Nina miaka 33 lakini naonekana nina miaka 25. Huu ndio mtindo wa maisha yangu pengine unaweza kukusaidia usizeeke haraka

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Ni sehemu kibao kwa watu tusiojuana hudhania mimi ni kijana mdogo wa miaka 25 kumbe ni mtu mzima nina 33 mwakani mapema tu naingia 34.

Mwili, Ngozi na sura bado vinawachanganya wengi kuhitimisha bado ni kijana mdogo ila huanza kuujua utu uzima wangu tukianza kuongea ama wakijua nina familia.

Mtindo wangu wq maisha;

- Naoga maji yabaridi kipindi cha joto na vuguvugu kipindi cha baridi, nachoamini maji yamoto ukitumia kwa muda mrefu sana yanaharakisha ngozi kutepea.

- Nakunywa lita 1 mpaka 2 za maji kila siku bila kukosa.

- Vilevi natumia kwa kiasi na ni baada ya kumaliza majukumu ya kazini, kifamilia, mazoezi, n.k. Kilevi sio kipaumbele ila ni jambo la ziada tu, natumia kwa kiasi mara 2 kwa wiki kwa kiasi kidogo tu.

- Mazoezi ni lazima nikimbie kila siku asubuhi na hii naifanya tangu nikiwa na miaka 16, sijaanza ukubwani.

- Supendi kuwa mtu wa masikitiko ama mawazo na stress, pale mambo mabaya yakiniandama sipendi kujifungia, nipo radhi niende hata viwanja vya mazoezi ama mtaani nipige stori hata ziwe za siasa ilimradi akili isimezwe na majonzi.

- Chakula pekee nachokula ni cha nyumbani tu, ni aidha nirudi nyumbani kula, nikibebe ama niletewe kazini, binafsi hata kiwe chakula cha hoteli sinaga imani nacho sana na huwa ni mara chache kukitokea dharura.

- Watu wote kwangu ni sawa tu, sina ile kwamba nimdharau fulani kisa anauza nyanya gengeni ama nimheshimu sana flan kisa ana maghorofa mengi, nami naishi kawaida japo naweza kuishi maisha ya juu kimtindo, namheshimu anaeniheshimu bila kujalinhali yake.
 
Zungumzia maandalizi ya home meal yako.

Chakula kinachangia sana kuulinda mwili, kwa upande wako, nyumbani wanaandaaje. Ni aina IPI ya vyakula, matumda nk.

Pili, umeoa, una mtandika wifi etu mara ngapi Kwa wiki, maana nasikia. Mitifuano inazeesha.
 
Ni sehemu kibao kwa watu tusiojuana hudhania mimi ni kijana mdogo wa miaka 25 kumbe ni mtu mzima nina 33 mwakani mapema tu naingia 34.

Mwili, Ngozi na sura bado vinawachanganya wengi kuhitimisha bado ni kijana mdogo ila huanza kuujua utu uzima wangu tukianza kuongea ama wakijua nina familia.

Mtindo wangu wq maisha;

- Naoga maji yabaridi kipindi cha joto na vuguvugu kipindi cha baridi, nachoamini maji yamoto ukitumia kwa muda mrefu sana yanaharakisha ngozi kutepea.

- Nakunywa lita 1 mpaka 2 za maji kila siku bila kukosa.

- Vilevi natumia kwa kiasi na ni baada ya kumaliza majukumu ya kazini, kifamilia, mazoezi, n.k. Kilevi sio kipaumbele ila ni jambo la ziada tu, natumia kwa kiasi mara 2 kwa wiki kwa kiasi kidogo tu.

- Mazoezi ni lazima nikimbie kila siku asubuhi na hii naifanya tangu nikiwa na miaka 16, sijaanza ukubwani.

- Supendi kuwa mtu wa masikitiko ama mawazo na stress, pale mambo mabaya yakiniandama sipendi kujifungia, nipo radhi niende hata viwanja vya mazoezi ama mtaani nipige stori hata ziwe za siasa ilimradi akili isimezwe na majonzi.

- Chakula pekee nachokula ni cha nyumbani tu, ni aidha nirudi nyumbani kula, nikibebe ama niletewe kazini, binafsi hata kiwe chakula cha hoteli sinaga imani nacho sana na huwa ni mara chache kukitokea dharura.

- Watu wote kwangu ni sawa tu, sina ile kwamba nimdharau fulani kisa anauza nyanya gengeni ama nimheshimu sana flan kisa ana maghorofa mengi, nami naishi kawaida japo naweza kuishi maisha ya juu kimtindo, namheshimu anaeniheshimu bila kujalinhali yake.
Hitaji kuu la kimaumbile unalipa nafasi mara ngapi kwa wiki
 
Supendi kuwa mtu wa masikitiko ama mawazo na stress, pale mambo mabaya yakiniandama sipendi kujifungia[emoji116]

Hayajawahi kuku-kuta wewe, bado una umri mdogo lakini pia muombe Jaaliya akuepushe nayo
 
Ni sehemu kibao kwa watu tusiojuana hudhania mimi ni kijana mdogo wa miaka 25 kumbe ni mtu mzima nina 33 mwakani mapema tu naingia 34.

Mwili, Ngozi na sura bado vinawachanganya wengi kuhitimisha bado ni kijana mdogo ila huanza kuujua utu uzima wangu tukianza kuongea ama wakijua nina familia.

Mtindo wangu wq maisha;

- Naoga maji yabaridi kipindi cha joto na vuguvugu kipindi cha baridi, nachoamini maji yamoto ukitumia kwa muda mrefu sana yanaharakisha ngozi kutepea.

- Nakunywa lita 1 mpaka 2 za maji kila siku bila kukosa.

- Vilevi natumia kwa kiasi na ni baada ya kumaliza majukumu ya kazini, kifamilia, mazoezi, n.k. Kilevi sio kipaumbele ila ni jambo la ziada tu, natumia kwa kiasi mara 2 kwa wiki kwa kiasi kidogo tu.

- Mazoezi ni lazima nikimbie kila siku asubuhi na hii naifanya tangu nikiwa na miaka 16, sijaanza ukubwani.

- Supendi kuwa mtu wa masikitiko ama mawazo na stress, pale mambo mabaya yakiniandama sipendi kujifungia, nipo radhi niende hata viwanja vya mazoezi ama mtaani nipige stori hata ziwe za siasa ilimradi akili isimezwe na majonzi.

- Chakula pekee nachokula ni cha nyumbani tu, ni aidha nirudi nyumbani kula, nikibebe ama niletewe kazini, binafsi hata kiwe chakula cha hoteli sinaga imani nacho sana na huwa ni mara chache kukitokea dharura.

- Watu wote kwangu ni sawa tu, sina ile kwamba nimdharau fulani kisa anauza nyanya gengeni ama nimheshimu sana flan kisa ana maghorofa mengi, nami naishi kawaida japo naweza kuishi maisha ya juu kimtindo, namheshimu anaeniheshimu bila kujalinhali yake.
Maisha mafupi sana. Unaweza kugongwa hata na gari tukaimba mapambio na ujana wako.

Sijaona sehemu unasali
 
Hata wadogo au wanaoonekana kuwa ni wadogo nao hufa wakiwa hivyo hivyo..!!
 
Back
Top Bottom