Kwahiyo we hukujua kwamba uki do bila kinga waweza pata ujauzito mwingine! Komaa dearNinachohitaji ni nifanyeje ili mtoto asidhulike kipindi hiki cha ujauzito? Maana hofu yangu ni juu ya huyu mtoto niliyenaye
Hiyo maana yake umeanza kugegedana wakati mtoto akiwa na miezi mitatu tu. Mlikuwa mnaharaka gani? mngekaa atleast miezi sita hivi. Anyways pole sana, ila kwa huduma zetu za kiafya jinsi zilivyo za mwendokasi nakushauri fanya maamuzi magumu tu ili kumuokoa huyu ambaye yupo duniani tayari. I bet serikali wataelewa maana it's just a matter of life against life.
Aende hospital au kwenye kituo cha afya chochote kilicho karibu na yeye then aje na aseme ataambiwa nini!!! Kama sio jinsi nilivyomuambiaWe hujui kitu
Mshika mawili siku zote moja humponyoka, uliona ni mbali sana kuvumilia had mtoto wako angalu afikishe mwaka mmoja na nusu ukaamua kumvulia chupi Jamaa yako, ndivyo hivyo mamaa Siku zote utamu wa mua huishia susani,Habar zenu wana jf!! Samahani sana kwa usumbufu, naombeni msaada wenu nifanyeje mwenzenu yamenikuta nipo njia panda sina cha kufanya.
Mwanangu bado mdogo miezi minne tu sasa na tayari nina ujauzito. Mtoto kashaanza kuhara kila siku na anazidi kunyong'onyea tuu. Hospitali walimpima hana tatizo, je nifanyeje? Nawaombeni sana mnisaidie ili niokoe afya ya mwanangu.
Najua kuna watu watanitukana ila yote sawa nastahili, ushari wako ni muhimu.
Asanteni.
Si kweli ni maneno ya mtaani tu joto la mama linadhuru,kubemenda mimi nilishapata hali kama hiyo niliendelea kunyonyesha huku nalea mimba,nilipokaribia kujifungua nilimuachisha mtoto kunyonya miezi 2 kabla.huwa mtoto anaendelea kunyonyeshwa mpaka mpaka miezi mitatu ya mimba au sita,ila mama unatakiwa ule msosi vizur kwani unaweza kudhoofika.baada ya hapo unamuachisha kunyonya kabisa aanzi kunywa ya kopo au uji wa dona uliochunywa.na wengine huwa mtoto anachukuliwa eidha na bibi yake au mlezi mwingine huwa wanasema joto la mama linamuadhir kwahiyo inabid akae mbali na mama
Muachishe kunyonya na kama bibi yake yupo mpeleke akakae naye cz hata joto lako hatakiwi alipate,hayo ni mapito tu yatapitaKwa hiyo nimuachishe kumnyonyesha? Maana bado namnyonyesha na sijawahi kumpa chochote tofauti na maziwa yangu
Kutoa mimba siwezi kwani pia ni dhambi, nachohitaji ni jinsi gani naweza Lea. Wote pasipo na negative effect yoyote ile kwa wote pmoja na mimiMtoto hawezi kupata shida yeyote kama ananyonya maziwa ya mama mwenye mimba.Kutoa mimba ni kosa la jinai,hata kama kuna mtu anaweza kukusaidia lakini hawezi kujitokeza hadharani.Nenda hospitali unong'one na daktari atakusaidia lakini humu hutapata msaada wowote.
NASHANGAA SANA WATU WANAPOTAKA KUMTENGA HUYU MAMA NA WANAE!Si kweli ni maneno ya mtaani tu joto la mama linadhuru,kubemenda mimi nilishapata hali kama hiyo niliendelea kunyonyesha huku nalea mimba,nilipokaribia kujifungua nilimuachisha mtoto kunyonya miezi 2 kabla .
Nilikuwa nalala na watoto wote ila nilitengana chumba na Mr kwa muda ili kupata nafasi ya kuwaangalia vizuri watoto,joto la mama ni zuri kwa mtoto huwa wataalam wa afya wanashauri kuwa karibu sana na watoto wetu huwazidishia upendo na kujiamini.
MY Dear if at all bado hujajua cha kufanya na unaendelea kuruhusu watu wakuchanganye zaidi,HUJITENDEI HAKI WEWE WALA WATOTO WAKO!Kutoa mimba siwezi kwani pia ni dhambi, nachohitaji ni jinsi gani naweza Lea. Wote pasipo na negative effect yoyote ile kwa wote pmoja na mimi
Kubemendwa huweza kutokea hata kwa mzazi ambae hajambebea mimba mtoto mwingine.Kwa sababu zifuatazo:NASHANGAA SANA WATU WANAPOTAKA KUMTENGA HUYU MAMA NA WANAE!
ahsante kwa uzoefu!
JAMANI HAKUNA KITU KINAITWA MTOTO KUHARIBIKA WALA KUBEMENDWA!
you people!
My dear nilikuwa namjibu huyo alokuwa anasema kutoa mimba, mimi hadi sasa nishachukua hatua kutokana na ushaur wenu, na sasa mwanangu ameshafunga kuharisha hilo kwanza namshukuru sana mungu .... Maombi yenu kwangu ni muhimu sana,MY Dear if at all bado hujajua cha kufanya na unaendelea kuruhusu watu wakuchanganye zaidi,HUJITENDEI HAKI WEWE WALA WATOTO WAKO!
TAFUTA DAKTARI AKUSAIDIA MAAMUZI SAHIHI baina ya haya makundi mawili yamezuka hapa!
Unavyozidi kuchelewa kuamua means unabaki hufanyi chcohote miongoni mwa haya unayoambiwa na ndipo kwa imani hiii ya kunyonyesha au kutokunyonyesha inazidi kukuumizia wanao!
I did my best to kukusaidia kufikiri nje ya box,the rest ni maamuzi na matashi yako kama mama wa hao watoto!
GOOOD!My dear nilikuwa namjibu huyo alokuwa anasema kutoa mimba, mimi hadi sasa nishachukua hatua kutokana na ushaur wenu, na sasa mwanangu ameshafunga kuharisha hilo kwanza namshukuru sana mungu .... Maombi yenu kwangu ni muhimu sana,