Unaweza wekeza kwenye hisa afu share certificate ukaitumia kama collateral kukopeq sehemu ukafanya biasharaKwa 3m yako gawiwo litakua ni kituko cha kuchukiza labda ununue hisa halafu uzitelekeze huku ukiendelea kununua kidogo kidogo mtaji wako ukue mbeleni uje upate gawio la kueleweka ila pia kama thaman haitakua imeshuka
Tupe mifano ya hizo bidhaa mkuu kama hutojali.ok nunua ardh
ila kama ungetaka ushaur nje ya iyo ishu yako kuna biashara ningekushauri faida ni nying
bidhaa unanunua 7000 unauza 60,000 hadi 100,000
na uhitaj n mkubwa
KWANI USIFANYE WEWE HIYO BIASHARA MKUU??ok nunua ardh
ila kama ungetaka ushaur nje ya iyo ishu yako kuna biashara ningekushauri faida ni nying
bidhaa unanunua 7000 unauza 60,000 hadi 100,000
na uhitaj n mkubwa
Hata kwenye kiwanja kuna gawio kama kipo pazuri.Shida ya Kiwanja hakina gawio mkuu. Yaani ukiweka umeweka
Ila nimeambiwa kule kwenye hisa kila mwaka kuna magawio
naifanyaKWANI USIFANYE WEWE HIYO BIASHARA MKUU??
Just curious to know!
Unafanyia biashara gani bossNipe mimi hio million 3 baada ya mwaka nikupe million 10 unakua na faida ya million 7 achana na hizo 99,000 za CRDB