Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijajua unaenda state gani ila sidhani kama inaweza kuzidi 2.5m nauli, issue sio nauli issue nikupata iyo visa mkuu. Kupata visa ya usa ni ngumu kama kupata bikra dar labda uende kimasomo au ushinde ile green card lottery au nenda zenji tafuta jimama la kizungu uanzishe nalo mahusiano likufanyie wepesi kwenye visa. All in all hakuna kinacho shindikana chini ya jua ukitia nia, mwenyewe ni ndoto yangu kwenda huko. Anyway am ready to be corrected.Kiasi ganii mkuu? hapo ndio napataka.
Ufafanuzi mzuri sana mkuu hongera! itabidi nifatilie njia ya kwenda kimasomo naona itakua rahisi zaidi.Sijajua unaenda state gani ila sidhani kama inaweza kuzidi 2.5m nauli, issue sio nauli issue nikupata iyo visa mkuu. Kupata visa ya usa ni ngumu kama kupata bikra dar labda uende kimasomo au ushinde ile green card lottery au nenda zenji tafuta jimama la kizungu uanzishe nalo mahusiano likufanyie wepesi kwenye visa. All in all hakuna kinacho shindikana chini ya jua ukitia nia, mwenyewe ni ndoto yangu kwenda huko. Anyway am ready to be corrected.
Hapo ndio uhakika sasa. All the best.Ufafanuzi mzuri sana mkuu hongera! itabidi nifatilie njia ya kwenda kimasomo naona itakua rahisi zaidi.
Nashangaa sanaHii nchi inavijana wengi wasio jielewa sana aiseee....
Watoto wa kuanzia 90's wamekosa ubunifu kabisa....
Elimu yakoKwanii mkuu? fafanua zaidi
Hongera kwa kuwa na nia ya kutaka kutoka hapo bongo ulipo, unajua jambo lolote linaanza na idea alafu ndio unakuja kuliweka katika uhalisia, itakuchukua muda au kipindi fulani mpaka wewe kufika huko unakotaka kwenda.Kwema wakuu! Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimekuwa nikitafakari sana juu ya hatima ya maisha yangu na hasa ukizingatia hali ya sasa kwa hapa Tanzania ni mbaya, kwani watu wanaishi maisha magumu sana, can u imagine mtu ameajiriwa lakini bado analalamika maisha magumu.
Hii inaonesha kwa nchi yetu ajira sio mkombozi wa kukutoa kwenye umasikini bali inakupa nafuu tu. hivyo imenifanya kuwaza zaidi wapi nikatafute maisha ambayo nitaweza kuishi maishi bora kwa maana duniani tunaishi mara moja tu, hivyo sipaswi kuteseka duniani maana ya mbinguni kuna hukumu yake pia.
Kwa kumalizia naomba watu mliowahi kwenda huko mnipe mbinu ya kufika huko majuu, ikiwa pamoja na gharama za nauli, inshort nataka muongozo na kama nijipange niweke akiba ya kiasi ganii hili niweze kutimiza malengo yangu ya kuishi maisha bora kabla sijaondoka duniani.
NB. Umri wangu ni miaka 25.
Ahsante mkuu muhimu ni uthubutu tu na kuweka malengo basi.Hongera kwa kuwa na nia ya kutaka kutoka hapo bongo ulipo, unajua jambo lolote linaanza na idea alafu ndio unakuja kuliweka katika uhalisia, itakuchukua muda au kipindi fulani mpaka wewe kufika huko unakotaka kwenda.
Maana wanasema pay the cost to be the boss. Na kumbuka huwezi itwa boss kama cost yake utailipa
Elimu yangu ni diploma ya famasia mkuu lakini nina advanced certificate pia.
Je vipi kujiendeleza kielimu au napo kugumu mkuu.Sawa,ila ungekuwa na degree ingekuwa vizuri sana maana huku US waliosoma na wenye elimu za juu ni wengi sana,so competition ni kubwa.Nipo huku mwaka wa nne huu nilikuwa na mpango wa kufungua kasehemu kwa ajili ya chakula so ungekuwa kidogo umegraduate ningekufikiria.
Je vipi kujiendeleza kielimu au napo kugumu mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uanzie Julius nyerere international airport (Kipawa).
Degree zipo chief, na kama hautafuti a chef necessarily basi tufikirie na wengine mkubwa.Sawa,ila ungekuwa na degree ingekuwa vizuri sana maana huku US waliosoma na wenye elimu za juu ni wengi sana,so competition ni kubwa.Nipo huku mwaka wa nne huu nilikuwa na mpango wa kufungua kasehemu kwa ajili ya chakula so ungekuwa kidogo umegraduate ningekufikiria.
Natamani ningempata anipe ABC mkuu.
Pamoja sana mkuu napitia soon huu uzi nipate ufahamu kidogo.Connection za kazi nje ya nchi: Qatar, Oman, Dubai, Saudi, UAE
Ndugu zangu wana JAMIIFORUMS hapo mwanzo nilikuwa muhanga wa kutafuta Ajira hapa nchini kwakweli nilihangaika sana. Nilibahatika kupata kazi kwenye kampuni mbali mbali ikiwemo GARDAWORLD baadae WS INSIGHT kampuni zote hizi ni za ulinzi ambazo kwa hapa nyumbani ndizo zenye malipo mazuri...www.jamiiforums.com