Kabisa ushauliwangu kwake safari ni visa sio kuwa na mihela
Ndugu yetu anatakiwa kujuwa safari ni Visa na sio kuwa na mihela mingi,sasa connection ya visa anatakiwa kupambana.. mawazo ya kufikilia America tuu angeachana nayo nchi zote za Western Europe maisha yapo mazuri tu, ukiondowa za Eastern Europe. Kama upo mikoani toka ingia Dar jichanganye na wapemba, ndio wasafiri wenyewe hawa kwa bongo, Yale mawazo sijui wavaa kobazi vipedo uachane nayo.. kwa sasa visa za Canada zinatoka sana Bongo, ila kwenda mwenyewe itakuwa ngumu unapo omba kuna documents zitatakiwa kusapoti unachokioma,hapa ndio watoto wa mjini wanapohitajika, Dar kuna mawakala kibao wanatowa visa Kama kweli msafili na upo Dar huwezi kosa safari, ukifanikiwa hutajuta badala yake utajiona kwanini ulichelewa malipo ya nje ni kwa saa moja EU ni 15 euros kima cha chini na euros moja kwa madafu ni 3000 sasa pima mwenyewe kufukuzia vikazi Dar au kujitoa muhanga.