Nina miaka 29, natafuta Mume

Nina miaka 29, natafuta Mume

Mm ni mstaafu ninaweza kukufaa mleta mada.

Nimezaa watoto 7 hadi sasa,nadhani nikiongeza 3-4 watakuwa wanatosha kabisa.
 
Natafuta mume serious ninamiaka 29 ni maji ya kunde Mimi nimwalim shule ya private ila nina watoto wawili. Natafutaa mchumba kuanzia Miaka 30 kuendelea, akiwa serious mpaka kwenye ndoa.
Uliozaliwa nao kijijini au mtaani umekosa,haya uliosoma nao shule ya msingi umekosa,uliosoma nao sekondari ,umekosa,uliosoma nao chuo umekosa na wafanyakazi kazi wenzio umekosa waumini wenzio unaposali umekosa

Una matatizo wewe sio bure mtu akioa ajiandae kukiona cha mtema kuni
 
Inamaana kuwa na mtoto au watoto sikuhiz ni Kosa??vipi kuhusu wajane walioachika pia hawana haki ya kuolewa??
Ndio wataolewa ila jua mwanamke akizaa mtoto kila kitu kinabadilika,

Kitaalamu mwanamke mwenye mtoto atakupa 40% ya upendo, huyu ana wawili.

Kuna maana kubwa sana ya kuolewa ndo kuzaa au kuolewa na uliyezaa naye
 
Natafuta mume serious ninamiaka 29 ni maji ya kunde Mimi nimwalim shule ya private ila nina watoto wawili. Natafutaa mchumba kuanzia Miaka 30 kuendelea, akiwa serious mpaka kwenye ndoa.
Ticha Nina watoto 6 lkn npo single utakubali kuishi pamoja na wanangu km mi nlivyo tyr kwa wanao?? Km upo tyr tuseme ZIMEUMANA
 
Ndio wataolewa ila jua mwanamke akizaa mtoto kila kitu kinabadilika,

Kitaalamu mwanamke mwenye mtoto atakupa 40% ya upendo, huyu ana wawili.

Kuna maana kubwa sana ya kuolewa ndo kuzaa au kuolewa na uliyezaa naye
Lkn msiwahukumu sana kiasi wajione wamekoseasana kuwa na watoto kabla ya kuolewa watoto ni baraka
 
Sasa uwe makini watu baadhi watakuchukulia fursa ya kukugegeda. Kila la kheri Ticha.
 
Madam! Mbona kama umepaniki? Tukiachana na 2-0 bado tuna mashaka na elimu yako. Tunaomba sana usije ukajinyonga, relax! Andika vizuri.

SWALI: Je, hao watoto ni baba mmoja au tofauti? Kama ndiyo, au hapana, makaburi/kaburi yao/yake liko/yako wapi? Majibu yakiwa magumu, fungua moyo, vijana waweke na kuacha. (kidding)

NB: SIO LAZIMA KILA MTU AOLEWE.
Powerful
 
Walee wanao kwa upendo na Mungu atakubariki, ukituwazia sana wanaume utamegwa tu na kuachwa na kufaidika na ten ten za mboga
 
Natafuta mume serious nina miaka 29 ni maji ya kunde Mimi ni mwalim shule ya private ila nina watoto wawili. Natafutaa mchumba kuanzia Miaka 30 kuendelea, akiwa serious mpaka kwenye ndoa.
HUOLEWI !
 
Naomba nikutie Moyo, Mungu bado ana kusudi na wewe, nicheki DM kama hutojal nikwambie Jambo litakalokusaidia SANA na utanikumbuka
 
Back
Top Bottom