Nina milioni 5 nataka ninunue IST niifanye Uber

Nina milioni 5 nataka ninunue IST niifanye Uber

njoo ruvu tupambane kwenye samaki
natafuta partner wa biashara ya samaki anayeweza kufanya biashara na Mimi ya Samaki kutoka ruvu upande was Simanjiro Manyara

Sifa
awe na uzoefu wa biashara ya Samaki ayajue masoko
awe na usafiri unaoweza kubeba kuanzia Tani moja( Noah dume townace au Hilux)
awe tayari kuingia moja kwa moja kwenye eneo la kutafuta samaki
awe na mtaji Kama wa kwangu au ulionizidi kidogo

Upatikanaji wa Samaki

Samaki Aina ya tilapia/Sato au perege wanapatikana kwa wingi eneo linaloitwa Zambia Mazinde Hadi Remiti wilayani Simanjiro

huku wanauza kwa ndoo ndoo moja ya tilapia ni Kati ya elf 70 Hadi 80 catfish au kambale ni Kati ya elf 40 Hadi 55

mAsoko;
tunaweza kuuza kwenye mAsoko nliyozoea kupeleka samaki

Manyema
Bei za samaki sokoni Zina range Kati ya laki na 20 Hadi 90 soko likiwa baya kwa tilapia na Kati ya sh 80 Hadi 60 soko likiwa baya

Kilombero Arusha

Bei za samaki sokoni Zina range Kati ya shilingi laki na 40 Hadi 90 soko likiwa baya kwa tilapia na Kati ya sh 80 Hadi 70 kwa kambale

kuuza kwa kg
ndoo moja ya sato au tilapia Ina kg 18kila kilo moja ni sh 7000 ukiuza kwa kilo unapata avarage ya 130000 kwa kila ndoo ya tilapia na ndoo ya kambale Ina kilo 20 kila kilo no sh 3800 ukiuza kwa kilo kila ndoo unapata 76000
changamoto ya kuuza kwa kilo no kupata mteja was kununua kg zote na kukulipa kwa cash wengi wanaopenda kukopa
kwann tufanye biashara ya samaki

ni biashara ambayo ipo real ukinunua ukifungasha ukisafirisha unajua ushakua unapata faida gani na kwa muda gani

ni biashara ambayo ukiwa nje unaweza kuwaona watu ni wajinga wanuka shombo lkn ukiingia ndani ya field Kama una mtaji nlokutajia hapo juu utapata faida haraka zaidi ya biashara yoyote


kwann nahitaji partner
niliiibiiwa mtaji Kati ya mwezi wa 8 na 9 hivyo nimeshindwa kurudi kwenye pick Kama nlivyokua mwanzoni

mawasiliano nicheki dm
 
Nitafute na milioni mbili tu nitakupa biashara yenye faida ya zaidi ya Elfu 50 kwa siku Tena ni net profit au faida ukishatoa gharama zote za uendeshaji
Sa akutafute wakat kaja humu kusudi asaidiwe toa wazo huo nd utapeli
 
Tafuta wataalam wa green house wakufundishe kulima nyanya kwenye huo mjengo, Kwanza kabisa uwaeleze una huo mtaji hivyo wakupe mchanganuo wote wa gharama ya huo mjengo na gharama zingine za kama mbegu, drip pipes, water tanks, na vinginevyo, kwa sababu hela inaweza isitoshe Kuna wataalamu huwa wanauza green house na pia kukufundisha hadi zao likomae ibakie kwako tu kuamua unataka kuuza lini zao lako maana likiwa hata limeiva na lipo kwenye huo mjengo lina uwezo wa kukaa hadi miezi kadhaa bila kuharibika huku ukisubiria bei ya nyanya sokoni ipande madalali waanze kukumezea mate huku udende ukiwatoka

Hiyo biashara itakufanya utulie nyumbani ukiwa bizy na kilimo chako ambacho ni kidogo na cha kisasa na chenye faida kubwa huku ukiwa umekwepa msala wa kukimbizana na Uba ambayo itakufanya urudi na hela ya kula tu ya maendeleo haipo.

Cha msingi poteza mwezi mzima, ukitembelea wenye green house ulizia changamoto za hiyo biashara na faida ukiona inakufaa chukua hatua.
Nyanya mikoavya pwani hazifaiii....zinaungua zoore labda kama yuko Moro au Moshi Arusha...
 
Hali kwasasa changamoto kidogo sasa nina kihela changu kama milioni 5 hivi sijui ninunue ist nifanye uber niendeshe mwenyewe sijui itanilipa


Hemu ongeza uwe na budget nzuri, kazi ya uber ukiisimamia itakulipa, ulipo tumepita, kwa bidii hiyo utafikisha tu, usiwe na pupa, na weka nidhamu, kilala heri mpambanaji.
 
Aliekwambia Nan? Mimi nimewahi kulima pwan, tena pwan kabisa na nilivuna nyanya kibao. Acha uongo bhna. Tatzo hamzingatii kanuni za kilimo.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Ulibahatisha bro acha ubishi....pwani nyanya zinaoza kabla kuiva....kuna ugonjwa una attack....mm hadi saaa nalima horticulture zingine big time...tena irrigation na hizo greenhouse natengeneza mwenyewe.....
 
Back
Top Bottom