Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fungua kijiwe cha kahawa kama upo mjini ,tafuta sekta au hata tembea kijiwe baada ya kijiwe,kutembeza mahitaji ya nyumbani,njegere,vitunguu, mbogamboga,au hata nyanya ama matunda .usijali Watu watasema je,ukishindwa tafuta mtaa ambao hawakujui.Habarini wana jf.
Nimepata mtaji laki moja.je nifanyej ili nipate elfu mbili mpk elfu tano per day.
@everyone
Maliza kwanza masomo.Habarini wana jf.
Nimepata mtaji laki moja.je nifanyej ili nipate elfu mbili mpk elfu tano per day.
@everyone
Anzisha mikopo kwa riba. Utawakamata sana wamama wa marejesho..Habarini wana jf.
Nimepata mtaji laki moja.je nifanyej ili nipate elfu mbili mpk elfu tano per day.
@everyone
Location maana kuna biashara sehemu nyingine utajiungisha mwenyewe.
hapo riba iweje ili iwe rahisAnzisha mikopo kwa riba. Utawakamata sana wamama wa marejesho..
Bila bondi x3 ya mkopo usitoe hela.
Uzuri wa hii biashara huwa wanaitana wenyewe
No need of marketing
Master piece 👊👊Wazo la bure.
Nenda kachonge kale kajiko kadogo hivi ka kuchomea mishkaki.
After that nenda machinjioni, nunua kichwa.
Kicharange vizuri hukoai japo kilo 4 au 5 (sina uhakika hapo).
Nenda sokoni, nunua viungo mbalimbali. Njoo marinade hyo nyama. Kisha nunua zile vimbao vya mshkaki.
Ikifika jioni, tunga hyo nyama kwenye hzo vimidenge, nenda sehem yenye mkusanyiko kama stendi hivi.
Panga vimishkaki vyako. Uza 200 vitatu jero.
Hakikisha una kasufuria kadogo ambako unapikia pilipili humo ndani so kanakua kanachemka kwa pembeni.
Usisahau ka taa ka sola ka kuning'iniza hapo kwa juu. Kama hela imebaki nunua ka redio ka bluetooth af ueke flash inayosema mishkaki mitamu 200 mitatu jero.
I got a feeling utapata zaidi ya 2000 ya faida na huo mtaji utakua bado umebaki.
Biashara ikichangamka ongeza mishkaki ya mapumbu ya ng'ombe, mmoja jero.
Muuwe yanga tia 50k,
Chukua konyagi ndogo gida mdogo mdogo kupunguza stress
Utakuja nishukuru kesho saa1 jioni
Mtaji mdogo huoFungua danguro
brilliant
UnatoshaMtaji mdogo huo
Imeenda hiiWazo la bure.
Nenda kachonge kale kajiko kadogo hivi ka kuchomea mishkaki.
After that nenda machinjioni, nunua kichwa.
Kicharange vizuri hukoai japo kilo 4 au 5 (sina uhakika hapo).
Nenda sokoni, nunua viungo mbalimbali. Njoo marinade hyo nyama. Kisha nunua zile vimbao vya mshkaki.
Ikifika jioni, tunga hyo nyama kwenye hzo vimidenge, nenda sehem yenye mkusanyiko kama stendi hivi.
Panga vimishkaki vyako. Uza 200 vitatu jero.
Hakikisha una kasufuria kadogo ambako unapikia pilipili humo ndani so kanakua kanachemka kwa pembeni.
Usisahau ka taa ka sola ka kuning'iniza hapo kwa juu. Kama hela imebaki nunua ka redio ka bluetooth af ueke flash inayosema mishkaki mitamu 200 mitatu jero.
I got a feeling utapata zaidi ya 2000 ya faida na huo mtaji utakua bado umebaki.
Biashara ikichangamka ongeza mishkaki ya mapumbu ya ng'ombe, mmoja jero.
Swadakta kabisa kwenye wazo la kucopy mbeleni atakwama kisha atakuja kuandika uzi mwingine wa kulaumu kuwa alidanganywaSio poa yaani hapa kwenye kuumiza kichwa Kuna advantage sana sababu kama wazo ulilianzisha mwenyewe ni rahisi kumodify na kuongeza mambo ya msingi kuongeza faida tofauti na wazo la kucopy.
Forex iliyochangamka.Piga aviator, Ila inabidi usome course kwanza ya masaa 48 ambayo ukimpata mwalimu mzuri utamlipa 20k, then utaunganishwa kwenye group la telegram uwe unapewa signals, hopefully utatoboa