Nina Milioni 7, natafuta gari ya kupigia Misele

Yes,ila hizo ni new model Ile ist ya zamani ni cheap 5.5 unapata dar
wala sio new, ni old bei ya kuagiza au show room ndio hizo.

Hiyo 5.5 unamaanisha old kwa bei ya mkononi dar au unamaanisha nini?
 
Kuanzia mwakani IST zitanunuliwa zaidi ya Milioni 20 maana Tsh inapoteza thamani sana
 
Hakuna economical car ya Toyota kwa kuagiza utaipata mpya kwa bei chini ya million 14 sasa hivi! Sidhani kama kuna ambayo ipo anzia IST, RunX, Spacio, Rumion, Fielder, Premio, Allion.

Yani TRA kote humo wametembeza moto kwenye kodi
Badala wangepunguza kodi magari yawe mengi wapate volume kubwa ya ushuru, pia wapate kodi kubwa kwenye vipuri na mafuta wenyewe wanakamua tu
Bei ya mkononi
Kwa mkononi sawa, ila nna mashaka kama itakua haina vipengele.
 
Hakuna mzee baba
 
Wewe unafanya inshu za kilimo?
 
Badala wangepunguza kodi magari yawe mengi wapate volume kubwa ya ushuru, pia wapate kodi kubwa kwenye vipuri na mafuta wenyewe wanakamua tu

Kwa mkononi sawa, ila nna mashaka kama itakua haina vipengele.
TRA inafikiria leo tu, haifikirii kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…