Nina milioni 5 nataka ninunue IST niifanye Uber

Naona huu ni ushauri murua kbsa
 
sasa sheikh wangu 35k per day ni ndogo kweli?
 
Biashara ya Uber inaugumu gani kwasasa?
 
Kama vip njoo ibox tufamiane Mkuu tuanze wote mim gari ni yangu mwenyewe
 
Kwahiyo jamaa wamewekeza kwenye app Tu wanakula hiyo hela ...kweli mjini mipango
 
Kwahiyo jamaa wamewekeza kwenye app Tu wanakula hiyo hela ...kweli mjini mipango
Kuwekeza kwenye app sio rahisi rahisi tu mjomba..... kuna appa kibao zinazifanya kitu kimoja so mpaka utusue uwe on top ni mziki mkubwa sana

Kama unapenda kusoma vitabu tafuta kitabu kinaitwa internet wars sidhani kama jina ni sahihi au vp ila humo ndani zinaelezwa vita zinazopiganwa huko sio mchezo huyo jeff bezos wa amazon ni mafia hatari ana mbinu kali kuliko alshabab
 
Nimekupata mkuu...
 
Boda?....risk ya kufa ni nje nje
 
Hali kwasasa changamoto kidogo sasa nina kihela changu kama milioni 5 hivi sijui ninunue ist nifanye uber niendeshe mwenyewe sijui itanilipa
Nunua mwanangu kama ni gari yako mwenyewe itakulipa maana hakuna cha kusema umpelekee tajiri hesabu yake cha msingi sajili zote Uber, bolt, taxify.

Pia ukianza biashara uwe msafi wewe mwenyewe kimuonekano vaa kiprofesional, kata nywele zako vizuri, weka gari lako Safi ndani na nje (ikiwezekana weka leather seat covers) hii itakisaidia kupata wateja wa kudumu.
 
Mimi nae nina ka million tano kangu nafikiria kununua gari ya kufanyia Uber
 
Mista Kuku sikuhizi analima mahindi. Unampa milioni moja na laki mbili anakulimia ekari moja. Return kwa ekari ni 5m. Sasa wewe unaweza kulima ekari 4 ukapata 20m ndani ya kama mwaka hivi.
Hayo mahindi unalimia wapi kaka???? Heka moja ikupe milion 5?????
 
Una akili sana yan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…