Habari za majukumu ndugu zangu kijana mwenzenu nipo mbele yenu kwa ushauri wenu kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mimi ni mkazi wa Dar maeno ya Kitunda umri wangu 27
Mama yangu kanipa milioni 1 nifanye biashara ambayo itanipa faida ya kukizi mahitaji yangu madogo.
Naombeni ushauri wenu ni biashara gani naweza fanya hapa Dar.