Nina milioni 1 nifanye biashara gani kwa siku nipate 12,0000/= faida?

Fanya Hivi tafuta diagnosis machine ya magari alafu tafuta fundi ambae anazo kazi nyingi sa magar kuwa nae ili kila ukipima gari moja ni 50,000 hivyo ukiweza kupima gari 10 kwa siku utapata pesa nying sana mpaka mwisho wa mwezi mkuu na utakuja nipa hata zawadi ya ukwaju wa bakheresa hapa JF zingatia kuwa na mafundi wa magari wenye kazi nyingi au tafuta sehem zenye garage ambazo hazina diagnosis machine upige pesaaaa sijui umeelewa mkuu au bado
Ni kazi inayo lipa kwa sasa sema wasio jua fani hawatakuelewa 😅😅😅
 
Nimeulizia mwalim nyerr garama kubwa kupata sehemu nimepata TIA nauza juice kaka
Japo ni biashara zenye msimu lakini biashara za chuoni ni nzuri, hapo umepangisha fremu ama kitalu bei gani?
 
Kila la kheri ila na Mimi nilikua n amount kama hiyo nawaza kupata maeneo yenye fursa pembeni kidogo ....msaada Kwa walio kibaha au mbezi kma naweza pata muongozo nije nifanye kitu nipte walau amount ndogo y kutumia kupitia mil 1 niliyonayo
 
Pale maili moja katika kuzunguka kwangu sijaona mtu akiwa ame specify kuuza juice au maziwa.

Ama chuo cha Uongozi kule kwa mfipa. Hii hela inaweza kufanya japo kati ya hizo
 
Sawa nashukuru Sema Mimi c mwenyej sana maeneo hayo ila nitafnya survey nipate kuish pia mazingira hayo ya karibu....maana Nina ujuzi w kutengenez juice ya matundaa ahsante nitajitahid nichangamkie fursa hiyo[emoji120]
 
Elimu ndo hii apa sasa siyo mtu ana degree af hana ata uwezo wa kuchanganua mambo
 
Sawa nashukuru Sema Mimi c mwenyej sana maeneo hayo ila nitafnya survey nipate kuish pia mazingira hayo ya karibu....maana Nina ujuzi w kutengenez juice ya matundaa ahsante nitajitahid nichangamkie fursa hiyo[emoji120]
Kila la heri
 
Ni kazi inayo lipa kwa sasa sema wasio jua fani hawatakuelewa [emoji28][emoji28][emoji28]
Hivi ili kuwa mtaalamu wa hayo mambo ya diagnosis unahtaj kusomea kozi gani? Iwe ngazi ya diploma lakini
 
Fanya Hivi tafuta diagnosis machine ya magari alafu tafuta fundi ambae anazo kazi nyingi sa magar kuwa nae ili kila ukipima gari moja ni 50,000 hivyo ukiweza kupima gari 10 kwa siku utapata pesa nying sana mpaka mwisho wa mwezi mkuu na utakuja nipa hata zawadi ya ukwaju wa bakheresa hapa JF zingatia kuwa na mafundi wa magari wenye kazi nyingi au tafuta sehem zenye garage ambazo hazina diagnosis machine upige pesaaaa sijui umeelewa mkuu au bado
hii bei gani mkuu
 
#1. Chukulia kuwa una TZS. 500,000, kiasi kinachobakia hifadhi benki.

#2. Gawa tena mara mbili tena hicho kiasi.
- 2.1: 250,000 Tafuta mahitaji/ Vifaa vya kuanzisha biashara ya kukaanga Miogo/viazi/ chipsi.

Je wapi utafanyia biashara. Tafuta shule ya karibu, fuata taratibu za hapo shuleni ili uweke banda lako la biashara, shule ya msingi ni bora ziadi.

- 2.2: Anza biashara kwa mtaji wa 250,000 - Tegemea faida ya kati ya TZS 15,000 hadi 30,000 kwa huo mtaji wa 250,000.

Biashara mashuleni zinalipa sana.
Ukishindwa vyote chuku $200 weka kwa broker afu trade eka 20K a day, scale up huku ukiwa na proper risk management. Kama hujui kutrade pole.
 
Back
Top Bottom