Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nje ya dsm..wapi mkuu?Kwanza upo wapi? Upo mkoa gani. Nifuate mp nikupeleke sehemu ukafungue mashine ya kukoboa mpunga, mashine ya kisasa na unakuwa na stoo kuuubwa ya kuhifadhia mpunga kutoka kwa wakulima na wanunuzi wanaokuja kuhifadhi wakisubili bei ipande wakoboe, hii biashara inalipa sanaaa ukiwa na elimu nayo ,faida ni kubwa kuliko hasara, cha kufanya ni kutafuta eneo kubwa ambalo utajenga mashine, stooo na sehemu ya kuanikia mpunga , ukiwa tayali njooo tufanye kazi hiii ila ni nje ya dar , hauojuta kamwe.
Hii nayo ni fusra nzuri ambayo haina hasara,uvumilivu wako ndio faida yakoVyumba vya kupanga
Kuitana dm ni kuikosea heshima JF na kupotezea umaana wake kwani iliwekwa ili tujifunze wote na kila kitu kiwe hadharani. Kuitana dm ni UBINAFSI ULIOKITHIRI! Nawasilisha.Kama bado ujapata mchongo njoo dm nikupe fursa ukiona inakufaa fresh ukiona haikufai unapiga chini
Wale wale tena wa dm - huu ni ubinafsi jamani, tuache hizi za dm. Huko mtafika kama final point ya utekelezaji wa mambo yenu ya siri, kama yapo. Kwa sasa mambo ni humu humu kwenye bango JF.Njoo nikupe kazi yakufanya utatumia 10 mil only kama mtaji na utatengeneza 5mil per month
Ukiwa tayari dm
Twin fungua hebu pm mara mojaHapana Mungu ni mwema ipo poa sana, hapa naafuta hela niongeze mtaji
Twin fungua hebu pm mara moja
Iko chombo hakiaribiki unavyopigia siku 365Nunua Bajaj 2 milioni 6 tafuta nyumba ya kupanga na fenicha na mtoto mzuri wa kimachame au Siha.
Kila siku Bajaj unaletewa 20k
20,000 x 2 x 365=14,600,000.
Luvh nimesoma ulicho andika nimeelewa ILA naomba ufafanuzi kuhusu wazo la kwanza. Kwani ushuru yaani lile suala la kodi limefikia wapi? Zamani ulikuwa unalipa kodi Zenj na ukifika huku Bara unalipa tena ushuru. Halafu kuna hili la vyombo kutoka Zenj, ni aina gani ya vyombo vyenye faida ukuvileta huku Bara? Nauliza hayo kwani nina fuatilia kamkopo kangu huko benki na ninataka nikaweke kwenye biashara. Asante nasubiri nondo zenu!-Wazo la kwanza chukua milion 3 ingia zenj nunua vyombo utapata vyombo vingi Sana Tena vzuri mno na unique na vyombo vinafaida sana,,uza utakuja nishukuru
-Wazo la pili ingia vijijn nunua nafaka kwa Bei za jumla tafuta sehem nzur sokon fungua Banda la kuuza nafaka jumla na rejareja.
-Wazo la tatu mafuta ya alizet jumla na rejareja utauza sana
-wazo la nne spare za magari ,pilipili
-wazo la tano tafuta eneo maeneo ya stend fungua nyama nyoma hapo na ugali tu weka na vinywaj basi.
- wazo la sita tuambie kwanza unapenda
kufanya biashara gani kutoka moyon?? Tukishajua nirahisi mtu kukupa nondo za hio biashara mkuu na
Kila la heri mkuu
Tutajivusha wenyewe kwani umeambiwa AKILI ZA KUAMBIWA ZACHANGANYA/ONGEZA NA ZAKO! Hiyo ndiyo njia pekee ya kuvuka bila kumtegemea YEYOTE ila Mungu tu!Kama haya ndio mawazo ya biashara mliyonayo vichwani, maushungi ana kazi kubwa kuwavusha. Inasikitisha sana.
FOREXNina milioni 25, naweza wekeza kwenye nini ili nipate pesa nzuri kwa muda mfupi?
Wadau mawazo yenu Tafadhali.
Mchango wa mdau
Pia soma: Biashara gani zinazoingiza mamilioni kwa muda mfupi?
Wiki ijayo kuna mechi ya chelsea vs liverpool bet umpe chelsea ashinde maana kuna Lukaku kule tia pesa yote.Nina milioni 25, naweza wekeza kwenye nini ili nipate pesa nzuri kwa muda mfupi?
Wadau mawazo yenu Tafadhali.
Mchango wa mdau
Pia soma: Biashara gani zinazoingiza mamilioni kwa muda mfupi?