Nina milioni 5 nataka ninunue IST niifanye Uber

Nina milioni 5 nataka ninunue IST niifanye Uber

Milion nane uhakika kbs ingia fb kuna matangazo ya magari direct no udalali, vits hakina mvuto hata baadae kuuza ni h

Nitafute na milioni mbili tu nitakupa biashara yenye faida ya zaidi ya Elfu 50 kwa siku Tena ni net profit au faida ukishatoa gharama zote za uendeshaji
Okay mkuu nipo dm nipate hiyo kazi
 
Yaani kwanini sasa hizi kauli ebu mtuelezee wanashughulika na hii habari uber na bolt nini changamoto mbona now hizi kauli zinakatisha tamaa mimi gari naendesha mwenyewe simpi mtu je bado kuna shida maana shida tulikuwa tunasikia ukimpa dereva
Uber/bolt /little ride ukiwa na gari yako mwenyewe unapga pesa, yasikutishe hayo maneno, mm natumia Uber daily ninao madereva wengi tu wanaishi poa kwa hii biashara, ishu ni kujituma/kukomaa
 
Nitafute na milioni mbili tu nitakupa biashara yenye faida ya zaidi ya Elfu 50 kwa siku Tena ni net profit au faida ukishatoa gharama zote za uendeshaji
Mkuu hebu share hii idea tuifanyie kazi? Kama hutajali nitumie hata inbox na Mimi.
 
Uber/bolt /little ride ukiwa na gari yako mwenyewe unapga pesa, yasikutishe hayo maneno, mm natumia Uber daily ninao madereva wengi tu wanaishi poa kwa hii biashara, ishu ni kujituma/kukomaa
Namimi nataka kuwa na gari yangu mwenyewe mkuu
 
Mista Kuku sikuhizi analima mahindi. Unampa milioni moja na laki mbili anakulimia ekari moja. Return kwa ekari ni 5m. Sasa wewe unaweza kulima ekari 4 ukapata 20m ndani ya kama mwaka hivi.
 
Yaani kwanini sasa hizi kauli ebu mtuelezee wanashughulika na hii habari uber na bolt nini changamoto mbona now hizi kauli zinakatisha tamaa mimi gari naendesha mwenyewe simpi mtu je bado kuna shida maana shida tulikuwa tunasikia ukimpa dereva
Me sidhani kama gari yako meenyewe na ukiendesha mwenyewe,naona iko poa sana.

Wanaosema hailipi ndo ningependa kuskia kutoka kwao
 
Hiyo milioni tano uliipataje? Kama ulipata kwa michongo ya kihalali baso komaa zaidi na hiyohiyo michongo. Kama uliokota/uliiba/ulipewa/ulishinda bahati nasibu basi endelea kusoma comments utapata idea.
 
Back
Top Bottom