Habar zenu wana jf!! Samahani sana kwa usumbufu, naombeni msaada wenu nifanyeje mwenzenu yamenikuta nipo njia panda sina cha kufanya.
Mwanangu bado mdogo miezi minne tu sasa na tayari nina ujauzito. Mtoto kashaanza kuhara kila siku na anazidi kunyong'onyea tuu. Hospitali walimpima hana tatizo, je nifanyeje? Nawaombeni sana mnisaidie ili niokoe afya ya mwanangu.
Najua kuna watu watanitukana ila yote sawa nastahili, ushari wako ni muhimu.
Asanteni.
Mshika mawili siku zote moja humponyoka, uliona ni mbali sana kuvumilia had mtoto wako angalu afikishe mwaka mmoja na nusu ukaamua kumvulia chupi Jamaa yako, ndivyo hivyo mamaa Siku zote utamu wa mua huishia susani,
Kwa kitaalam huyo mtoto umeshambemenda ila Fanya makuu yafuatayo kama bado hujafanya...
1. Tafuta daktari wa kiume ambaye nimtaalam na unajua atakusaida zaid kuliko kukusimanga na kukutolea siri...
2. Kama bado unamnyonyesha plz acha..
3. Najua unapenda sana kutombwa ila kwa sasa ebu acha kabisa na umkubadie Mara nyingi iwezekanavyo ili kujaribu kurejesha joto lako kwake..
4. Mjali sana kwa mlo kamilo(balance diet) bila kusahau maziwa ya ng'ombe
5. Kama huyo Jamaa yako ajui ukweli kuhusu kimzoofishacho mtoto, mweleze ukweli naye afaham LA sivyo kila siku atakuwa anakudai uchi,faham kuwa mtoto akiaribika zaid lawama zote zitakuja kwao...
6. Zingatia sana hata kwa garama yoyote ushauri wa wataalam....
Sijuhi kma nimekusaidia angala kidogo na usipende kila wakati, kumruhusu mwanaume ktk kipnd cha kunyonyesha akutomb , kama mnanyege kafanyen uchafu wenu mbali na mtoto kisha mjitakase kabla ya kumshika mtoto tena... Bye, iam Dr joel