tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
Kununua kiwanja is the best idea!Wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Mwanzo nilikuwa nataka niende nikanunue kiwanja Chalinze lakini nimekutana lakini nimekutana na video mbalimbali mtandaoni zikionesha the way ambavyo hizo za CRDB zimekuwa kuanzia 2020 kwa kweli nimevutiwa sana
Sasa najiuliza tu hivi vijisenti vyangu nikavizike kwenye kiwanja huko Chalinze au ninunue hisa za CRDB ambazo najua tu zitapanda thamani baaada ya muda
Kununua kiwanja is the best idea!
Kwq milion 3 yako gawio lako kwa mwaka unategemea litakuwa kias gan?Shida ya Kiwanja hakina gawio mkuu. Yaani ukiweka umeweka
Ila nimeambiwa kule kwenye hisa kila mwaka kuna magawio
Acha kunivunja mbavu.Shida ya Kiwanja hakina gawio mkuu. Yaani ukiweka umeweka
Ila nimeambiwa kule kwenye hisa kila mwaka kuna magawio
Kwq milion 3 yako gawio lako kwa mwaka unategemea litakuwa kias gan?
Acha kunivunja mbavu.
Unahitaji elimu
Kama huna chanzo cha kuaminika cha mapato bora ufanye biashara achana na mambo hayo mengineWakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Mwanzo nilikuwa nataka niende nikanunue kiwanja Chalinze lakini nimekutana na video mbalimbali mtandaoni zikionesha the way ambavyo hizo za CRDB zikipanda kuanzia 2020 kwa kweli nimevutiwa sana
Sasa najiuliza tu hivi vijisenti vyangu nikavizike kwenye kiwanja huko Chalinze au ninunue hisa za CRDB ambazo najua tu zitapanda thamani baaada ya muda
Hyo 3M ukinunua hisa za crdb kwa bei ya 2700 unapata around 1100 shares, ambapo kwa sasa gawio kwa share ni tsh 90. Means gawio lako la mwaka litakua 1100 x 90 ambayo ni elfu 99 bila kutoa 5% ya kodi ya zuio. Sasa akili kichwani kwakoShida ya Kiwanja hakina gawio mkuu. Yaani ukiweka umeweka
Ila nimeambiwa kule kwenye hisa kila mwaka kuna magawio
Nipe mimi hio million 3 baada ya mwaka nikupe million 10 unakua na faida ya million 7 achana na hizo 99,000 za CRDBSasa najiuliza tu hivi vijisenti vyangu nikavizike kwenye kiwanja huko Chalinze au ninunue hisa za CRDB ambazo najua tu zitapanda thamani baaada ya muda
Haifiki hata lakiNimepiga hesabu mkuu likienda sana 170k
Lakini si linapanda? Kila mwaka?