Nina mtaji wa milioni 7 msaada nifanye biashara gani

Itakuwa rahisi kufuatilia nikimuweka mtu mana kama nilivyoeleza niko bush kikaz
Uweke mtu atayekuwa ananunua na kuweka kwenye meza kitu husika. Mfano unauza sandals za wadada, vijora, sandals za kiume au jeans inategemea wewe utafanya issue gani.

Cha msingi ujue kupoint vitu vizuri vya kuweka mezani, ni biashara nzuri.

Ya Gas ni poa pia. Maana hela yako itanunua vifaa. Hivyo. Mkifunga gas tu gari tayari unajua faida ako.
 
Hebu kuwa serious kidogo Mkuu.

Hivi Million 7 afungue biashara ya kufunga gesi kwenye magari?

Aiseee!.
Napokea ushauri unaweza pia nishaur kilicho bora
Ahsante sana ubarikiwr
 
Kafanye kilimo kinalipa ila fanya utafiti kwanza na usiweke hela yote huko, unaweza hata kuanza kidogo kidogo (Jembe halimtupi mkulima)

Pia Angalia maeneo uliyopo na pia fursa gani zingine watu wanazichukulia poa, zifanye kwa umakini then boom unapata hela ya kuzungushia maisha.
 
Nashkuru sana tatizo niko maeneo yenye mvua chache kilimo ni kubahatisha mno.

Nilijaribu lakini kilichonikuta😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…