Yaaan nmejitaid sana lkn hakuna kitu full stressKo
Ahsante kwa kujibu! Sasa kiongozi kwa jinsi ulivyomuelezea uzuri wake ina maana anatongozwa na watu wengi sana, hivyo anapata kiburi kwamba anapendwa na wengi! Kwa kifupi amewapanga wengi! Kingine kinaweza kuwa ni ubinafsi wake unafanya anakuwa hivyo. Nakupa haya kwa uzoefu niliupata kwa msichana mmoja, yaani alikuwa na tabia kama hizo, nilichofanya sikumtafuta kabisa, mwenyewe akaanza ku-view status zangu na kuanza ku-comment. Sikuwa namjibu, alinyoosha mikono. Mkuu chukua maamuzi magumu, unaweza pata stress bure! Kila la kheri!
Hapo ndiyo unapofeli pisi Kali nini wewe piga chini mtu hajakuelewa unakazania.Ujue ni pisi kali balaaa
Nimekupatia na bonus ya like.Make sure the person you're choosing over everybody is choosing you too. Btw nikiona tone ya uandishi siielewi nafuta namba mapema tu.
Like seriously mwaka mzima?Tabia za wanawake wazuri hizo, kifupi anakupa wakati wa kukupima, je una fit vizuri kama mwanaume, kikubwa acha papara, kama unapenda kuchat sana tafuta marafiki zako wa kike wengine chat nao hivyo, yeye mpe nafasi, kaa nae kwa mwaka mzima halafu mwambie unataka muishi kama mme na mke, akikubali sawa akisema bado, piga chini!! tafuta mwingine!!
WordKama anatumia kigezo cha kumuona mashine kukufanyia hvyo jua atatumia kigezo hcho hcho kukuachs siku mkioana.
Unalia umepoteza elfu 30 .Poleni na tozo za miamala
Mie nina mpenzi mpya kabisa ila tatizo nisipomtafuta mie baasi ujue ndio siku imepita hivyo... Nikimwambia ' Nakupenda' anajibu ahsante.
Nikimpigia simu anasema ana kazi atanitafuta baadae baasi hiyo baadae mpaka mie nimtafute. Nikimtumia msg anajibu inshort sana yaaani naandika maelezo marefu yeye anajibu sawa au asante.
Ila nikimpelekea zawadi anapokea sana nimeisha poteza kama elfu 30 hivi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndo maana nlkuwa najaribu kumshawishi aje kwang uyoo jamaa mwingne apigwe chin
Unaoa kwasababu ni pisi kali....Ujue ni pisi kali balaaa
Hivi kwanini huwa mnajifungia na mmoja.Unalia umepoteza elfu 30 .
Mimi niliooteza si chini ya milioni 10 na makaburi ya wazazi wake nilijenga, ila naamini Mungu atanifuta machozi kwa furaha siku yangu ikifika
Unashika mkia wa mbwa alafu unauliza mkundu upo wapi?Poleni na tozo za miamala
Mie nina mpenzi mpya kabisa ila tatizo nisipomtafuta mie baasi ujue ndio siku imepita hivyo... Nikimwambia ' Nakupenda' anajibu ahsante.
Nikimpigia simu anasema ana kazi atanitafuta baadae baasi hiyo baadae mpaka mie nimtafute. Nikimtumia msg anajibu inshort sana yaaani naandika maelezo marefu yeye anajibu sawa au asante.
Ila nikimpelekea zawadi anapokea sana nimeisha poteza kama elfu 30 hivi.
Unafanya mchezo mbayaNajaribu kuvuta subra wenda ataelewa somo kwasababu nataka nioe kabisa