Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 5,445
- 14,828
Zee lenye watoto wawili unapeleka wapi mkuu?Mtoto mbichi huyo halafu unaleta utani?Ningekukata makofi ungekuwa jirani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zee lenye watoto wawili unapeleka wapi mkuu?Mtoto mbichi huyo halafu unaleta utani?Ningekukata makofi ungekuwa jirani.
Ipi?Yake,ya watoto au nyumba anayoishi?Picha
Huyo ananifaa mimi.Sikwambii kwa nini utanionea gere!Zee lenye watoto wawili unapeleka wapi mkuu?
🤣🤣🤣🤣🤣Tena uarabuni.Siyo kazi ndogo broKuna kaz kubwa sana hapo ya kulevel aggregate tena uwanja wa ugenini 2-0 daah
Sasa hapo kimekufurahisha nini!!! Ni hyo miaka 29,au kutafuta mume...unajua tunaptia changamoto tofauti tofauti....Ha ha haa, ila unaweza pata. Mungu mwema(ila duu,umejikaza kweli)
Daah watoto wawili? anyway Kila la kheriNatafuta mume serious ninamiaka 29 ni maji ya kunde Mimi nimwalim shule ya private ila nina watoto wawili. Natafutaa mchumba kuanzia Miaka 30 kuendelea, akiwa serious mpaka kwenye ndoa.
😁😁😀 Baada ya kuyaona makaburi ndio unachukua jimbo au sio?.Nikiweka nia
Unaweza kunionesha kaburi/makabuli ya baba wa hao malaika?
Njoo inbox ila uwe seriousNatafuta mume serious ninamiaka 29 ni maji ya kunde Mimi nimwalim shule ya private ila nina watoto wawili. Natafutaa mchumba kuanzia Miaka 30 kuendelea, akiwa serious mpaka kwenye ndoa.
Asije akakuchezea akakuacha..Njoo inbox ila uwe serious
Kajikaza haswa. Nipo hapa kusoma commentsHa ha haa, ila unaweza pata. Mungu mwema(ila duu,umejikaza kweli)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]walimu na usingle mother nikama Pete na kidole
Mtu akisoma juu juu bila tafakuri anaweza kuona hujaandika kitu but kwa dunia ya sasa na status yake ilibidi hilo aliandike kabisa kwenye post yake hapo juuNikiweka nia
Unaweza kunionesha kaburi/makabuli ya baba wa hao malaika?
Yaan kajitoa kweliKajikaza haswa. Nipo hapa kusoma comments
Vibaya hivyo jamaniUmezalishwa watoto wawili bila ndoa afu saa hii unataka ndoa ,nani aliyekuroga