petrinamwana
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 900
- 345
usikurupuke
weka bank as fixed uwe unakula faida kila baada ya miezi 3
huku unaplan mipango yako taratibu na kufanya research taratibu tumia hata mwaka
kufanya research na marketing intelligence ya biashara moja mpaka nyingine
hivyo unavyofanya ndio mwanzo wa kutapeliwa
mil 270 ni nyingi sana ukizizalisha kwa umakini na utaalamu wa hali ya juu na ni ndogo sana zikiamua kupeperuka
so akili kumkichwa
eid njema...
Nunua nyumba mbili au hata tatu za vyumba sita sita unaweza ukatumia kati ya milioni 100 hadi milioni 150, uzitengeneze vizuri kama zinahitaji matengezo ili kuvutia wateja kisha uzipangishe.
Tena mienasema walaa asijenge, maana anaweza kumaliza hiyo pesa na nyumba haijaaisha, bongo hata mafundi wajenzi ni wizi ma contractor wengine wizi. Bora alipie gharama ya juu kidogo kununuwa nyumba au flats zilizokuwa tayari na anaanza kuingiza mkwanja immediately.
cc. Marnah
mambo mengine bana mi sielewi elewi mara nishurin biashaara ya kufanya mara ohh nina nyumba tigo, mara ohh anyway wengine tunaomba japo laki mbili tufanye biashara ya vitumbua wengine wana m 270 hawaoni biashara sio mbaya mama saidia wanawake wenzako warudishe kwa riba
mambo mengine bana mi sielewi elewi mara nishurin biashaara ya kufanya mara ohh nina nyumba tigo, mara ohh anyway wengine tunaomba japo laki mbili tufanye biashara ya vitumbua wengine wana m 270 hawaoni biashara sio mbaya mama saidia wanawake wenzako warudishe kwa riba
TUKUTUKU naona hii biashara umeshaelezwa matatizo yake lakini inapasua sana faida kwani sembe limepanda sasa mradi upate punda wa kubeba maana naona hata marna hakurudi hii biashara ni ya wenye fedha maana inapasua zaidi ya x3 bilioni atainusa sasa hivi 270 x3 = 810,000,000.00Mkuu biashara ya sembe inatatizo gani?
hahahhahhh,,....ur so funny