Nina milioni 1 nifanye biashara gani kwa siku nipate 12,0000/= faida?

Nunua pikipiki used piga boda. Ukilaza 15k-20k kwa siku sio mbaya sana utajikuta ndani ya mwaka una vijimillion kadhaa na Kama Bado unaishi hom utakua na chance nzuri zaidi ya kutoka kimaisha kwa kufungua biashara yenye mtaji wa kueleweka.
 
Nina wadau kibao wanouza nguo za mtumba 1st grade(grade 1) kama T-shirts kali sana,shorts(pensi kali) jeans za mtumba zipo furesh kama mtaj unao njoo PM tujadili

Nawasilisha
Screenshot_20210419-154708.jpg
Screenshot_20210419-180957.jpg
 
Kwa wewe mwanamke na mtaji huo unaweza kupoint nguo na kuuza kwa watu wenye hela (People With Money). Nunua viguo vya Tsh 300,000 hadi Tsh 500,000 vya kuanzia then pesa nyingine iwe akiba na bajeti ya promosheni na matangazo. USIKOPESHE MTU, HATA MAMA YAKO ALIYEKUPA HUO MTAJI.

Usijistress sana na faida ya Tsh 12,000 kila siku, practically ulimwengu wa biashara haupo hivyo. Utajiona failure kila siku.

Weka tu malengo ya kuuza mzigo wa Shillingi ngapi kwa mwezi na kwa profit margin gani. Ni rahisi zaidi kupigania target ya mwezi kuliko target ya kila siku. You will die everyday
 
Natamani sana kuchukua balo za mtumba za kike kwenda kuzifungulia Makambako
 
Back
Top Bottom