Nina mpango wa kuwapandisha Meridianbet mahakamani, wamenidhulumu pesa nyingi sana. Mmiliki ambaye ni Waziri jiandae

Sportpesa ndio kampuni ya kubet ya uhakika. Hayo mengine janja janja nyingi
 
Duuuh !
Kumbe kuna wanawake wanaojihusisha na Betting (Kamari)πŸ™„πŸ€”
 
Mcheki bin kazumari au jemedari said(The voice of voiceless) ni balozi wa meridian bet nnadhani atakusaidia kwenye swala zima la sauti
 
Pole sana mkuu nafikir kabla ya kufikia uko ungefika hata makao makuu yao kama inawezekana.
 
Huduma Yao ya mtandaoni ni Mbovu Kabisa.
Unaweza ukataka kutoa hela Leo ika goma Hadi wiki.
 
Huyo kwenye avator ni wewe?
 
Kwanza pole, pili kwenye taarifa yako sijaelewa kuwa shida ilianzia wapi ikiwa ulideposit 1m kwa 2odds lengo uvune 2m
Je, mkeka wenyewe uliwin hukulipwa au ulipolog in ili ubeti hukukuta hela?
 
Huna unachojua kuhusu kamari kwa sababu hiyo siyo lazima uongee

Coment katika vitu unavyoona una ufahamu navyo
 
Huna unachojua kuhusu kamari kwa sababu hiyo siyo lazima uongee

Coment katika vitu unavyoona una ufahamu navyo
Mbona sijaona "ufahamu" ulionao wewe, lakini umeona lazima uweke uchafu wako hapa. Huoni kuwa wewe ni juha!
Lakini uko sahihi katika jambo moja. Sina ujuzi na habari ya "kamari" na wala hili halininyimi raha yoyote na halinizuii kuwaona wapumbavu wa aina yako na kuwasema ipasavyo.
 
Uwezo wa kukufahamisha ninao ila mda ndiyo sina pia uwezo wako wa kufikiri ni finyu sasa ya nini kuchoshana akili
 
1560 πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…