Nina Milioni 7, natafuta gari ya kupigia Misele

Badala wangepunguza kodi magari yawe mengi wapate volume kubwa ya ushuru, pia wapate kodi kubwa kwenye vipuri na mafuta wenyewe wanakamua tu

Kwa mkononi sawa, ila nna mashaka kama itakua haina vipengele.
TRA wahuni sana wanaona nyie mtafaidi sana.

Kwa wafanyabiashara naona hata wakiwekewa flat rate ya kodi watalipa kodi nyingi sana kuliko kuwaminya na wanavyopambana kuikwepa.
Hata magari bongo wangeweka kodi flat rate na waka encourage watu kununua gari mpya na gari zikifika 10 years after manufacturing date ziondolewe mjini ziende mikoani ingesaidia kupunguza jam mjini.
 
Tatizo hii akili hawana
 
Motivation [emoji344]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…