Naona Watu wengi wanakukatisha tamaa,ushauri wangu,kama hiyo fedha haitoshi nunua hata Bajaj ubaki na hela ya mafuta.Hali kwasasa changamoto kidogo sasa nina kihela changu kama milioni 5 hivi sijui ninunue ist nifanye uber niendeshe mwenyewe sijui itanilipa
NotedKwa milioni tano ni ngumu kupata IST ya maana ili ufanye uber, pia biashara ya uber ni ngumu kwa sasa.
Ushauri wangu tu, chukua nusu ya hiyo pesa (2.5m) nunua pikipiki (boxer?) halafu fanyia biashara wewe wenyewe, hiyo hela nyingine weka akiba tu, wakati unapiga miche miche za bodaboda kuna deal za biashara zingine unaweza ukazijua then ukaitumia hiyo pesa iliyobakia kama mtaji. Kwa boda upo uhakika wa kulaza sio chini ya elfu 10 kwa siku.
Ushauri mwingine unaweza ukanunua bajaj used kwa hiyo milioni tano halafu ukapiga mwenyewe hiyo biashara, na kuwa na uhakika wa kulaza sio chini ya elfu 25 kila siku.
Hv kumbe Passo haikubaliki kwanin wkt naona Paso afadhali ya vitzPasso hawaitaki wenye app labda abebe vitz dume ile anaweza ipata kwa bei nzuri!
Kuwa na gari siyo ishu, inakubidi ukomaa, kujituma na nidhamu katka kaziNamimi nataka kuwa na gari yangu mwenyewe mkuu
Nenda kafanye UBAHali kwasasa changamoto kidogo sasa nina kihela changu kama milioni 5 hivi sijui ninunue ist nifanye uber niendeshe mwenyewe sijui itanilipa
Passo ya kiboya sana ina kelele af not comfortable at all!H
Hv kumbe Passo haikubaliki kwanin wkt naona Paso afadhali ya vitz
Mzigo gani ? Utarejesha kiasi gani na kwa muda gani?Umewaza kuagiza mzigo china hata kwa m2 kwa kuanzia mkuu
Ist andaa kuanzia million 7 vinginevyo uuziwe iliyo juu ya mawe kwa hiyo beiHali kwasasa changamoto kidogo sasa nina kihela changu kama milioni 5 hivi sijui ninunue ist nifanye uber niendeshe mwenyewe sijui itanilipa
Hiyo pikipiki ? Tuma hapa screenshot inayoonesha hiyo bei kwa safari hyoHii bz za uber sijui aba kuna jamaa alinielezea nikabaki nashangaa wanapataje faida au labda sikuelewa vzr
Yaan mtu unamtoa ubungo had ununio kwa buku 4 😦😦😦
Ukirud bila mtu inakuaje na mafuta unaweka mwenyewe na folen hiz
Nendeni mkapigweMkuu hebu share hii idea tuifanyie kazi? Kama hutajali nitumie hata inbox na Mimi.
Mimi huyu??
Kama unaweza kupambana kuongeza toka 5 -7-8 kwann usiendelee kupambana tu mbona kama inakulipa? Au me sjaelewa unatoa wap hzo za kuongeza au unataka Acha kaz sehemuVipi kuhusu vits au basi nipambane nipate japo ist niongeze ata ifike 7 au 8m naweza kupata ist mkuu ila madalali sasa ndio shida sana
Hiyo ni garHiyo pikipiki ? Tuma hapa screenshot inayoonesha hiyo bei kwa safari hyo
Wengi huambiwa taarifa zisizo sahihi, na uhakika hiyo ni bolt/boda boda ndio ita3nda km hizo kwa bei hiyoHiyo ni gar
Sijawah kutumia hio huduma jamaa tu aliniambia jins ilivyo