Nina milioni 1 nifanye biashara gani kwa siku nipate 12,0000/= faida?

Hizo nyingi laki 3 tu unalaza msimbazi kwa siku
 
Upo maeneo gani mkuu maana biashara na location pia ina matter
 
fungua library ya kuingiza nyimbo na kukodisha cd kwa siku utakosa 25000.siku ikiwa mbaya sana 17000,kama unataka mchanganuo wa hii biashara nitakupa hapa jamii
 
Fanya Hivi tafuta diagnosis machine ya magari alafu tafuta fundi ambae anazo kazi nyingi sa magar kuwa nae ili kila ukipima gari moja ni 50,000 hivyo ukiweza kupima gari 10 kwa siku utapata pesa nying sana mpaka mwisho wa mwezi mkuu na utakuja nipa hata zawadi ya ukwaju wa bakheresa hapa JF zingatia kuwa na mafundi wa magari wenye kazi nyingi au tafuta sehem zenye garage ambazo hazina diagnosis machine upige pesaaaa sijui umeelewa mkuu au bado
 
Wazo zuri sana Mkuu.
 
Zinauzwaje hizo machine
 
Nilikushauri PM umpe Taifa Stars kwa Benin alikuwa na maji ya 6 na point, natumai sasa hivi huna tena mil 1 imeongezeka una mil 5 na kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…