana gani? huzioni course nzuri za wewe kuwa comfortable ktk ofisi nzuri badala ya kwenda kushika vinywa, nyuchi, Vidonda, maiti.
What is so special ktk udaktari?
Akili tulizopewa tungekuwa tuna direct kwenye innovative things tungekuwa mbali sana.
Watu waliosoma sayansi ni watu wenye akili sana tena GIFTED most of them lakini wanaishia maisha ya kufanya routine(hakuna innovation yoyote wanafanya) , why do you want to go that direction?
Unataka sifa tu eti wewe ni daktari ?
Kama ni sifa sawa ila kama kazi basi soma finance, art and craft, na nduguze ili umudu maisha na uishi bila stress.
Imagine kuna watu wanafanya kazi bank kuu wewe unaenda hospitali ya kyela kutumbua majipu! Kazi ya kujitolea na kukosa furaha( unaishi na watu waliokata tamaa za maisha )
Life is the game, play it entelligently !
Kwa nini hatuna ndoti za kuwa na kampuni bali vyeti vya kujiumiza !
Una nini special utakachobadilisha katika sekta ya udaktari ?
Au utagundua new medical procedure?
 
Umeongea ukweli sana ila sasa kuna mda mimi kama daktari naona kama unanichamba please , mind you ukiendelea kwenye komenti sitasita kukujibu kama unavyoidharirisha kada hii .

Ila ukweli kuhusu hako kajamaa umekapa ukweli ulivyo kaacha kuhangaika na kitu kinaitwa ndoto wakati umri wenyewe haukasapoti na tayari kama vimajukumu vya hapa na pale.
 
Nimesahau kusema sory pale chini si kwa kubedha bali ni ku share idea tu, ili watu wasiendelee kukosea.
Nafahamu propaganda zinachangia sana kupata wataalamu wa baadhi ya sekta ila tukikua wakubwa tunaanza kuona mambo kwa jicho la tatu.
Nafahamu DR. Are gifted peoples ,na ni watu muhimu sana, mie mwenyewe nahudhuria clinic ya moyo kwao ila huwa nawahurumia kazi kubwa wanayoifanya ila jamii huwa haitambui mchango wao ni kuwasema sema tu.
Nilitegemea kutakuwa na reaction negatively vs me hii ni kawaida ila objective ni kuelimishana, kukosoana kwa hoja.
I have new perspective about life. Lakini unaweza mshauri tu aendelee na ndoto yake.
Hapa ni uwanja huria , hatufungwi ktk mitazamo ba ndio maana ya mitandao. Freedom of soeech without breaking the law. Nisamehe kama nimekosea mahala.
 
Ukiwa na laki 4 unaweza kupata sehemu kubwa na nzuriii ya kilimo Cha kumwagilia the rest will be history....
Wapi huko Mkuu?

Nielekeze Mimi nikajaribu hiko kilimo cha umwagiliaji
 
Kiukweli umenifurahisha kuna sehemu umetusifu sana na ukaeleza jinsi jamii inavyosahau hata kutuappreciate kwa kidogo tunachotoa .

Hapo umemaliza ugomvi wote nimefurahi sana , by the way pole kwa kuhudhuria clinic ya moyo , Mungu ni mwema awe na wewe .
 
Point of correction amekaa kitaa miaka 10 sio 7
 
uzuri wa udaktari ni kwamba unsaidia watu tu.
ila kiukweli hakuna program ya ajabu kama hiyo kuanzia kwenye mzingira ya kazi na majukumu yake pia serikali hajatoa motisha za kutosha katka hiyo kada japo inafanya kazi nzito na yenye changamoto nyingi lakini pia kwenye kujiajiri ina tija lakini inahitaji mtaji mkubwa sana kana kwamba ili uwe na zahanati ama kituo cha afya mtaji wake siyo chin ya 30 hadi 50mn na hali ambayo kama una maisha ya kuungaunga utaishia seeikali kitu ambacho utakuwa na sifa ya kuitwa dr tu ila maslahi n kidogo sana ukilinganisha na majukum.
 
Achana na mambo ya kwenda advance.

Anza na diploma hata ukiishia hapo diploma sio mbaya na mtaani utapewa heshima ya udaktari kama kawaida
 
Sikushauri kabisa kwenda advance tena mbaya zaidi kwa PCB.

PCB unaweza ukawa hata na division 1 ya 7,8 au hata 9 ukakosa nafasi ya kusoma MD.
 
Wabongo wanaamini kuwa dokta ndo kuwini maisha kiti ambacho si kweli

Pambana mkuu
TANZANIA [emoji1241] NI NCHI TAJIRI CHAPA KAZI
 
Sikushauri kabisa kwenda advance tena mbaya zaidi kwa PCB.

PCB unaweza ukawa hata na division 1 ya 7,8 au hata 9 ukakosa nafasi ya kusoma MD.
 
Mwaka mmoja? PCB unayoongelea hapa ni hii hii nnyaoijua au ni ile ya takukuru?

Kama ni hii hii ya form5 nakushauri ukasome CO then unga MD.
 
Kusoma sidhani age kama ni tatizo.Kikubwa ni malengo yako.Ukibahatika kuingia chuoni utakutana na watu wazima wenye age sawa au kuwazidi wazazi wako,wanapiga book.Timiza ndoto yako,age doesn't matter at all...!
Ndio waliochelewa.
27 kwa dunia ya sasa unatakiwa uwe admited master au phd.
Sisi waafrika tunachelewa sana maisha ndio masna watu wanafoji miaka ya kuzsliwa wanazeekea kazini.
 
Ndio waliochelewa.
27 kwa dunia ya sasa unatakiwa uwe admited master au phd.
Sisi waafrika tunachelewa sana maisha ndio masna watu wanafoji miaka ya kuzsliwa wanazeekea kazini.
Africa life,Maisha ya watoto wa Africa hasa tuliozaliwa familia maskini,msingi wa mafanikio huwa ni bahati tu.Fursa nyingi hazipo upande watu,itakuhitaji utumie nguvu kubwa sana with a lot of sacrifice kufikia malengo.
 
Kwakuwa serikali imeweka miaka mowili kusoma na wewe umekariri bila kujua kusoma na kufaulu ni mbinu
Bahati mbaya umejibu kitu ambacho sijauliza, ila kwakuwa lengo ni kumsaidia mleta Uzi, kama hutojali naamini haupungukiwi chochote ukishea hizo mbinu za kumfanya ndugu yetu Afaulu PCB ndani ya miezi 6

Utakuwa umesaidia wengi sana Ndugu yangu, maana wengi wetu tumekariri kuwa lazima tusome miaka 2 na kuna wengine ata hiyo miaka 2 bado haitutoshi
 
Haujachelewa, nenda kasome certificate au diploma ya clinical officer na ukifanya vizuri utajiunga na bachelor achana na kidato cha tano
 
achana na kidato cha tano nenda clinical officer miaka mitatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…