😂😂😂😂we mzeehiyo mbinu ya kizamani sana, unataka uanze kuomba mawasiliano ya mchungaji mpige pesa!?
notedSometimes usipate tabu sana ...Kubali life is a constant disaster ,ukijipa stress no one will save you...Kuna kipind hata mimi nilipofikia siwezi kujipa stress za kijinga ...Kama una mke anakuunga mkono na familia haina haja ya kujipa stress.
Pia ,jaribu kumsikiliza huyo jamaa yako kama una imani ya dini ,nenda kamuone huyo mtumishi ...Maisha ni haya haya .
Unaongelea hivyo biashara ,kuna watu tumeshushwa kutoka sekta nyeti ,ilikuwa unapiga pesa ;kuanzia mshahara .Leo unarudi down na wengine wanaachwa huko huko ,ni miaka sasa tunakula maisha hata hao jamaa wa huko hatuna urafiki nao ili maisha yaende vizuri...Hakuja kujipa stress.
kivp mkuu?Tatizo ni mkeo
Mungu aepushe mbali,Hapo mbona hakuna sababu ya kuchukia maisha? Hiyo ni 4/100 katika 100/100.
sawa Mkuu,Nenda kanisan kwao ukajaribu.
Haya makanisa ya Kiroho huwa yana nguvu zake.
Shuhuda ni nyingi
Iwe wanatumia nguvu kinzan au hawatumii.
Ila kwakuwa ww unaenda pale na kutoa dhaka na kuamini ni Yesu ndio anakufungulia njia.
Then ww huna dhambi.
Nashauri nenda.
Baki na utakaso wako pia.
Mungu anisamehe sana kwa kulalamika,Acheni kuomba kwa kulalamika jaribu maombi ya kiuchinganishi yana saidia sana
sawaUngana na rafiki yako mtumishi
🤣🤣🤣🤣 Amekataa matusi jama😜😜😜😜Bro umeandika huu uzi ili watu waulize huyo mchungaji watume hela pumbavu zako acha utapeli mkuu
notedKupata changamoto siyo jambo la ajabu, mtihani upo kwenye;, unachukua hatua gani baada ya kupata chagamoto? Ni wale tu wanaoweza kuchukua hatua sahihi baada ya changamoto, ndio hufanikiwa. Waliofanikiwa wote siyo kwamba hawana changamoto, bali wanatafuta majibu sahihi ya changamoto zao.
Mungu alikwishatutengenezea muujiza mkubwa, kutuumba hivi tulivyo, baada ya hapo tujibidishe kutumia akili, hekima, ubunifu na nguvu alizotujalia kupambana na mazingira yetu, huku tukiomba baraka zake katika yale tuyafanyayo, na zaidi ni kumwomba atujalie hekima katika maamuzi tunayoyachukua.
Walokole bhnaaaa 🤣🤣🤣Wokovu si Lelemama.
kila leo ni kupoteza tu pesa na fursa
Mna maelewano mazuri?kivp mkuu?