AY 5225
JF-Expert Member
- Jul 16, 2023
- 542
- 1,239
Kila la heri broski.Pamoja sana mkuu napitia soon huu uzi nipate ufahamu kidogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila la heri broski.Pamoja sana mkuu napitia soon huu uzi nipate ufahamu kidogo.
[emoji508][emoji508]chai..Karibu Maryland,elimu yako? Na unaweza fanya shughuli za restraunt?
[emoji508][emoji508]wewe uko hapahapa bongo..[emoji1]Sawa,ila ungekuwa na degree ingekuwa vizuri sana maana huku US waliosoma na wenye elimu za juu ni wengi sana,so competition ni kubwa.Nipo huku mwaka wa nne huu nilikuwa na mpango wa kufungua kasehemu kwa ajili ya chakula so ungekuwa kidogo umegraduate ningekufikiria.
jela za kule safi sana sio kama keko au segerea. Huko USA, ndo kwa moto zaidi, labda uwe na elimu ya kiwango fulani..
. Vinginevyo utaenda kuishia jela.
Nashukuru kwa mawazo yako mkuu japo mbona kama AI hiyo mkuu?Kijana wa Kitanzania anayetaka kuhamia Marekani bila kuwa na mpango maalum anaweza kukumbana na changamoto nyingi. Hali halisi ya maisha nchini Marekani inaweza kuwa ngumu kwa mtu asiye na maandalizi na mpango madhubuti. Hizi ni baadhi ya changamoto na mambo muhimu ya kuzingatia:
Kwa ujumla, ni muhimu kwa kijana wa Kitanzania au mtu yeyote anayepanga kuhamia Marekani kuhakikisha ana mpango mzuri, vyanzo vya fedha vya kutosha, na maandalizi ya kutosha kabla ya kuhamia ili kuepuka changamoto zinazoweza kusababisha matatizo makubwa.
- Kibali cha Kazi na Makazi:
- Ili kufanya kazi Marekani, unahitaji kibali halali cha kazi (work visa) kama H-1B, au kadi ya kijani (Green Card) inayokuruhusu kuishi na kufanya kazi nchini humo kisheria. Bila vibali hivi, kufanya kazi itakuwa ni kinyume cha sheria na kunaweza kukusababishia matatizo makubwa.
- Gharama za Maisha:
- Gharama za maisha nchini Marekani ni za juu ikilinganishwa na Tanzania. Hii ni pamoja na kodi ya nyumba, chakula, usafiri, huduma za afya, na bima. Kwa mfano, miji mikubwa kama New York, Los Angeles, na San Francisco ina gharama kubwa zaidi.
- Ajira:
- Kupata kazi bila kuwa na uzoefu maalum, elimu ya juu, au ujuzi maalum inaweza kuwa changamoto. Kazi za kiwango cha chini mara nyingi hulipa mshahara mdogo, ambao unaweza usitosheleze gharama za maisha.
- Lugha na Utamaduni:
- Kujua Kiingereza vizuri ni muhimu kwa maisha ya kila siku na kwa ajira. Pia, kujua na kuelewa utamaduni wa Marekani ni muhimu ili kuweza kujumuika vizuri na wenyeji na kufanikiwa katika mazingira mapya.
- Huduma za Afya:
- Huduma za afya nchini Marekani ni ghali sana. Bila bima ya afya, matibabu yanaweza kugharimu maelfu ya dola hata kwa matatizo madogo ya kiafya.
- Mtandao wa Kijamii:
- Kijana asiye na marafiki au familia nchini Marekani anaweza kuhisi upweke na kupata changamoto katika kuanzisha maisha mapya. Ni muhimu kuwa na mtandao wa kijamii au mfumo wa msaada wa kijamii.
- Sheria na Kanuni:
- Ni muhimu kufahamu na kufuata sheria na kanuni za Marekani, kwani ukiukaji wowote unaweza kusababisha kufukuzwa nchini au mashtaka ya kisheria.
Nadhani information ndio muhimu mkuu.Nashukuru kwa mawazo yako mkuu japo mbona kama AI hiyo mkuu?
Papaa Gx mpe njia kijana aende kiwanja.
Ila jiandae maisha mabaya...maana kule watu wanamiliki chuma nje nje...So pia ma Nigger wengi wameolewa hasa wala wasio na michongo yakuelewekaKwema wakuu! Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimekuwa nikitafakari sana juu ya hatima ya maisha yangu na hasa ukizingatia hali ya sasa kwa hapa Tanzania ni mbaya, kwani watu wanaishi maisha magumu sana, can u imagine mtu ameajiriwa lakini bado analalamika maisha magumu.
