Nina msongo wa mawazo, maisha hayana maana kwangu, msaada wa mawazo

nina miaka 14 tangu nihitimu shahada lkn sijafanikiw kupanda cheo kazini.

Uongo wa hili andiko lako uko hapa. Serikali hii inapandisha vyeo mpaka marehemu itakua wewe.
 
Kwanza unachotakiwa kujua nikwamba hakuna mungu, ili uepuke issue ya utegemezi kwamba kuna kitu kitakupa msaada, haya maisha hayana Mambo ya kuamini yanamambo ya uhalisia na ndio maana hapo ulipo unajua umefilisika na sio unaamini ,,,,,kingine huyo rafiki yako sio kwamba mchungaji amemsaidia nikama wewe tu ulivyokuwa na Mambo mazuri baada ya kuamua kuacha uzinzi na pombe, hivyo utajiri wake unaweza kuporomoka tu kama wako, kingine acha kulialia, najua kinachokutesa ni watu wa pemben yako kukuangalia jinsi unavhochange life style, yaani Kula dagaa badala ya samaki kupanda daladala badala ya private car, so ishi katika uhalisia.
 
namaanisha kupanda wadhifa/mamlaka sehemu ya kazi.

yale madaraja ya kawaida sawa kbs.
Unapata stress na vyeo vya nini?
Mimi nilipewa cheo nikashushwa nikapewa tena na nikashushwa 2022 tena nikishushwa wanapewa subonate wangu halafu mimi poa tu.

Kifupi angalia maokoto yako mengine ni upepo tiu.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
noted mkuu.
 
Unapata stress na vyeo vya nini?
Mimi nilipewa cheo nikashushwa nikapewa tena na nikashushwa 2022 tena nikishushwa wanapewa subonate wangu halafu mimi poa tu.

Kifupi angalia maokoto yako mengine ni upepo tiu.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
sawa mkuu.
 
Hakuna Mungu!!

ok
 
Barikiwa mkuu ushauri mzuri sana
 
Lighton umeona madhara ya kuacha kusex?
Leo ni siku ya Tano tokea nimeanza kampeni ya Kuacha kusex, bado sijaona dhara lolote, faida mojawapo niliyoiona, nimekuwa free kufikiria kitu inaitwa mbususu.

Nasubiri kuona huko mbeleni itakuwaje.
 
Kumbe ukipata hata gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…