Nina mtaji wa milioni 6 nataka nianze biashara ya bodaboda

Ooo kumbe kuna hii technology [emoji1787][emoji1787][emoji119]!

Unaizima mwenyewe, na haendi kokote. Dah hii imekaa super aisee
 
Ukitoa hapo hizo cost waweza bakia na 25k kama faida kwa dumu moja la 20lt
Kumbe kichwa yako ina charge charge eeh,ikipata booster kidogo tu nakuona kabisa Boss lady huyu hapa...

iambie hiyo jamaaa imepata waifu matirio hebu iwe booster ione matokeo chanya ya mshiko nnje nnje...
 
Barikiwa sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nakubali sana man[emoji817]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Toyo ya mizigo Inaweza kuiizidi bajaji kuingiza mapato ?

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Zote zina hela hila toyo ni [emoji91]

Hesabu kidogo hivi hizo za abilia utoka kwa foreni tena mpaka ijae kwa nauli ya jero kila abilia amabapo ikijaa jumla aifiki ata elfu nne net

Sasa toyo zinatoka muda wowote na mara nyingi ubeba mzigo mkubwa na kupeleka sehemu za mbali kidogo yaani pesa ya toyo kwa siku ni kubwa mara nne au sita ya pesa ya bajaji ya abilia.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mjadala hadi saa 7 au 8 usiku, halafu unachukua boda kurudi hom
 
Dah ukiwa na mtaji unakosa chakufanyia aide usinunue bodaboda mkuuu utachoma hela fungus tu duka la mango na mpesa gesi the 3 millionwekeza mwingine.
 
Twende na DUKA LA MANGI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…