Nina mpango kwenda kutafuta maisha Marekani ila sijui naanzia wapi

Nina mpango kwenda kutafuta maisha Marekani ila sijui naanzia wapi

Sawa,ila ungekuwa na degree ingekuwa vizuri sana maana huku US waliosoma na wenye elimu za juu ni wengi sana,so competition ni kubwa.Nipo huku mwaka wa nne huu nilikuwa na mpango wa kufungua kasehemu kwa ajili ya chakula so ungekuwa kidogo umegraduate ningekufikiria.
Niko hapaa mie, seriously!!!
 
Siku hizi watu wenye kushiriki mapenzi ya jinsia moja huwa wanapata hifadhi nchi ya marekani na za magharibi, lakini kama haupo kwenye huo mkumbo pambana nyumbani tu hiyo marekani itakuja kwako badala ya kuifuata.
Mbona sasa hao GAYS hawaendi huko majuu? Wanaranda randa tyuu kwa kizimkazii? Tatizo kwenda huko ni connection.
 
Kwema wakuu! Niende moja kwa moja kwenye mada.

Nimekuwa nikitafakari sana juu ya hatima ya maisha yangu na hasa ukizingatia hali ya sasa kwa hapa Tanzania ni mbaya, kwani watu wanaishi maisha magumu sana, can u imagine mtu ameajiriwa lakini bado analalamika maisha magumu.

Hii inaonesha kwa nchi yetu ajira sio mkombozi wa kukutoa kwenye umasikini bali inakupa nafuu tu. hivyo imenifanya kuwaza zaidi wapi nikatafute maisha ambayo nitaweza kuishi maishi bora kwa maana duniani tunaishi mara moja tu, hivyo sipaswi kuteseka duniani maana ya mbinguni kuna hukumu yake pia.

Kwa kumalizia naomba watu mliowahi kwenda huko mnipe mbinu ya kufika huko majuu, ikiwa pamoja na gharama za nauli, inshort nataka muongozo na kama nijipange niweke akiba ya kiasi ganii hili niweze kutimiza malengo yangu ya kuishi maisha bora kabla sijaondoka duniani.

NB. Umri wangu ni miaka 25.
Tatizo watu hatuna elimu ya pesa,Marekani mpaka walitengeneza manati ya kurusha drugs,we are too soft,Nchi inaendeshwa na watu wasio zidi kumi na tunaona safi tuu,lazima tuwe aggressive zaidi,serikali alie kivyake na sisi kivyetu,majitu yamekuwa majizi sisi tunaambiwa tufanye Kazi kwa bidii,dhurma iliyo Nchi hii ni Bora hata ya vita Komaa bongo hapa hapa unganisha nguvu utatoboa ila dhirma kila Kona na ulozi juu.
 
Jamanii toeni connection hizo watu tuzamie huko majuu,
Huku kwa kizimkaziii panachoshaaa, aaaaah
Kama una score kubwa kwenye masomo,ingia kwa mtindo wa elimu kama huna hivyo ingia kwa mtindo wa biashara,ukishindwa hapo omba green card,lakini hakuna sehemu inaboa Kama Marekani,hakuna Raha yoyote jamani bongo paziri hakuna hata sehemu unazinguliwa kwa rangi yako,ila tupambana kwa namna nyingi sio moja.
 
Mbona sasa hao GAYS hawaendi huko majuu? Wanaranda randa tyuu kwa kizimkazii? Tatizo kwenda huko ni connection.
Siyo kila shoga anataka kwenda majuu, na siyo anayetaka kwenda majuu ni shoga.
Connection ni muhimu sana katika kila kitu, lakini inategemea wewe unataka kuwa connected na nani. Inasemekana kuna wasanii wanafanya hizo kazi, kuwa wanakwenda kuomba visa za kwenda kufanya tamasha na wewe unaweza ukaenda kuomba kama mmoja wa msafara huo. Au kama una talanta ambayo inaweza kukusaidia kuvuka mipaka vilevile inaweza kukusaidia.
Lakini kumbuka "perfection is not an accident" kwanini tusikomae nyumbani ili tuitengeneze nchi yetu nayo iwe kimbilio kwa wengine? Mtu mmoja hawezi kuleta maendeleo lakini umoja ndiyo unaweza kuleta maendeleo.
Ushoga na ubasha ni matumizi mabaya ya maumbile, tuelimishane na kutiana moyo sisi tunaweza tukaifanya Bongo yetu kuwa kuliko ulaya.
 
Kwema wakuu! Niende moja kwa moja kwenye mada.

Nimekuwa nikitafakari sana juu ya hatima ya maisha yangu na hasa ukizingatia hali ya sasa kwa hapa Tanzania ni mbaya, kwani watu wanaishi maisha magumu sana, can u imagine mtu ameajiriwa lakini bado analalamika maisha magumu.

Hii inaonesha kwa nchi yetu ajira sio mkombozi wa kukutoa kwenye umasikini bali inakupa nafuu tu. hivyo imenifanya kuwaza zaidi wapi nikatafute maisha ambayo nitaweza kuishi maishi bora kwa maana duniani tunaishi mara moja tu, hivyo sipaswi kuteseka duniani maana ya mbinguni kuna hukumu yake pia.

Kwa kumalizia naomba watu mliowahi kwenda huko mnipe mbinu ya kufika huko majuu, ikiwa pamoja na gharama za nauli, inshort nataka muongozo na kama nijipange niweke akiba ya kiasi ganii hili niweze kutimiza malengo yangu ya kuishi maisha bora kabla sijaondoka duniani.

NB. Umri wangu ni miaka 25.
Anza kwa kutafuta kazi marekani kwa kupitia mitandao au ingia tovuti za ubalozi utazame ni kazi zipi zinhitaji watu huko. Kuna mpaka sehemu zingine za Marekani wanahitaji wakazi. Uliza ubalozi wao watakupa data kamili.

Unaweza pia ukatafuta mke au mume wa huko.

Chunga matapeli tu wa mtandao.
 
Mtu wa kukupa zile story za majuu ulishampata au bado , pia zingatia usijesikiliza ushauli wa mtandaoni pia account iwe vizuri yaan sio mambo ya bongo kuwa Kuna wa kukuonea huruma inabidi uwe mtu wa kukaza . Mwisho sote tunaitaji twende mambele ila criteria zilizowekwa wale dhaifu ujichomoa
 
Back
Top Bottom