Hii inaonesha kwa nchi yetu ajira sio mkombozi wa kukutoa kwenye umasikini bali inakupa nafuu tu. hivyo imenifanya kuwaza zaidi wapi nikatafute maisha ambayo nitaweza kuishi maishi bora kwa maana duniani tunaishi mara moja tu, hivyo sipaswi kuteseka duniani maana ya mbinguni kuna hukumu yake pia.
Kwa kumalizia naomba watu mliowahi kwenda huko mnipe mbinu ya kufika huko majuu, ikiwa pamoja na gharama za nauli, inshort nataka muongozo na kama nijipange niweke akiba ya kiasi ganii hili niweze kutimiza malengo yangu ya kuishi maisha bora kabla sijaondoka duniani.
NB. Umri wangu ni miaka 25.
Kuna njia za panya na za halali elimu yko ni ipi kwanza ....Kwema wakuu! Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimekuwa nikitafakari sana juu ya hatima ya maisha yangu na hasa ukizingatia hali ya sasa kwa hapa Tanzania ni mbaya, kwani watu wanaishi maisha magumu sana, can u imagine mtu ameajiriwa lakini bado analalamika maisha magumu.
Hii inaonesha kwa nchi yetu ajira sio mkombozi wa kukutoa kwenye umasikini bali inakupa nafuu tu. hivyo imenifanya kuwaza zaidi wapi nikatafute maisha ambayo nitaweza kuishi maishi bora kwa maana duniani tunaishi mara moja tu, hivyo sipaswi kuteseka duniani maana ya mbinguni kuna hukumu yake pia.
Kwa kumalizia naomba watu mliowahi kwenda huko mnipe mbinu ya kufika huko majuu, ikiwa pamoja na gharama za nauli, inshort nataka muongozo na kama nijipange niweke akiba ya kiasi ganii hili niweze kutimiza malengo yangu ya kuishi maisha bora kabla sijaondoka duniani.
NB. Umri wangu ni miaka 25.
Pole sana, sio walioajiliwa wote wana maisha magumu, inategemea umeajiliwa wapi,Kwema wakuu! Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimekuwa nikitafakari sana juu ya hatima ya maisha yangu na hasa ukizingatia hali ya sasa kwa hapa Tanzania ni mbaya, kwani watu wanaishi maisha magumu sana, can u imagine mtu ameajiriwa lakini bado analalamika maisha magumu.
Hii inaonesha kwa nchi yetu ajira sio mkombozi wa kukutoa kwenye umasikini bali inakupa nafuu tu. hivyo imenifanya kuwaza zaidi wapi nikatafute maisha ambayo nitaweza kuishi maishi bora kwa maana duniani tunaishi mara moja tu, hivyo sipaswi kuteseka duniani maana ya mbinguni kuna hukumu yake pia.
Kwa kumalizia naomba watu mliowahi kwenda huko mnipe mbinu ya kufika huko majuu, ikiwa pamoja na gharama za nauli, inshort nataka muongozo na kama nijipange niweke akiba ya kiasi ganii hili niweze kutimiza malengo yangu ya kuishi maisha bora kabla sijaondoka duniani.
NB. Umri wangu ni miaka 25.
Umenena kwa ufasaha kamanda, sio lazima uanzie USA ni vema uanzie Nchi ambazo hazina vurugu ili utolewe wenge kidogo la Nchi za kimaskin na majuhaKijana inabidi awe na pasipoti ya kusafiria kisha afanye mchakato wa kupata ujuzi wowote mfano udereva wa malori makubwa aongeze na ujuzi wa kutumia mashine za forklift. Kisha kijana inabidi ajifunze lugha angalau kiingereza kwa ufasaha, muhimu zaidi ni awe na fedha angalau 10M. Baada ya hapo kijana aanze utaratibu wa kusaka Visa husika, ila kwa ushauri wangu anaweza anzia nchi tofauti na huko Marekani mfano kule Uarabuni kisha kule ata tengeneza njia ya kuelekea kule anataka.
Mkuu mimi nazidi kujazia nauli hapa ili tusepe mwakani.Kijana inabidi awe na pasipoti ya kusafiria kisha afanye mchakato wa kupata ujuzi wowote mfano udereva wa malori makubwa aongeze na ujuzi wa kutumia mashine za forklift. Kisha kijana inabidi ajifunze lugha angalau kiingereza kwa ufasaha, muhimu zaidi ni awe na fedha angalau 10M. Baada ya hapo kijana aanze utaratibu wa kusaka Visa husika, ila kwa ushauri wangu anaweza anzia nchi tofauti na huko Marekani mfano kule Uarabuni kisha kule ata tengeneza njia ya kuelekea kule anataka.