Nina mpango wa kuwapandisha Meridianbet mahakamani, wamenidhulumu pesa nyingi sana. Mmiliki ambaye ni Waziri jiandae

Nina mpango wa kuwapandisha meridianbet MAHAKAMANI, mmiliki ambae ni waziri jiandae,naomba ushauri,

HABARI WADAU;
kwa majina naitwa khadija, mtanzania na mteja wa muda mrefu wa kampuni tajwa hapo juu, kisa kilianza hivi,

Mnamo tar 14 mwezi huu wa saba, nilideposit tshs mil 1, uthibitisho wa sms kutoka kampuni ya halolet nilipata kwamba pesa imekatwa,na imeenda kwa kampuni tajwa hapo juu, nikaamua kulogin kwa acc ya meridian ili niweze kuplace mkeka, nilikuwa nashida na mili 2 tu hivyo odd 2.

Niliwasiliana na meridian muda huohuo wakaniomba info zangu, acc ID,sms ya uthibitisho na majina ya acc,nikawapatia wakanijibu nisubiri mnamo tar 15 wataweka pesa yangu.

Tar 15 nikangalia hakuna pesa, nikasema ngoja nisubiri,tar 16 hakuna, nilikuwa naenda field nje ya dar kwa ajili ya kazi,nikasema ngoja niende nikirudi nitawapigia ,imefika tar 24 hakuna pesa,nikwasiliana nao tena , mara ya kwanza akapokea mwanamke tuliongea karibu dk 80 mimi ndio nilipiga majibu aliyonipa ni kwamba sina muamala wangu unaosubiri pesa. nilikasirika sana nikakata simu,nikapiga tena akapokea mwingine nikaongea nae eeeh ktk kueleweshana akasema kweli nimeuona, bado haujashugulikiwa, wakaniomba radhi waksema wanaweka.

Nimesubiri wee, leo tar 29 nikasema isiwe case ngoja niwapigie tena, wakasema kwamba nina acc 2 zenye jina moja, hivyo waliweka kwenye hiyo acc nyingine, nikwaambia siitambui kwani nilireport acc ipi? wakakomaa kwamba wameweka kwenye acc hiyo nyingine, nikasema sawa, hiyo acc nalogin vipi? Wakaniambia username yake ni namba yangu, nikwaomba paswd hawana,

Lakini wakaniambia kwamba ninaweza kureset paswd kama namba ni yangu , nikafanya walivyonieleza nikalogin, nilivyologin hiyo pesa haipo na hata jina la acc ni "afg tza"

Nikawapigia tena simu nikawambia mbona mnanidanganya? wakasema subiri tutakupigia hadi sasa hivi hawajapiga.

Mimi nimechoka, nahitaji mwanasheria nguli, twende bodi ya michezo then mahakamani. nina imani wananitafutia utajiri wa maisha.

Mwanasheria atakaekuja tutagawana nusu nusu ya pesa yote ya fidia tutakayopata.

karibuni kwa ushauri.

Pia ninaomba namba za mh.waziri wa michezo kwa mwenye nazo tafadhali
Sportpesa ndio kampuni ya kubet ya uhakika. Hayo mengine janja janja nyingi
 
Duuuh !
Kumbe kuna wanawake wanaojihusisha na Betting (Kamari)🙄🤔
 
Mcheki bin kazumari au jemedari said(The voice of voiceless) ni balozi wa meridian bet nnadhani atakusaidia kwenye swala zima la sauti
 
Pole sana mkuu nafikir kabla ya kufikia uko ungefika hata makao makuu yao kama inawezekana.
 
Huduma Yao ya mtandaoni ni Mbovu Kabisa.
Unaweza ukataka kutoa hela Leo ika goma Hadi wiki.
 
Nina mpango wa kuwapandisha meridianbet MAHAKAMANI, mmiliki ambae ni waziri jiandae,naomba ushauri,

HABARI WADAU;
kwa majina naitwa khadija, mtanzania na mteja wa muda mrefu wa kampuni tajwa hapo juu, kisa kilianza hivi,

Mnamo tar 14 mwezi huu wa saba, nilideposit tshs mil 1, uthibitisho wa sms kutoka kampuni ya halolet nilipata kwamba pesa imekatwa,na imeenda kwa kampuni tajwa hapo juu, nikaamua kulogin kwa acc ya meridian ili niweze kuplace mkeka, nilikuwa nashida na mili 2 tu hivyo odd 2.

Niliwasiliana na meridian muda huohuo wakaniomba info zangu, acc ID,sms ya uthibitisho na majina ya acc,nikawapatia wakanijibu nisubiri mnamo tar 15 wataweka pesa yangu.

