Milion nane uhakika kbs ingia fb kuna matangazo ya magari direct no udalali, vits hakina mvuto hata baadae kuuza ni h
Okay mkuu nipo dm nipate hiyo kaziNitafute na milioni mbili tu nitakupa biashara yenye faida ya zaidi ya Elfu 50 kwa siku Tena ni net profit au faida ukishatoa gharama zote za uendeshaji
Ukiwa tayari unataka gari nicheki 0713096076 nakuletea ist safiVipi kuhusu vits au basi nipambane nipate japo ist niongeze ata ifike 7 au 8m naweza kupata ist mkuu ila madalali sasa ndio shida sana
Mkuu nichek inbox tuyajenge hela ipoNitafute na milioni mbili tu nitakupa biashara yenye faida ya zaidi ya Elfu 50 kwa siku Tena ni net profit au faida ukishatoa gharama zote za uendeshaji
Umewaza kuagiza mzigo china hata kwa m2 kwa kuanzia mkuuHali kwasasa changamoto kidogo sasa nina kihela changu kama milioni 5 hivi sijui ninunue ist nifanye uber niendeshe mwenyewe sijui itanilipa
Uber/bolt /little ride ukiwa na gari yako mwenyewe unapga pesa, yasikutishe hayo maneno, mm natumia Uber daily ninao madereva wengi tu wanaishi poa kwa hii biashara, ishu ni kujituma/kukomaaYaani kwanini sasa hizi kauli ebu mtuelezee wanashughulika na hii habari uber na bolt nini changamoto mbona now hizi kauli zinakatisha tamaa mimi gari naendesha mwenyewe simpi mtu je bado kuna shida maana shida tulikuwa tunasikia ukimpa dereva
Mkuu hebu share hii idea tuifanyie kazi? Kama hutajali nitumie hata inbox na Mimi.Nitafute na milioni mbili tu nitakupa biashara yenye faida ya zaidi ya Elfu 50 kwa siku Tena ni net profit au faida ukishatoa gharama zote za uendeshaji
Namimi nataka kuwa na gari yangu mwenyewe mkuuUber/bolt /little ride ukiwa na gari yako mwenyewe unapga pesa, yasikutishe hayo maneno, mm natumia Uber daily ninao madereva wengi tu wanaishi poa kwa hii biashara, ishu ni kujituma/kukomaa
IST ya 5m labda bajaji usedHali kwasasa changamoto kidogo sasa nina kihela changu kama milioni 5 hivi sijui ninunue ist nifanye uber niendeshe mwenyewe sijui itanilipa
Ya kiwango Cha kukata supuZipo ila sio kwenu madalali
Kama hutojali mwaga madina hapa ndugu ili wengine tunawez ambuli chchte kituNitafute na milioni mbili tu nitakupa biashara yenye faida ya zaidi ya Elfu 50 kwa siku Tena ni net profit au faida ukishatoa gharama zote za uendeshaji
Me sidhani kama gari yako meenyewe na ukiendesha mwenyewe,naona iko poa sana.Yaani kwanini sasa hizi kauli ebu mtuelezee wanashughulika na hii habari uber na bolt nini changamoto mbona now hizi kauli zinakatisha tamaa mimi gari naendesha mwenyewe simpi mtu je bado kuna shida maana shida tulikuwa tunasikia ukimpa dereva
si useme hapa hapa jukwaani au ndio ushaanza utapeli mkuluNitafute na milioni mbili tu nitakupa biashara yenye faida ya zaidi ya Elfu 50 kwa siku Tena ni net profit au faida ukishatoa gharama zote za uendeshaji
Passo hawaitaki wenye app labda abebe vitz dume ile anaweza ipata kwa bei nzuri!Ushauri mzuri na pia hizo app's unaweza kuanazo na kujisajili zote uber,bolt,Indriver na hadi Taxfy...hukosi 30 - 50 kwa siku lkn kwa milion 5 tafuta Passo ist haitakua nzuri
Ist za million 5 zitamiminika baada ya kuanza kwa namba E!Mkuu ist za m5 zinapatkn wap....
No. Dw..... O
Hahahahahahah unataka jamaa akapigwe eeh!Mista Kuku sikuhizi analima mahindi. Unampa milioni moja na laki mbili anakulimia ekari moja. Return kwa ekari ni 5m. Sasa wewe unaweza kulima ekari 4 ukapata 20m ndani ya kama mwaka hivi.