Nina miaka 29, natafuta Mume

Nina miaka 29, natafuta Mume

NJOO PM NIKUONYESHE FORUM SERIOUS ZA KUPATA MUME AU MKE.
HUMU JAMIIFORUMS IMEJAA WATOTO NA WAJINGA SIKU HIZI NDIO MAANA WANAKUKEJELI NA KUKUTUKANA BILA KUJUA ULIYOPITIA.

ANA WATOTO WAWILI, NDIO, KAMA UMEMPENDA NENDA PM UULIZE MASWALI WALIPO/ALIPO BABA WA WATOTO HAO.
 
Natafuta mume serious ninamiaka 29 ni maji ya kunde Mimi nimwalim shule ya private ila nina watoto wawili. Natafutaa mchumba kuanzia Miaka 30 kuendelea, akiwa serious mpaka kwenye ndoa.
Daah watoto wawili? anyway Kila la kheri
 
Natafuta mume serious ninamiaka 29 ni maji ya kunde Mimi nimwalim shule ya private ila nina watoto wawili. Natafutaa mchumba kuanzia Miaka 30 kuendelea, akiwa serious mpaka kwenye ndoa.
Njoo inbox ila uwe serious
 
Nikiweka nia

Unaweza kunionesha kaburi/makabuli ya baba wa hao malaika?
Mtu akisoma juu juu bila tafakuri anaweza kuona hujaandika kitu but kwa dunia ya sasa na status yake ilibidi hilo aliandike kabisa kwenye post yake hapo juu
 
Back
Top Bottom