Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
JamiiForumsJukwaa la JF siku hizi linaharibiwa sana. 😇😇😇
Where we dare to talk Openly
Sema hayo maneno huku unajipigapiga kifuani
😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JamiiForumsJukwaa la JF siku hizi linaharibiwa sana. 😇😇😇
Uliozaliwa nao kijijini au mtaani umekosa,haya uliosoma nao shule ya msingi umekosa,uliosoma nao sekondari ,umekosa,uliosoma nao chuo umekosa na wafanyakazi kazi wenzio umekosa waumini wenzio unaposali umekosaNatafuta mume serious ninamiaka 29 ni maji ya kunde Mimi nimwalim shule ya private ila nina watoto wawili. Natafutaa mchumba kuanzia Miaka 30 kuendelea, akiwa serious mpaka kwenye ndoa.
Ndio wataolewa ila jua mwanamke akizaa mtoto kila kitu kinabadilika,Inamaana kuwa na mtoto au watoto sikuhiz ni Kosa??vipi kuhusu wajane walioachika pia hawana haki ya kuolewa??
Ticha Nina watoto 6 lkn npo single utakubali kuishi pamoja na wanangu km mi nlivyo tyr kwa wanao?? Km upo tyr tuseme ZIMEUMANANatafuta mume serious ninamiaka 29 ni maji ya kunde Mimi nimwalim shule ya private ila nina watoto wawili. Natafutaa mchumba kuanzia Miaka 30 kuendelea, akiwa serious mpaka kwenye ndoa.
Lkn msiwahukumu sana kiasi wajione wamekoseasana kuwa na watoto kabla ya kuolewa watoto ni barakaNdio wataolewa ila jua mwanamke akizaa mtoto kila kitu kinabadilika,
Kitaalamu mwanamke mwenye mtoto atakupa 40% ya upendo, huyu ana wawili.
Kuna maana kubwa sana ya kuolewa ndo kuzaa au kuolewa na uliyezaa naye
PowerfulMadam! Mbona kama umepaniki? Tukiachana na 2-0 bado tuna mashaka na elimu yako. Tunaomba sana usije ukajinyonga, relax! Andika vizuri.
SWALI: Je, hao watoto ni baba mmoja au tofauti? Kama ndiyo, au hapana, makaburi/kaburi yao/yake liko/yako wapi? Majibu yakiwa magumu, fungua moyo, vijana waweke na kuacha. (kidding)
NB: SIO LAZIMA KILA MTU AOLEWE.
Ongeza Wanne (4) Mkuu; utengeneze 1st Eleven Yako.Mm ni mstaafu ninaweza kukufaa mleta mada.
Nimezaa watoto 7 hadi sasa,nadhani nikiongeza 3-4 watakuwa wanatosha kabisa.
To yeye toa neno hapa naona mnataka pakwa matopewalimu na usingle mother nikama Pete na kidole
HUOLEWI !Natafuta mume serious nina miaka 29 ni maji ya kunde Mimi ni mwalim shule ya private ila nina watoto wawili. Natafutaa mchumba kuanzia Miaka 30 kuendelea, akiwa serious mpaka kwenye ndoa.
Soon unapata wanakujaNatafuta mume serious nina miaka 29 ni maji ya kunde Mimi ni mwalim shule ya private ila nina watoto wawili. Natafutaa mchumba kuanzia Miaka 30 kuendelea, akiwa serious mpaka kwenye ndoa.
Nikiweka nia
Unaweza kunionesha kaburi/makabuli ya baba wa hao malaika?
Kafie mbele huko. Mtu kapanua mwenyewe kwa hiyari yake wewe unaleta mambo ya Mungu hapa.Naomba nikutie Moyo, Mungu bado ana kusudi na wewe, nicheki DM kama hutojal nikwambie Jambo litakalokusaidia SANA na utanikumbuka