Tar 15 nikangalia hakuna pesa, nikasema ngoja nisubiri,tar 16 hakuna, nilikuwa naenda field nje ya dar kwa ajili ya kazi,nikasema ngoja niende nikirudi nitawapigia ,imefika tar 24 hakuna pesa,nikwasiliana nao tena , mara ya kwanza akapokea mwanamke tuliongea karibu dk 80 mimi ndio nilipiga majibu aliyonipa ni kwamba sina muamala wangu unaosubiri pesa. nilikasirika sana nikakata simu,nikapiga tena akapokea mwingine nikaongea nae eeeh ktk kueleweshana akasema kweli nimeuona, bado haujashugulikiwa, wakaniomba radhi waksema wanaweka.

Nimesubiri wee, leo tar 29 nikasema isiwe case ngoja niwapigie tena, wakasema kwamba nina acc 2 zenye jina moja, hivyo waliweka kwenye hiyo acc nyingine, nikwaambia siitambui kwani nilireport acc ipi? wakakomaa kwamba wameweka kwenye acc hiyo nyingine, nikasema sawa, hiyo acc nalogin vipi? Wakaniambia username yake ni namba yangu, nikwaomba paswd hawana,

Lakini wakaniambia kwamba ninaweza kureset paswd kama namba ni yangu , nikafanya walivyonieleza nikalogin, nilivyologin hiyo pesa haipo na hata jina la acc ni "afg tza"

Nikawapigia tena simu nikawambia mbona mnanidanganya? wakasema subiri tutakupigia hadi sasa hivi hawajapiga.

Mimi nimechoka, nahitaji mwanasheria nguli, twende bodi ya michezo then mahakamani. nina imani wananitafutia utajiri wa maisha.

Mwanasheria atakaekuja tutagawana nusu nusu ya pesa yote ya fidia tutakayopata.

karibuni kwa ushauri.

Pia ninaomba namba za mh.waziri wa michezo kwa mwenye nazo tafadhali
Huyo kwenye avator ni wewe?
 
Kwanza pole, pili kwenye taarifa yako sijaelewa kuwa shida ilianzia wapi ikiwa ulideposit 1m kwa 2odds lengo uvune 2m
Je, mkeka wenyewe uliwin hukulipwa au ulipolog in ili ubeti hukukuta hela?
 
Uh - Oh!

Mkuu 'khadijah Mtalame', au ni 'Khadija mtanzania'?
Utatanishi unaanzia hapo kwenye majina yako. Inawezekana huko kwenye shughuli uliyoleta hapa, pia kukawa ni matatizo tupu!

Lakini hili tuliweke pembeni.

Hii stori yako mbona ni kizungumkuti?

Hii pesa ya kuchezea inapatikana wapi siku hizi? Bila shaka ndiyo sababu hata kukawa na kampuni za kitapeli kama hiyo unayojishughulisha nayo, kwa sababu kuna pesa za kuokota hovyohovyo tu, bila ya kuvuja jasho.

Najaribu kutafuta njia ya kukupa pole, lakini nashindwa, kwa sababu naona hii pesa, Tsh milioni moja, au siyo? Huna uchungu nayo hata kidogo.

Ninachoweza kukutakia ni matokeo mema katika kutafuta hiyo pesa nyingine ya kutupa, utakayopata toka kwa hao matapeli unaonuia kuwapeleka mahakamani. Hawa watakuwa na mahela mengi tu, kwani inaonyesha wanayaokota tu kama mchanga vile toka kwa watu kama wewe.

Hebu Kwanza: Mama anaupiga mwingi kwa kuibadilisha Tanzania kuwa kama Las Vegas hivi. Hadi 2025, nchi yetu hii itakuwa imeendelea sana kutokana na mafanikio ya kazi zake hizi; na za mawaziri wawekezaji kwenye miradi muhimu kama huu wa Meridian'.

Mungu Ibariki Tanzania.
Huna unachojua kuhusu kamari kwa sababu hiyo siyo lazima uongee

Coment katika vitu unavyoona una ufahamu navyo
 
Mbona sijaona "ufahamu" ulionao wewe, lakini umeona lazima uweke uchafu wako hapa. Huoni kuwa wewe ni juha!
Lakini uko sahihi katika jambo moja. Sina ujuzi na habari ya "kamari" na wala hili halininyimi raha yoyote na halinizuii kuwaona wapumbavu wa aina yako na kuwasema ipasavyo.
 
Uwezo wa kukufahamisha ninao ila mda ndiyo sina pia uwezo wako wa kufikiri ni finyu sasa ya nini kuchoshana akili
 
Back
Top Bottom