Nina mpango wa kuwapandisha Meridianbet mahakamani, wamenidhulumu pesa nyingi sana. Mmiliki ambaye ni Waziri jiandae

Nina mpango wa kuwapandisha Meridianbet mahakamani, wamenidhulumu pesa nyingi sana. Mmiliki ambaye ni Waziri jiandae

Hiyo company iwe ya waziri au wahindi, kushiriki kwako ni kwa hasara zako na faida yako kwa hiari yako.
Vijana na tuendelee na kucheza kamari kwa ujenzi wa taifa letu

Ameen
 
Unatambua kuwa watu wanatumia hadi mil 50 kwa kamali tu?
Hilo siyo swala hapa.
Hao unaowasema wewe ni wagonjwa wachache wanaohitaji matibabu ya kisaikolojia. Kuna walio tayari kuweka rehani hata wake zao kama sheria ingeruhusu!
 
Halafu kule unakandia watumishi wa LGAs' huku unabet... hovyo kabisa.
Kubet ni mchezo wa luxury.
Mimi sibeti mpira lakini, napiga gamble ya casino. Juzi playmaster wamenipa IST mpya.
Siwezi kubet mpira Mimi. Ni kupoteza muda na pesa tu.
Casino tunacheza watu wenye pesa, watumishi wa local government hawana uwezo wa kucheza online casino, na wakijaribu lazima watalia.
Kila siku nadepose pesa sio chini ya 50000. Mtu wa local government hana ubavu huo
 
ni wapi nimeandika sina pesa ya kumlipa wakili? are u a great thinker?
Aunthetic ya madai yako ina shaka, pia username yako na thread. All in all ukiwa na account kwenye sector zinazo-deal na fedha kamwe hawawezi na hawatakiwa kujua password yako. Hata benki hawawezi na hawatakiwa kujua password ya account yako.
 
Hilo siyo swala hapa.
Hao unaowasema wewe ni wagonjwa wachache wanaohitaji matibabu ya kisaikolojia. Kuna walio tayari kuweka rehani hata wake zao kama sheria ingeruhusu!
Wewe tulia hivyo hivyo na senti zako za ngama za kubangaiza
 
Wewe tulia hivyo hivyo na senti zako za ngama za kubangaiza
Hizi senti zangu zinauwezo wa kukuhudumia wewe maisha yote uliyobaki nayo hapa duniani.

Kwa hiyo hilo lisikusumbue wewe.
 
Kubet ni mchezo wa luxury.
Mimi sibeti mpira lakini, napiga gamble ya casino. Juzi playmaster wamenipa IST mpya.
Siwezi kubet mpira Mimi. Ni kupoteza muda na pesa tu.
Casino tunacheza watu wenye pesa, watumishi wa local government hawana uwezo wa kucheza online casino, na wakijaribu lazima watalia.
Kila siku nadepose pesa sio chini ya 50000. Mtu wa local government hana ubavu huo
Bila shaka unazungumzia hawa walioongezewa buku 8. Madam nitakutafuta unipe ndoano, sitaki samaki.
 
Changamoto hizi za kudeposit hela unakuta huku umeshakatwa ila mzigo haujaingia seheku husika zipo sana..mimi yananikutaga sana haya mambo nikiwa nahamisha hela toka Tigo Pesa/ MPESA kwenda kwenye kadi ya manunuzi mitandaoni unapambana weee mwisho wa siku mzigo unarudi kwenye kwenye tigopesa..ila Tanzania customer service bado sana mtu anakwambia nitakurudia lakini ndo imetoka hio hadi upoge tena wewe mara kwa mara...
 
cha muhimu tunza hizo sms na kila kitu itakusaidia mbele ya safari,ni haki yako kaitafte
 
Hyo siyo issue ya meridian wanaotakiwa wakuwekee pesa kwenye account ni selcom, so wasiliana nao wassap watumie na SMS ya muamala then tatizo linakuwa solved, hao wafanyakazi wa meridian ni mazuzu tu hawana hata abcd kwa baadhi ya mambo, mm lilinitokea 22 bet but mlipa wakanirudishia pesa lakini mwanzoni sikujua nikawanadeal na customer care ya 22 walinizingusha three weeks kli Mara tupo tunashughulikia, tuma copy ya kitambulisho umekishika oooh Mara una accounts mbili na ni kosa but nilivyoambiwa na MTU kwamba deal na wakala wa kudeposit na kuwithdraw tu hao mabwege watakupotezea muda na akanipa namba ya boss wa mlipa but within five minutes aliniambia nitumie SMS ya malipo uliyofanya chap akanirudishia pesa yangu ,so huna haja ya kuingia gharama za kumkodi mwanasheria, kuwa na multiple accounts ni kosa ila kwa kula viela vidogo laki had I milioni hawakusumbui but ikitokea umepiga mshindo mkubwa kitu cha kwanza wanasearch ids kama unazo zaidi ya moja then pesa unanywimwa watakuulizia ulizisoma terms and conditions ukazielewa? Mm mwaka Jana nilinyimwa mil35 kwa sababu ya multiple accounts nilienda had I bodi ya michezo ya kubahatisha lakini walistick kwenye terms nikashindwa.
 
Kwanini ujatushirikisha kabla ya kucheza je ungepiga hela ungetusgirikisha?
Wewe mtoto mdogo ukikua utayaona. Kama ni mtu matured umeandika huu ujinga basi una shida mahali...ina maana hujui umuhimu wa hii mitandao ya kijamii na elimu inayopatikana humu!?

Kama hujajifunza lolote kutokana na hili bandiko, basi wewe ni maamuma.
 
Na ikishindikana amcheki braza chalamila ampe namba za mganga wake awaroge ng'ombe hao
[emoji16][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]umefanya nicheke km mwehu
 
Back
Top Bottom